Polisi 4 wametumwa kuzuia watu... Wataweza kuzuia wananchi 1000?Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote.
Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’
===
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa;
"Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia watu kufika eneo hilo, ambapo tulikusudia kuadhimisha #ChademaMashujaaDay kuwakumbuka wahanga wa kupigania haki na demokrasia nchini."
View attachment 3467283
View attachment 3467284
View attachment 3467285
Kufungiwa na nini?CHADEMA wanapenda sana kiki,walifungiwa na wanajua ila wameamua kukusanyika kwani wanajua wataongelewa na kupata kiki.
UPUMBAVU
CHADEMA fanyeni online meetings.Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote.
Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’
===
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa;
"Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia watu kufika eneo hilo, ambapo tulikusudia kuadhimisha #ChademaMashujaaDay kuwakumbuka wahanga wa kupigania haki na demokrasia nchini."
View attachment 3467283
View attachment 3467284
View attachment 3467285
Hapana. Anataka wengine ndo wasacrifice damu halafu yeye aje huku kuripotiUko tayari kusacrifice damu?
Umesahau na baiskeli za kijaniIsije kuwa ni Keyboard warriors. Bado unaipenda Dunia na vilivyomo ikiwemo Gari lako, nyumba, mke, familia, bia ngono n.k
Ukweli ni kwamba hawa watu wanafanya kila liwezekanalo ili damu ya waTanzania imwagike. Hiki ndich wanacho kitafuta.Uhuru wa kweli na haki haiji kwenye "sliverplate" sacrifice ya damu ni lazima.
Ngoja nijaribu. Lakini si kusudi langu kukusuta wewe, mkuu 'misasa'.Sure! Si wakati wakubembelezana
Mimi kwenye haya mapambano nimeamua niwe mshona viatu vya wanaoenda kuandamana sitakua front ila ntatumia kipaji changu kuwarekebishia viatuMkuu katika jeshi kila mwanajeshi ana role yake wengine wapishi dereva spy musicians nk sio wote tuwe frontline mimi katika mapambano ni communicator Sargent
acha kua mjinga usihatarishe maisha hayo kupigania cheo cha mtu mwingine, faanya ivo kwa ajili ya maslai yakoMimi nipo tayari
Sheria ya vyama inayaka mikutani yoyote ya vyama ya ndani au nje lazima itolewe taarifa Polisi waulizwe walitoa taarifa Polisi?CHADEMA wanapenda sana kiki,walifungiwa na wanajua ila wameamua kukusanyika kwani wanajua wataongelewa na kupata kiki.
UPUMBAVU
HahaNgoja nijaribu. Lakini si kusudi langu kukusuta wewe, mkuu 'misasa'.
Katika lile jeshi kubwa lililokuwa upande wa Magufuli; hawa waTanzania wote wamepotelea wapi wakati muhimu kama huu kwa taifa hili?
Hata humu ndani ya JF, nakuona wewe tu kuwa kama ndiye hukuzolewa na Samia na Genge lake.
Watu hao hao waliokuwa wakituaminisha wanapambania yale waliyo yaona mazuri ya Magufuli; itakuwaje sasa watu hao hao ndio wanaoimba nyimbo za Samia; nyimbo ambazo ni tofauti kabisa na zile walizokuwa wakiimba wakati wa Magufuli!
Ni watu hawa hawa, ndio sasa wanao watishia maisha waTanzania wanaotafuta ukombozi wa nchi yao!
Nchi hii imekuwa na watu wa namna gani hii?