Huyu kijana anaonekana umri wake bado ni mdogo, ni kumsamehe tu. Akiongezeka ataelewa namna ya kutumia akili katika kutoa comments zenye hoja.Kuna mahali pameandikwa hivyo?
Aisee...Hawa banyamulenge wa Tz wameshapagawa sasa naona siasa za ushindani zimewashinda wameanza fujo.
Watu wakijibu mapigo na kukuta Lumumba inafuka moshi wasije laumu.
Kuchoma ofisi zenu ni siasa za kishamba sana.Hata risasi za Lissu mlisema kiki. Mpigeni wa kwenu Basi Kama Ni kiki.
Msitu upi mkubwa. Wakati huko ndio kila siku tunafanya matamasha warsha na makongamono kila sikuKumekucha!
Nipo tayari hata kuingia msituni mwaka huu.
Wazee wa buku 7 yanahangaika tu huku yanadai mtu wao anapendwa mno. Sasa sijui matukio yote haya yanini?
Mkuu tindo unakumbuka kwenye ule uzi wa Cdm kujenga ofisi nilikwambia kuna sababu za msingi za kutofanya hivyo kwa sasa, na moja ya sababu ni kama hizi.
Kwa watu ambao wanawafanyia physical attacks wafuasi na viongozi wa Cdm unadhani majengo yao watayafanyaje?
Imagine ndio umeweka nyaraka zako zote humo, mfano wamehifadhi fomu za wagombea kabla ya kuzirejesha.
Mrisho Gambo ashaanza vurugu zakeOfisi za kanda ya Kaskazini (@Chademakaskazni) zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petrol, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga
Tulia sehemu nzuri tupe habari kamili mbona kama na wewe unakimbia au unazima motoOfisi za kanda ya Kaskazini (@Chademakaskazni) zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petrol, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga
Kwakuwa wao hawapendi ugali wao au?CCM kwa sasa hawana hoja, hutamsikia Sirro wala Msajili wa vyama akikemea.
Ni kweli CCM haiwezi fanya kea purpose ipi ku complete objective gani ya kiofisi Koko Kama hicho? Kuwa CCM wachome ili iwe Nini? Ifaidike Nini Ni kiofisi hovyo Kama hicho.Hakuna hata kimoja CCM yaweza faidi kwa kuchoma hicho kiofisi Kama kibanda Cha kuuza vochaHiyo ni kiki mkuu. Inawezekana cdm wamechoma wenyewe ofisi zao, kutafuta huruma kwa wananchi.
Ccm ni chama kikubwa sana, hakijafikia kufanya upuuzi kama huo.
Hizi ni siasa za kipumbavu sana.
Yaani CHADEMA ijirushie bomu iue wafuasi wake? Mabomu yanamilikiwa na majeshi. CHADEMA sio jeshi Wala polisi.Hilo tukio Ni la kutafuta kick tu ya media namkumbuka 2015 pia lilirushwa bomu mkutano wa Chadema Huko Huko Arusha lengo kutafuta kick na attention kwenye media
Ni Chadema tu wanatafuta kick za media attention tu
Yana mwisho... dhahabu haina budi kuunguzwa ili ing'ae na kupata thamani .Siasa za washindwa hizi wanapozidiwa hoja
Hilo tukio Ni la kutafuta kick tu ya media namkumbuka 2015 pia lilirushwa bomu mkutano wa Chadema Huko Huko Arusha lengo kutafuta kick na attention kwenye media
Ni Chadema tu wanatafuta kick za media attention tu
Yana mwisho wake .Uhuni huu ndio unawafanya chama fulani na serikali yake kuondoka madarakani, wananchi tumechoshwa na vitendo hivi