Ofisi ya Waendesha Mashtaka kugeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka kunatia doa mfumo wa haki nchini

Fact, mahakama haijawakuta watu na hatia ya ugaidi.

Mahakama haikuwakuta na hatia ya ugaidi kwa sababu ilipokwa mamlaka yake na DPP kabla haijashughulika na kiini cha jinai ya ugaidi.

Before the court reached its findings, the DPP submitted Nolle Prosequi, and immediately the court was deprived of its jurisdiction to the entertain the merits of the case..

Tutasemaje kwamba mahakama haikuwakuta na hatia wakati DPP alihamisha magoli kipindi ambacho mahakama inajiandaa kufunga bao?

Tuelewane kwanza hilo!
 
DPP aliyeongoza mashtaka kaona hamna kesi.

Kafuta kesi.
Wewe unang'ang'ania hawa magaidi.

Huna hata decency ya kusema kwamba hawa ni watuhumiwa wa ugaidi.

Katiba inasema kila mtu atachukuliwa kama hana hatia mpaka mahakama imkute na hatia.

Wewe unasema kwamba hawa wana hatia ya ugaidi mpaka mahakama itakapowakuta hawana hatia!
 
Naam....
IMG-20210621-WA0003.jpg
 
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?

Kwanini imeacha jukumu la Msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Lazima iwe hivyo makesi ya kubambikiza hayana idadi tokea jk na mwendazake ndo alivunja rekodi., mwacheni DPP atimize wajibu wake na maagizo ya Mama Rais wa Jamuhuri ambaye akimaliza muda wake tutamtawaza rasmi kuwa Mama wa Africa.

Mtaumia sana chato familly na aila zenu.
 
Logical non sequitur.

Kwamba Kiswahili kina neno gaidi, hilo halimaanishi wewe ni gaidi.

Nikikuita wewe gaidi nitakuwa sawa?

Serikali imewashitaki hawa watu kwa ugaidi, ikashindwa kuthibitisha hilo.

Mpaka sasa unakuja na viroja, hujajenga hoja yenye facts zilizothibitishwa na mahakama kwamba hawa watu ni magaidi na hawajakamatwa kimazabe kwa Islamophobia tu kwa kuwa careless idiots kwenye freedom of speech.

Idiocy is not terrorism.
 
Wanathibitishwa vipi na mahakama wakati DPP kakimbia na mafaili?

Nimeshakueleza, kwamba PRESUMPTION OF INNOCENCE sio sabuni ya kusafisha uhalifu.

Hiyo inakupa nafuu-bandia ya muda tu ili mapolisi wasikuchomoe viungo kwa beleshi kabla mahakama haijafanya kazi yake.

When you are presumed innocent, you do not automatically become innocent!

Kazi ya hiyo presumption ni kukupa lifti tu ya kufika mahakamani ukiwa salama bila majeraha ama madhara mengine ya kiakili.

Kuthibitishwa hatia ni suala la pili.

Na kitendo cha DPP kupora kesi mahakamani na kukimbia na mafaili, kinatufanya tuchore negative inference kwamba ameamua KUYASTAHI MAGAIDI kwa sababu za kisiasa tu ama sababu zingine ambazo hazina merits.
 
Wanathibitishwa vipi na mahakama wakati DPP kakimbia na mafaili?

Nimeshakueleza, kwamba PRESUMPTION OF INNOCENCE sio sabuni ya kusafisha uhalifu.

Hiyo inakupa nafuu ya muda tu ambayo ni bandia ili mapolisi wasikuchomoe viungo kwa beleshi kabla mahakama haijafanya kazi yake.

When you are presumed innocent, you do not automatically become innocent!

Kazi ya hiyo presumption ni kukupa lifti tu ya kufika mahakamani ukiwa salama bila majeraha ama madhara mengine ya kiakili.

Kuthibitishwa hatia ni suala la pili.

Na kitendo cha DPP kupora kesi mahakamani na kukimbia na mafaili, kinatufanya tuchore negative inference kwamba ameamua KUYASTAHI MAGAIDI kwa sababu za kisiasa tu ama sababu zingine ambazo hazina merits.
Simple fact.

Mpaka sasa unawaita magaidi watu ambao hawajathibitishwa na mahakama kuwa magaidi.

Kama DPP kachomoa, hilo linatakiwa kukupa pause kuhusu hoja nzima ya kwamba hawa watu ni magaidi, sio kusababisha uende full steam kutuhumu watu ugaidi.

Maana hapa unazua hoja kwamba DPP ana support magaidi Tanzania. Bila ushahidi wala uthibitisho.
 
unawaita magaidi watu ambao hawajathibitishwa na mahakama kuwa magaidi.

Thibitisha kwamba sio magaidi.

Kama DPP kachomoa, hilo linatakiwa kukupa pause kuhusu hoja nzima ya kwamba hawa watu ni magaidi, sio kusababisha uende full steam kutuhumu watu ugaidi.

