Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Fact, mahakama haijawakuta watu na hatia ya ugaidi.
na wanaume wanavaa ?kaa kwa kutulia utakata shanga zako.
Waliobambikiwa kesi Tanzania wapo wengi miaka na miaka maana na wao walikaa mahabusu muda mrefu. Ungesema wote walipwe fidia
DPP aliyeongoza mashtaka kaona hamna kesi.Mahakama haikuwakuta na hatia ya ugaidi kwa sababu ilipokwa mamlaka yake na DPP kabla haijashughulika na kiini cha jinai ya ugaidi.
Before the court reached its findings, the DPP submitted Nolle Prosequi, and immediately the court was deprived of its jurisdiction to the entertain the merits of the case..
Tutasemaje kwamba mahakama haikuwakuta na hatia wakati DPP alihamisha magoli kipindi ambacho mahakama inajiandaa kufunga bao?
Tuelewane kwanza hilo!
Naam....DPP aliyeongoza mashtaka kaona hamna kesi.
Kafuta kesi.
Wewe unang'ang'ania hawa magaidi.
Huna hata decency ya kusema kwamba hawa ni watuhumiwa wa ugaidi.
Katiba inasema kila mtu atachukuliwa kama hana hatia mpaka mahakama imkute na hatia.
Wewe unasema kwamba hawa wana hatia ya ugaidi mpaka mahakama itakapowakuta hawana hatia!
Lazima iwe hivyo makesi ya kubambikiza hayana idadi tokea jk na mwendazake ndo alivunja rekodi., mwacheni DPP atimize wajibu wake na maagizo ya Mama Rais wa Jamuhuri ambaye akimaliza muda wake tutamtawaza rasmi kuwa Mama wa Africa.Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la Msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Logical non sequitur.
Wanathibitishwa vipi na mahakama wakati DPP kakimbia na mafaili?Logical non sequitur.
Kwamba Kiswahili kina neno gaidi, hilo halimaanishi wewe ni gaidi.
Nikikuita wewe gaidi nitakuwa sawa?
Serikali imewashitaki hawa watu kwa ugaidi, ikashindwa kuthibitisha hilo.
Mpaka sasa unakuja na viroja, hujajenga hoja yenye facts zilizothibitishwa na mahakama kwamba hawa watu ni magaidi na hawajakamatwa kimazabe kwa Islamophobia tu kwa kuwa careless idiots kwenye freedom of speech.
Idiocy is not terrorism.
Simple fact.Wanathibitishwa vipi na mahakama wakati DPP kakimbia na mafaili?
Nimeshakueleza, kwamba PRESUMPTION OF INNOCENCE sio sabuni ya kusafisha uhalifu.
Hiyo inakupa nafuu ya muda tu ambayo ni bandia ili mapolisi wasikuchomoe viungo kwa beleshi kabla mahakama haijafanya kazi yake.
When you are presumed innocent, you do not automatically become innocent!
Kazi ya hiyo presumption ni kukupa lifti tu ya kufika mahakamani ukiwa salama bila majeraha ama madhara mengine ya kiakili.
Kuthibitishwa hatia ni suala la pili.
Na kitendo cha DPP kupora kesi mahakamani na kukimbia na mafaili, kinatufanya tuchore negative inference kwamba ameamua KUYASTAHI MAGAIDI kwa sababu za kisiasa tu ama sababu zingine ambazo hazina merits.
unawaita magaidi watu ambao hawajathibitishwa na mahakama kuwa magaidi.
Kama DPP kachomoa, hilo linatakiwa kukupa pause kuhusu hoja nzima ya kwamba hawa watu ni magaidi, sio kusababisha uende full steam kutuhumu watu ugaidi.
Maana hapa unazua hoja kwamba DPP ana support magaidi Tanzania
Wewe jamaa unaelewa hata burden of proof ni nini na inalala wapi?Thibitisha kwamba sio magaidi.
Kwanini nisiwaze kwamba hawa watu wametolewa kwa sababu za kidini na kisiasa tu hususani kutokana na ujio wa uongozi mpya!?
