Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM haijawahi mjengea hofu mpiga kura ukimjengea hofu hatapiga kura. Hiyo ni kutafuta tu kick kwa kitoto kwa Chadema. Mnachofanya ni utoto
Maendeleo yana chama ila Udikteta hauchagui chama saaizi hata maccm yanaisoma nambaMaendeleo hayana chama!
Kinachofuata jino kwa jino.
Wp chato?Ndiyo mbinu za kijinga alizokuja nazo huyo mpuuzi wenu toka huko alikokuwa. Ni ujinga wa hali ya juu sana
Sawa lakini lini polisi waliwahi kuja na majibu kamili kwenye visa vya wapinzaniMnauhakika gani kama ni wapinzani wa Lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Yote hiyo wanatafuta media attention wameona hawatangazwi wameanza kujitengenezea matukio kutafuta media attention
Mnauhakika gani kama ni wapinzani wa Lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
ndio kifuatachoUshauri wangu safari hii tulie wote
Hili la Sirro si jeshi la polisi la wananchiKutoa taarifa za uhalifu kwa jeshi la polisi ni lazima. Tuliamini jeshi letu.
endeleeni kuchoma moto ofisi za ChademaMnajitisha wenyewe kwa uwongo na uzushi.hampati kura za huruma mwaka huu.watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha kabisa.
Ndo tatizo la vyma vya mifukoni. Ofisini munakotegemea kumpokea mgombea, hakuna hata walinzi? Ina maana hata usalama haukuandaliwa hapo ofisini? Usanii mwiiingi!#Sasa basi
View attachment 1536624
View attachment 1536705
===
Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya
Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza
ZAIDI:
Ofisi za kanda ya Kaskazini zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petroli, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga kelele kuwa amevamiwa akiomba msaada akiwa anakimbia - anafukuzwa, hajapatikana hadi sasa.
Yote hayo yanatokea wakati mgombea urais wa CHADEMA ndg. Tundu Lissu akiingia Arusha leo kutafuta saini za wadhamini akitokea Katesh, Hanang
Wewe kistobe cha kuku unajua nn kuhusu siasa wewe, nenda Kapange foleni upewe ujira wako Lumumba , huku unajaza saver tu.Wewe utumbo wa kuku acha upuuzi. Huyo kilema wenu alikuwa chato lini!! Uliambiwa chato kuna mabasha.
Na hizo mbinu zenu za kijinga mnazifanga kwa hao wavuta bangi huwenda mkafanikisha. Lakini kwa wanaojielewa huwezi kufanya ujinga huo. Uchome ofisi ya chama ofisi ndiyo inayopiga kura? Au ofisi ndiyo inadhamini mgombea?
wewe ulikuwepo eneo la tukio??Ofisi yenye walinzi inaanzaje kushambuliwa kwa moto na taarifa itoke baada ya moto kuisha kabisa? Kiki zimegoma msimu, CCM imekubali kucheza fea, nanyinyi chezeni fea.