Kwanini nisiwaze kwamba hawa watu wametolewa kwa sababu za kidini na kisiasa tu hususani kutokana na ujio wa uongozi mpya!?

Watu walioshikiliwa kwa miaka zaidi ya tisa kwa makosa mazito ya ugaidi, ghafla tu wamechomolewa na DPP kwa maelezo mafupi tu kwamba ati hana nia ya kuendelea na kesi?

Kwanza, inatupa mashaka kuhusu uhuru wa ofisi nzima ya DPP.

Kwa jinsi inavyoonekana, DPP anafuata maagizo tu "kutoka juu" kama ambavyo huwa wanasema (sijui hata juu ya wapi?).

Maana hapa unazua hoja kwamba DPP ana support magaidi Tanzania

Kuna tofauti kati ya kusapoti magaidi na KUYASTAHI magaidi.

Naamini AMEYASTAHI MAGAIDI — Kwa sababu za kisiasa tu ama za kidini.
 
Thibitisha kwamba sio magaidi.

Kwanini nisiwaze kwamba hawa watu wametolewa kwa sababu za kidini na kisiasa tu hususani kutokana na ujio wa uongozi mpya!?

Watu walioshikiliwa kwa miaka zaidi ya tisa kwa makosa mazito ya ugaidi, ghafla tu wamechomolewa na DPP kwa maelezo mafupi tu kwamba ati hana nia ya kuendelea na kesi?

Kwanza, inatupa mashaka kuhusu uhuru wa ofisi nzima ya DPP.

Kwa jinsi inavyoonekana, DPP anafuata maagizo tu "kutoka juu" kama ambavyo huwa wanasema (sijui hata juu ya wapi?).

Kuna tofauti kati ya kusapoti magaidi na KUYASTAHI magaidi.

Naamini AMEYASTAHI MAGAIDI - Kwa sababu za kisiasa tu ama za kidini.
Wewe jamaa unaelewa hata burden of proof ni nini na inalala wapi?
 
Usivuruge hoja.

Wewe umekuja na hoja hapa kwamba mahakama imeshindwa kuthibitisha hawana hatia.

Nimekueleza, mahakama isingeweza kuthibitisha hatia kwa kuwa iliporwa mamlaka yake ya kuthibitisha hiyo hatia.

DHANIO la kutokuwa na hatia sio tiketi ya kutokuwa na hatia. Unaweza KUDHANIWA huna hatia na ukawa na hatia vile vile au Vice Versa!

Kazi ya mahakama ni kuthibitisha tu tuhuma za hatia.

Mahakama ikiporwa mamlaka yake ya kuthibitisha hatia, unawezaje kusema IMESHINDWA kuthibitisha hatia?

DPP anapokimbia na mafaili bila sababu za msingi zinazoeleweka, anapoteza uhalisia mzima wa dhana ya kuthibitisha hatia!

He is either abusing his powers or he is being manipulated by authorities above him.
 
Usivuruge hoja.

Wewe umekuja na hoja hapa kwamba mahakama imeshindwa kuthibitisha hawana hatia.

Nimekueleza, mahakama isingeweza kuthibitisha hatia kwa kuwa iliporwa mamlaka yake ya kuthibitisha hiyo hatia.

Dhanio la kutokuwa na hatia sio tiketi ya kutokuwa na hatia.

Kazi ya mahakama ni kuthibitisha tu tuhuma za hatia.

Mahakama ikiporwa mamlaka yake ya kuthibitisha hatia, unawezaje kusema IMESHINDWA kuthibitisha hatia?

DPP anapokimbia na mafaili bila sababu za msingi zinazoeleweka, anapoteza uhalisia mzima wa dhana ya kuthibitisha hatia!

He is either abusing his powers or he is being manipulated by authorities above him.
Hujajibu swali langu.

Wewe jamaa unaelewa hata burden of proof ni nini na inalala wapi?

Yani mimi nikuite wewe gaidi, ukatae, halafu, badala ya mimi ninayekuita wewe gaidi kutakiwa nitoe ushahidi na uthibitisho kwamba wewe ni gaidi, nikwambie wewe ninayekuita gaidi uthibitishe kwamba wewe si gaidi.

How are you going to prove a negative?

Chochote utakachosema nitasema wewe ni gaidi tu, umetetewa na kufichwa na serikali ndiyo maana ugaidi wako hauonekani.

Kama unabisha thibitisha kwamba wewe si gaidi.

Utathibitishaje kwamba wewe si gaidi hapo?

Wewe gaidi tu.
 
unaelewa hata burden of proof ni nini na inalala wapi?

Ndio.

Wajibu wa DPP ulikuwa ni kuthibitisha tuhuma za ugaidi, sio kukimbia na mafaili ya tuhuma za ugaidi.

Kukimbia na mafaili ya ugaidi kunatufanya tuchore negative inference kwamba anatumika kisiasa, kidini ama kuna njama zinazochagizwa na hayo.

