Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

CCM haijawahi mjengea hofu mpiga kura ukimjengea hofu hatapiga kura. Hiyo ni kutafuta tu kick kwa kitoto kwa Chadema. Mnachofanya ni utoto

Ccm haitegemei wapiga kura, usitake kupotosha. Ccm imeshajuwa wapiga kura ni wa kizazi hiki, na kizazi hiki hakiitakitaki ccm. Ccm sasa hivi inategemea kupita bila kupingwa, mfano halisi ni chaguzi zote za marudio, na uchaguzi wa SM. Kama nimesema uongo, niambie uchaguzi wa SM ccm mlishinda kwa kura ngapi?

Iko hivi boss, kila kitu kina zama zake. Ccm sio chama cha zama hizi na mifano ya dhahiri ipo. Ni kipi ambacho ccm haijafanya ndani ya hii miaka mitano lakini bado watu wanapenda upinzani? Ccm imejenga miundombinu kibao, imeteka, kujeruhi, kuwafunga wapinzani hata kuwaua, lakini bado watu wanapenda upinzani tu.

Kama ni siasa wapinzani wamekataliwa kufanya kwa mujibu wa sheria, lakini muda mchache tu wameonyesha hisia zao. Hiyo ni dalili kuwa hakuna uwezekano tena wa ccm kutawala nchi hii kwa kura halali, zaidi ya 60%.
 
Yote hiyo wanatafuta media attention wameona hawatangazwi wameanza kujitengenezea matukio kutafuta media attention

Media attention Zaidi ya hii inayowaumiza? Mnalazimisha kufunga vyombo vya habari visivyo wafagilia, saa hii mmehamia kutotaka vyombo vya habari vya nje kusikika vyema.

Ni hatari gani ambayo itapatikana baada ya Magufuli kuingia madarakani, ambayo haikutokea huko nyuma tulipokuwa tukisikiliza hivyo vyombo vya habari? Sasa hivi habari za cdm zinatangazwa mpaka useme wanatafuta media attention?
 
October nayo ifike Fasta watu warudi Ubeligiji
 
Jambo mnalopaswa kulifanya nyinyi Chadema ni kuhakikisha mnatumia zaidi TEHAMA kwa shughuli zenu, hayo makaratasi yote kwenye maofisi yenu yatalipuliwa, huu ni mpango maalum uliopangwa, na wala hakuna haja yoyote ya kuripoti mambo haya polisi, hamtasaidiwa.

Moto waliouwasha wananchi kwenye mapokezi ya Lissu umewafanya watu waoga kufikia maamuzi hayo, hivi ni vitisho vya kichovu sana ambavyo havitaweza kumtisha yeyote kwenye mapambano haya.
 
Mnauhakika gani kama ni wapinzani wa Lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi

Hao Polisi waanze na Wasiojulikana waliompiga RISASI TAL,

Waliochoma Moto madhara yao hayalingani na yale ya risasi.
 
Kutoa taarifa za uhalifu kwa jeshi la polisi ni lazima. Tuliamini jeshi letu.
 
Ndo tatizo la vyma vya mifukoni. Ofisini munakotegemea kumpokea mgombea, hakuna hata walinzi? Ina maana hata usalama haukuandaliwa hapo ofisini? Usanii mwiiingi!
 
Wewe kistobe cha kuku unajua nn kuhusu siasa wewe, nenda Kapange foleni upewe ujira wako Lumumba , huku unajaza saver tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…