Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Fact, mahakama haijawakuta watu na hatia ya ugaidi.
Mahakama haikuwakuta na hatia ya ugaidi kwa sababu ilipokwa mamlaka yake na DPP kabla haijashughulika na kiini cha jinai ya ugaidi.
Before the court reached its findings, the DPP submitted Nolle Prosequi, and immediately the court was deprived of its jurisdiction to the entertain the merits of the case..
Tutasemaje kwamba mahakama haikuwakuta na hatia wakati DPP alihamisha magoli kipindi ambacho mahakama inajiandaa kufunga bao?
Tuelewane kwanza hilo!