Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Hawa Ccm sasa wanakotaka kutupeleka sipo kabisa. Huwa ninasema siku amani ya nchi Yetu ikitoweka basi Ccm watakuwa wahusika No.1
Ni kwa sababu hawapendi siasa za ushindani
 
Hapo ndiyo huwa namkubali sana Maalim Seif kwa siasa zake za jino kwa jino
 
Polisi fanyene uchunguzi, wako baadhi ya wanacdm wanashangaa kwa nini Lissu tangu arudi msafara wake na wafuasi wake haujatawanywa na polisi ili wafanye fujo. Yawezekana wamekuja kwa staili hii.
 
Kupanga ni kuchagua! Kuna watu wamepanga na kuchagua kwa akili zao kabisa wafanye uharamia huo na hii si bahati mbaya bali kuna lengo mahususi nyuma yake! Lakini yote haya kuna siku yatashindikana, watashindana lakini hawataweza!
 
CCM haijawahi mjengea hofu mpiga kura ukimjengea hofu hatapiga kura. Hiyo ni kutafuta tu kick kwa kitoto kwa Chadema. Mnachofanya ni utoto
 
Ni kama self created, kupata public sympathy! Hakuna waTz wanaotaka drama za kijinga... binafsi siamini CCM wanaweza kufanya haya!
#Twende_na_Rungwe
#CHAUMA_2020

Everyday is Saturday..... 😎
Haya ni machadema yenyewe mkuu, hakuna mtu atahangaika na Lissu wakati tunajua yule hapati zaidi ya 20% ya kura,
 
Yote hiyo wanatafuta media attention wameona hawatangazwi wameanza kujitengenezea matukio kutafuta media attention
Mnapata wivu kuona upinzani haujafa kama mlivyopiga ramli, UPINZANI HAUTAKUFA. Take it until you go to the grave and get buried.

Nani hawajui ninyi ni wauwaji?

Kauli za Musiba, Yule UVccm chairman Iringa na Boss wenu zinahalalisha haya yanayotokea.

Yupo wapi Azory Gwanda, Ben Saanane, Akwilina?
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Akili zako zimefungiwa kabatini kwa chakubanga, kwa taarifa yako safari hii msitegemee kutuchagulia kiongozi kama mlivyo zoea chaguzi zilizo pita.

Mkimwaga ugali tunachukua mboga tunakula.
 
Hata kama lakini Mwaka huu lazima Tanzania ifanye kitu, Hatuwezi kuendelea kusubiri Muda mwingine kufanya Mageuzi ya Serikali. Waliowengi Wamezaliwa wakaukuta Mfumo wa Serikali za CCM iliyoziweka mpaka sasa hivi. Hivyo raia Wengi tumechoshwa na mfumo uliopo kwa sababu ndio uliochangia kukosekana kwa Ajira kwa wahitimu wa taaluma mbalimbali sasa Basi
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Wapo ambao watampigia kura ili achukue nchi, kwaio na ww mpigie unaemuona kwako ni Bora wenda na ww unaempenda watu wengine wanamuina nikichaa pia
 
Leo leo inapigwa halambee office kesho inaanza kujengwa chap kabla ya uchaguzi inaanza kutumika tena.
Mumeshindwa kuitishaharambee kujenga ofisi ya Chadema makao makuu mnapanga kijumba uswahilini

Si mungeitisha harambee ya kujenga makao makuu yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…