Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Hilo tukio Ni la kutafuta kick tu ya media namkumbuka 2015 pia lilirushwa bomu mkutano wa Chadema Huko Huko Arusha lengo kutafuta kick na attention kwenye media

Ni Chadema tu wanatafuta kick za media attention tu
 
Mkuu tindo unakumbuka kwenye ule uzi wa Cdm kujenga ofisi nilikwambia kuna sababu za msingi za kutofanya hivyo kwa sasa, na moja ya sababu ni kama hizi.

Kwa watu ambao wanawafanyia physical attacks wafuasi na viongozi wa Cdm unadhani majengo yao watayafanyaje?

Imagine ndio umeweka nyaraka zako zote humo, mfano wamehifadhi fomu za wagombea kabla ya kuzirejesha.

Mkuu nakumbuka vyema angalizo lako na hatari zote zinazoweza kutokea, lakini hawawezi kuchoma zote, japo uwezo wa kuchoma kadhaa upo.
 
Ofisi za kanda ya Kaskazini (@Chademakaskazni) zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petrol, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga
Mrisho Gambo ashaanza vurugu zake
 
Ofisi za kanda ya Kaskazini (@Chademakaskazni) zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petrol, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga
Tulia sehemu nzuri tupe habari kamili mbona kama na wewe unakimbia au unazima moto
 
Duuh! Isije kuwa mtu alitupa kichungi ambacho hajakizima cha sigara kubwa, kumbuka Arusha ni kitovu cha hii kitu. Maana baadhi ya viongozi wa cdm wake kwa waume hawasomeki.
 
Ofisi ya kanda makochi hayana magodoro?!

Kuna ujio wa mgombea urais hapo, ofisi haikuwa imewekewa ulinzi na chama kuhakikisha mgombea anaingia na kuondoka kwa usalama?!

Hii vita si ya kitoto CHADEMA, nyi hayeni.
 
Hiyo ni kiki mkuu. Inawezekana cdm wamechoma wenyewe ofisi zao, kutafuta huruma kwa wananchi.
Ccm ni chama kikubwa sana, hakijafikia kufanya upuuzi kama huo.
Hizi ni siasa za kipumbavu sana.
Ni kweli CCM haiwezi fanya kea purpose ipi ku complete objective gani ya kiofisi Koko Kama hicho? Kuwa CCM wachome ili iwe Nini? Ifaidike Nini Ni kiofisi hovyo Kama hicho.Hakuna hata kimoja CCM yaweza faidi kwa kuchoma hicho kiofisi Kama kibanda Cha kuuza vocha

Hao Ni wenyewe Chadema wanatafuta tu Kiki za Kisiasa na Media attention tu ujinga mtupu
 
Hilo tukio Ni la kutafuta kick tu ya media namkumbuka 2015 pia lilirushwa bomu mkutano wa Chadema Huko Huko Arusha lengo kutafuta kick na attention kwenye media

Ni Chadema tu wanatafuta kick za media attention tu
Yaani CHADEMA ijirushie bomu iue wafuasi wake? Mabomu yanamilikiwa na majeshi. CHADEMA sio jeshi Wala polisi.
 
Hilo tukio Ni la kutafuta kick tu ya media namkumbuka 2015 pia lilirushwa bomu mkutano wa Chadema Huko Huko Arusha lengo kutafuta kick na attention kwenye media

Ni Chadema tu wanatafuta kick za media attention tu

Hizo mbinu za kurusha mabomu kwenye vyama vya upinzani CCM mliiga huko Ulaya Mashariki ya zamani ile ya madictator. Nakumbuka tukio lile, kisha jeshi la polisi na vyombo vya usalama kuingilia katika hali ya kuzuia ukweli kufahamika kwa umma.

Kwa taarifa yako matukio haya yote tumeyahifadhi kwenye records, iko siku yatakaa hadharani. Haya mnayofanya hivi sasa hakuna jipya, wenzenu walifanya karne iliyopita na wakaona hayalipi maana ukweli ulibaki kuwa umma hauwataki. Huwezi kulazimisha kupendwa
 
Back
Top Bottom