Hao wengine huwajui, au mpaka nikutajie wote?hii mada ya ali kibao unaipenda sana, let him rest in peace! whatever happend ishatokea and usipende kurusha tuhuma kama huna ushahidi itakucost sku, si unaona jinsi kuandika taarifa zisizo na ushahidi zimeifikisha wap jamii forum? jifunze kua mtu wa ushahidi other wise utapitia matatizo mengi sana
alafu kingine achana na siasa za huruma, gaza kila sku wanatia huruma wakidhan dunia inapenda siasa za huruma badala ya kua kama iran
Na hapo hapo unaendelea kuzungumzia "siasa za huruma", sasa niseme kuwa wewe ni mmoja wa hao wanaoua waTanzania kwa vile huruma zinakunyima unacho kitafuta?