Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

CHADEMA wanapenda sana kiki,walifungiwa na wanajua ila wameamua kukusanyika kwani wanajua wataongelewa na kupata kiki.
UPUMBAVU
Mwenye kiki ni ccm wasiokuwa na uwezo wa kushindana kwa hoja na badala yake hutumia jeshi ja vyombo vyengine kuzima mijadala ya wapinzani wao. Ujinga tu.
 
Hawa police wetu huwa hawana kazi yaelekea..
Inabidi tuwatengenezee kakikundi flani ka waasi kawaweke busy kama ambavyo police wa Kenya wanahangaika na Alshabab.
 
Bila jeshi kutusaidia CCM wataendelea kutunyoosha haji maji tuite mma.
 
CHADEMA wanapenda sana kiki,walifungiwa na wanajua ila wameamua kukusanyika kwani wanajua wataongelewa na kupata kiki.
UPUMBAVU
Wapumbavu ni wale wawili walikaliana uchi wakakuleta dunia shoga mkubwa wewe
 
1000105048.jpg
 
Na
Isije kuwa ni Keyboard warriors. Bado unaipenda Dunia na vilivyomo ikiwemo Gari lako, nyumba, mke, familia, bia ngono n.k
Na huo ndio ukweli. Unahubiri mapinduzi wakati akili yako yote inawaza glosari yako imeishiwa serengeti light.
 
Uhuru wa kweli na haki haiji kwenye "sliverplate" sacrifice ya damu ni lazima.
Mtakubali tu kuwa viongozi waislamu ni laana ....nikosa kubwa sana kumpa uongozi muislamu zaidi ya uongozi wa dini
 
Shame on you Samia, kampeni umeachiwa wewe bado unshangaika tu ...umekuwa mfano mbaya wa mwanamke kupewa madaraka
 
Uko tayari kusacrifice damu?
Mtaendelea kuumizwa hivyo hivyo mkinyamaza. Kufa mtakufa tu, lazima tufe kiume na nchi yetu iwe bora zaidi. Huu unaouona ni uchaguzi sasa hivi? Haki za binadamu zinavunjwa kila kukicha. Kenya hata juzi wamekufa wengi....Ruto amebakia anajikojolea.....WATANZANIA NI WAOGA MNO....TUPO KAMA NYUMBU, WENGI WETU KAMA WEWE WANAHONGWA ILI WAPINGE KILA KITU NA KUMLAMBA MATAKO HUYO MAMA.
 
Back
Top Bottom