Kama hivyo ndivyo, na kwa kuwa wewe ni mtetezi wa ubabaishaji wa DPP, sitakuwa sahihi kukuomba uthibitishe kwamba wale sio magaidi?

Yani mimi nikuite wewe gaidi, ukatae, halafu, badala ya mimi ninayekuita wewe gaidi kutakiwa nitoe ushahidi na uthibitisho kwamba wewe ni gaidi, nikwambie wewe ninayekuita gaidi uthibitishe kwamba wewe si gaidi.

Unapoteza muelekeo.

Sizungumzi na hao magaidi. Nazungumza na wewe unayewatetea.

Aliyewashtaki kakimbia na mafaili kwa kisingizio kwamba hana nia ya kuendelea na kesi. Kirahisi tu namna hiyo baada ya kuwakalisha miaka tisa mahabusu?

Wewe unaona hilo ni jambo la kawaida? Huoni kuna siasa zinazochagiza hiyo njama?

What kind of inference should the public draw? The terrorists have been spared for political reasons?

Burden of proof ihamie kwenu nyinyi watetezi wa DPP na huo uharamia wake wa prosecutorial misconduct.

Mthibitishe kama kweli wale sio Magaidi.

Wewe gaidi tu.

Thibitisha.
 
.
Serikali ya Tz imeshughulikia ugaidi wa Sheikh Farid na wenzie kwa namna bora kabisa. Usitafute ushahidi kama wanavyoatoa ushahidi wa kesi za ufisadi. Nakumbuka siku ya kwanza baada ya ule mhadhara kulitokea maandamano kwenda kituo cha polisi Madema, kisha kanisa la TAG kariakoo likachomwa moto.

Mapadri walipigwa risasi akiwemo Padri Evaristi, Watalii walimwagiwa tindikali, Wageni walichapwa viboko kwa kuvaa nguo fupi. Kama Serikali isingechukua hatua sitahiki pengine ZNZ ingegeuka kuwa Mogadishu au Kismayu au Syria.

Marekani kupitia jarida la Chuo Cha Ulinzi liliitaja UAMSHO kama kundi la ugaidi na viingozi wake waandamizi walipewa mafunzo Kandahar.

Tuamini ilichofanya Serikali kwa kuwa ni kwa masilahi mapana ya nchi yetu, wewe mwenyewe na Mimi. Jiulize kwa nini wasikushike wewe binafsi na wakamshika Sheikh Farid na Sheik Mselem.

Naamini siyo kila taarifa ya Serikali na kwa ajili ya umma wote wa Watanzania, zingine ni kwa matumizi ya vyombo vya dola
 
Ndio.

Wajibu wa DPP ulikuwa ni kuthibitisha tuhuma za ugaidi, sio kukimbia na mafaili ya tuhuma za ugaidi.

Kukimbia na mafaili ya ugaidi kunatufanya tuchore negative inference kwamba anatumika kisiasa, kidini ama kuna njama zinazochagizwa na hayo.

Kama hivyo ndivyo, na kwa kuwa wewe ni mtetezi wa ubabaishaji wa DPP, sitakuwa sahihi kukuomba uthibitishe kwamba wale sio magaidi?

Unapoteza muelekeo.

Sizungumzi na hao magaidi. Nazungumza na wewe unayewatetea.

Aliyewashtaki kakimbia na mafaili kwa kisingizio kwamba hana nia ya kuendelea na kesi. Kirahisi tu namna hiyo baada ya kuwakalisha miaka tisa mahabusu?

Wewe unaona hilo ni jambo la kawaida? Huoni kuna siasa zinazochagiza hiyo njama?

What kind of inference should the public draw? The terrorists have been spared for political reasons?

Burden of proof ihamie kwenu nyinyi watetezi wa DPP na huo uharamia wake wa prosecutorial misconduct.

Mthibitishe kama kweli wale sio Magaidi.

Thibitisha.
Hahaha.

Wewe unayetuhumu hawa magaidi, unataka anayesema hawa sio magaidi athibitishe hawa si magaidi.

Mimi nikikutuhumu wewe gaidi, unataka mimi ninayetuhumu nithibitishe wewe gaidi.

Ushaona contradiction hapo?

Wewe gaidi tu.

Kama unabisha, thibitisha wewe si gaidi.
 
Mimi sio gaidi.

Kama mimi ni gaidi thibitisha.

Na kama umenituhumu mimi ni gaidi, kisha ukakimbia na mafaili ya kesi ukaniacha solemba bila kuthibitisha mimi ni gaidi — utapaswa kuthibitisha vile vile kwamba mimi sio gaidi kwa uzito ule ule uliopaswa kuthibitisha kwamba mimi ni gaidi.

The burden of proof will keep shifting accordingly!
 
Kama si gaidi, thibitisha wewe si gaidi.

I am just using your own standards to show the absurdity of asking the accused to prove his innocence, instead of the accuser to prove the accused is guilty.
 
Bwana Kiranga, DPP amechemka!
 
Back
Top Bottom