Watu walioshikiliwa kwa miaka zaidi ya tisa kwa makosa mazito ya ugaidi, ghafla tu wamechomolewa na DPP kwa maelezo mafupi tu kwamba ati hana nia ya kuendelea na kesi?
Kwanza, inatupa mashaka kuhusu uhuru wa ofisi nzima ya DPP.
Kwa jinsi inavyoonekana, DPP anafuata maagizo tu "kutoka juu" kama ambavyo huwa wanasema (sijui hata juu ya wapi?).
Kuna tofauti kati ya kusapoti magaidi na KUYASTAHI magaidi.
Naamini AMEYASTAHI MAGAIDI - Kwa sababu za kisiasa tu ama za kidini.
Usivuruge hoja.Wewe jamaa unaelewa hata burden of proof ni nini na inalala wapi?
Hujajibu swali langu.Usivuruge hoja.
Wewe umekuja na hoja hapa kwamba mahakama imeshindwa kuthibitisha hawana hatia.
Nimekueleza, mahakama isingeweza kuthibitisha hatia kwa kuwa iliporwa mamlaka yake ya kuthibitisha hiyo hatia.
Dhanio la kutokuwa na hatia sio tiketi ya kutokuwa na hatia.
Kazi ya mahakama ni kuthibitisha tu tuhuma za hatia.
Mahakama ikiporwa mamlaka yake ya kuthibitisha hatia, unawezaje kusema IMESHINDWA kuthibitisha hatia?
DPP anapokimbia na mafaili bila sababu za msingi zinazoeleweka, anapoteza uhalisia mzima wa dhana ya kuthibitisha hatia!
He is either abusing his powers or he is being manipulated by authorities above him.
unaelewa hata burden of proof ni nini na inalala wapi?
Yani mimi nikuite wewe gaidi, ukatae, halafu, badala ya mimi ninayekuita wewe gaidi kutakiwa nitoe ushahidi na uthibitisho kwamba wewe ni gaidi, nikwambie wewe ninayekuita gaidi uthibitishe kwamba wewe si gaidi.
Wewe gaidi tu.
.
Hahaha.Ndio.
Wajibu wa DPP ulikuwa ni kuthibitisha tuhuma za ugaidi, sio kukimbia na mafaili ya tuhuma za ugaidi.
Kukimbia na mafaili ya ugaidi kunatufanya tuchore negative inference kwamba anatumika kisiasa, kidini ama kuna njama zinazochagizwa na hayo.
Kama hivyo ndivyo, na kwa kuwa wewe ni mtetezi wa ubabaishaji wa DPP, sitakuwa sahihi kukuomba uthibitishe kwamba wale sio magaidi?
Unapoteza muelekeo.
Sizungumzi na hao magaidi. Nazungumza na wewe unayewatetea.
Aliyewashtaki kakimbia na mafaili kwa kisingizio kwamba hana nia ya kuendelea na kesi. Kirahisi tu namna hiyo baada ya kuwakalisha miaka tisa mahabusu?
Wewe unaona hilo ni jambo la kawaida? Huoni kuna siasa zinazochagiza hiyo njama?
What kind of inference should the public draw? The terrorists have been spared for political reasons?
Burden of proof ihamie kwenu nyinyi watetezi wa DPP na huo uharamia wake wa prosecutorial misconduct.
Mthibitishe kama kweli wale sio Magaidi.
Thibitisha.
Wewe gaidi tu.
Kama unabisha, thibitisha wewe si gaidi.
Wewe gaidi tu.Mimi sio gaidi.
Kama mimi ni gaidi thibitisha.
Na kama umenituhumu mimi ni gaidi, kisha ukakimbia na mafaili ya kesi ukaniacha solemba bila kuthibitisha mimi ni gaidi — utapaswa kuthibitisha vile vile kwamba mimi sio gaidi kwa uzito ule ule uliopaswa kuthibitisha kwamba mimi ni gaidi.
The burden of proof will keep shifting accordingly!
Bwana Kiranga, DPP amechemka!Wewe gaidi tu.
Kama si gaidi, thibitisha wewe si gaidi.
I am just using your own standards to show the absurdity of asking the accused to prove his innocence, instead of the accuser to prove the accused is guilty.