Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Magaidi pia humiliki mabomu waweza jificha vyama vya siasa
Kama mlivyo magaidi kuteka watu kila uchao mnasingizia mbowe.

Roma alitekwa na mbowe sio hadi kukimbia nchini Tanzania?

Mnatia aibu wauwaji wakubwa na mnasifa za shetani, akifanya jambo lazima asingizie fulani kafanya.
 
Kichaa kapewa rungu na haya ndio matokeo yake baada ya kushindwa kuua upinzani!
 
Yaweza kuwa bavicha tu. Maana walitegemea lissu atakavyotua atapigwa pingu mambo yamekuwa tofouti sasa huwenda wakawa wamekuja na hili la kuchoma ofisi zao kutafuta attention nahisi lissu atakuwa leo arusha ili apate cha kuzungumza...

Ni kwamba haonewi mtu huruma, octoba anapata % kadhaa za kura zote, nae pia aandike historia ya kushiriki uchaguzi mkuu na kupata kura chache kupita kiasi...
 
Mnauhakika gani kama ni wapinzani wa Lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Mlipompiga Lissu risasi pia mlianza hivyo hivyo hadi leo hamjakamata hata mtu moja wa kusingizia. Mmeshashikwa na kiwewe.
 
Ulinzi wa hizo ofisi unasemaje? Waisaidie polisi, ila Kama hakuna taarifa za maana basi watakuwa wamechoma wenyewe.

Isije ikawa jamaa hawana mlinzi lakini
 
Back
Top Bottom