wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Aisee wameanza sasa
Wameshindwa kwa hoja Sasa wameamua kutumia uhalifu.... Je kwa siasa hizi za chuki wanazidi kujiharibia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee wameanza sasa
Ni kwa sababu hawapendi siasa za ushindaniHawa Ccm sasa wanakotaka kutupeleka sipo kabisa. Huwa ninasema siku amani ya nchi Yetu ikitoweka basi Ccm watakuwa wahusika No.1
mnauhakika gani kama ni wapinzani wa lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Hapo ndiyo huwa namkubali sana Maalim Seif kwa siasa zake za jino kwa jinoNi wakati wa Serikali kuonesha kama jambo hili halikubaliki au ndiyo utaratibu uliokubaliwa. Kama itaonesha ndiyo utaratibu mpya, basi wakifanya moja, watendwe 2. Bila kufanya hivyo, wataendeleza.
Lazima kutembea kwenye ile kauli ya 'sasa basi'
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaeeeeee?"Uelekeo Sasa Ni Kura za huruma pamoja na Kura za hasira"
CCM haijawahi mjengea hofu mpiga kura ukimjengea hofu hatapiga kura. Hiyo ni kutafuta tu kick kwa kitoto kwa Chadema. Mnachofanya ni utotoCdm watafutie kiki Arusha? Huko Arusha kila mtu automatically ni cdm, kuna kiki zaidi ya hiyo? Kimsingi kinachofanyika hivi sasa na ccm kuleta siasa za kujenga hofu, baada ya kuona jinsi cdm inavyokubalika. Hivyo mnatumia mbinu za karne iliyopita ya madictator wa ulaya mashariki umma ulipowakataa.
Kitakachofuata hivi sasa ni wanacdm kuanza kuuwawa ili kujenga hofu kwa wafuasi wa upinzani wengine. Hilo ndio tatizo la chama kupitwa na wakati kisha kulazimisha kukaa madarakani. Kizazi hiki sio cha ccm, hivyo ni lazima mtumie mbinu za kidictator kuendelea kukaa madarakani, lakini mtaondoka madarakani kwa vyovyote.
Haya ni machadema yenyewe mkuu, hakuna mtu atahangaika na Lissu wakati tunajua yule hapati zaidi ya 20% ya kura,Ni kama self created, kupata public sympathy! Hakuna waTz wanaotaka drama za kijinga... binafsi siamini CCM wanaweza kufanya haya!
#Twende_na_Rungwe
#CHAUMA_2020
Everyday is Saturday..... 😎
Mnapata wivu kuona upinzani haujafa kama mlivyopiga ramli, UPINZANI HAUTAKUFA. Take it until you go to the grave and get buried.Yote hiyo wanatafuta media attention wameona hawatangazwi wameanza kujitengenezea matukio kutafuta media attention
Nani kasema ni wapinzani wa Lissu wamefanya hivyo?..mnauhakika gani kama ni wapinzani wa lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Labda kwenda kuwinda digi digiKumekucha!
Nipo tayari hata kuingia msituni mwaka huu.
Akili zako zimefungiwa kabatini kwa chakubanga, kwa taarifa yako safari hii msitegemee kutuchagulia kiongozi kama mlivyo zoea chaguzi zilizo pita.nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Wapo ambao watampigia kura ili achukue nchi, kwaio na ww mpigie unaemuona kwako ni Bora wenda na ww unaempenda watu wengine wanamuina nikichaa pianyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Mumeshindwa kuitishaharambee kujenga ofisi ya Chadema makao makuu mnapanga kijumba uswahiliniLeo leo inapigwa halambee office kesho inaanza kujengwa chap kabla ya uchaguzi inaanza kutumika tena.
Haijawahi kutokea na haitatokeaCCM kwa sasa hawana hoja, hutamsikia Sirro wala Msajili wa vyama akikemea.