Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Heri yako wewe unaye fikiri ukiwa ndani ya boxTatizo lako wewe ni kutofikiri nje ya box!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri yako wewe unaye fikiri ukiwa ndani ya boxTatizo lako wewe ni kutofikiri nje ya box!
Jibu swali achana na ramli
Lazima tuwarudishe kwenu BurundiAcheni uhuni, haya matukio mnapanga wenyewe
Kachukue Ubongo wako uliokabidhi kwa akina MboweHeri yako wewe unaye fikiri ukiwa ndani ya box
Kama mlivyo magaidi kuteka watu kila uchao mnasingizia mbowe.Magaidi pia humiliki mabomu waweza jificha vyama vya siasa
Thubutu!!Hawa banyamulenge wa Tz wameshapagawa sasa naona siasa za ushindani zimewashinda wameanza fujo.
Watu wakijibu mapigo na kukuta Lumumba inafuka moshi wasije laumu.
mnauhakika gani kama ni wapinzani wa lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Mlipompiga Lissu risasi pia mlianza hivyo hivyo hadi leo hamjakamata hata mtu moja wa kusingizia. Mmeshashikwa na kiwewe.Mnauhakika gani kama ni wapinzani wa Lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Wewe ni yule wa Richmond au ni fake ID.Watakuwa wamechoma Chadema wenyewe ili walipwe na bima
Nikikusoma tena unaandika upumbavu wako huu najua kitakacho fuata ni nini. Ni Mimi kupigwa ban shetani wewe!Kuchoma ofisi zenu ni siasa za kishamba sana.
Wewe jamaa una akili sana, wapinzani wa Lissu ni CCM woteMnauhakika gani kama ni wapinzani wa Lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Tuseme imejichoma yenyewe ili wewe uwe na amani.Mnauhakika gani kama ni wapinzani wa Lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi