Acha uoga kijana ingia frintline bado una nguvu.Mimi kwenye haya mapambano nimeamua niwe mshona viatu vya wanaoenda kuandamana sitakua front ila ntatumia kipaji changu kuwarekebishia viatu
Acha uoga kijana ingia frintline bado una nguvu.Mimi kwenye haya mapambano nimeamua niwe mshona viatu vya wanaoenda kuandamana sitakua front ila ntatumia kipaji changu kuwarekebishia viatu
Kuwa sioni ukibadili msimamo uliokuwa nao wakati ule na kuwa chawa wa Samia; au nakosea?Haha
Mkuu 'Kalamu' ukisema mimi sijazolewa na Samia unamaanisha nini?
Sasa wewe hapa unapigania kitu gani, kama siyo kuendelea kutupiwa makombo toka kwenye meza ya Samia na Genge lake!acha kua mjinga usihatarishe maisha hayo kupigania cheo cha mtu mwingine, faanya ivo kwa ajili ya maslai yako
Tena damu yako ingelipendeza sana!Uhuru wa kweli na haki haiji kwenye "sliverplate" sacrifice ya damu ni lazima.
HahaKuwa sioni ukibadili msimamo uliokuwa nao wakati ule na kuwa chawa wa Samia; au nakosea?
mm nafanya siasa ambazo hazihusiani na kujitoa mwanga,, nachokurekebisha ni hizo fikra za kujitoa uhai ili mtu ashinde ubunge achana nazoSasa wewe hapa unapigania kitu gani, kama siyo kuendelea kutupiwa makombo toka kwenye meza ya Samia na Genge lake!
Kuna jambo gani linalokufanya uzime akili na kujifanya huoni hiyo CCM unayojitambulisha nayo ipo kwa manufaa ya hilo genge?
Hili nalo linahitaji ukumbushwe kuuona ukweli huo?
LOOoooh!Haha
Niache nina mengi ya kukueleza kwanini wakati ule nilikuwa kule na sipo nae huyu muislm na mwana ccm mwenzangu. Ila ipo siku haina jina nitakueleza kwa kina, tuombe uzima mkuu.
Nashukuru sana ila nikuache na swali kidogo huyu na yule yupi bora kwako?
Umelewa, mbona hueleweki?mm nafanya siasa ambazo hazihusiani na kujitoa mwanga,, nachokurekebisha ni hizo fikra za kujitoa uhai ili mtu ashinde ubunge achana nazo
si ndo siasa za chadema izo, tuandamane tulete vurugu 😂😂 , yaani uende ukapigwe kisa mtu apewe kura za kuingia madarakanUmelewa, mbona hueleweki?
Siasa za kujitoa mwanga, ni siasa za namna gani hizo?
Mtu atajitoaje uhai, halafu ashinde ubunge?
Umechanganyikiwa?
Mlikuwa na matumaini makubwa juu ya hayo unayo yaelezea hapa; ila sasa ni wazi matumaini hayo yanaanza kudidimia.si ndo siasa za chadema izo, tuandamane tulete vurugu 😂😂 , yaani uende ukapigwe kisa mtu apewe kura za kuingia madarakan
huu ni mwaka wa 60 sasa ccm ipo madarakani kila uchaguzi mnasema ccm inaweweseka! 😂 una habari ccm ndo chama kikubwa kuliko vyotte afrikaMlikuwa na matumaini makubwa juu ya hayo unayo yaelezea hapa; ila sasa ni wazi matumaini hayo yanaanza kudidimia.
Damu ya waTanzania kamwe hamtaimwaga. CHADEMA wametumia akili kubwa sana, sasa mnaanza kuweweseka.
Tatizo lako ni kujifanya huelewi unacho soma. CCM sasa hivi ni kasha tu, siyo chama cha siasa tena. Bila kutegemea dola hili kasha litabomoka hata lisitambulike lililko anzia.huu ni mwaka wa 60 sasa ccm ipo madarakani kila uchaguzi mnasema ccm inaweweseka! 😂 una habari ccm ndo chama kikubwa kuliko vyotte afrika
umekula?Tatizo lako ni kujifanya huelewi unacho soma. CCM sasa hivi ni kasha tu, siyo chama cha siasa tena. Bila kutegemea dola hili kasha litabomoka hata lisitambulike lililko anzia.
Dalili ni nzuri sana sasa kuwa hatimaye waTanzania wametambua uhalisia ulivyo. Hakuna CCM tena; bali ni Genge la watu linalotumia jina la chama.
Samia ataimaliza kazi iliyo anzwa na Kikwete.
Unapenda sana kuuliza maswali ya aina hii! Hukumbuki kwamba nilisha kujibu kwamba badala ya kuhangaikia GENGE hilo la Samia, linalo kuleta hapa ili upate mlo wako wa kila siku; huku ukihujumu nchi yako; kwa nini usiseme tu uje nikuwezeshe wewe pamoja na famili yako yote inayo kutegemea!umekula?
huezi kuta mtu ambae sio maskini ana mawazo kama yako, mawazo yako ya kisiasa yanalenga siasa za huruma ndo maaana nakuuliza umekulaUnapenda sana kuuliza maswali ya aina hii! Hukumbuki kwamba nilisha kujibu kwamba badala ya kuhangaikia GENGE hilo la Samia, linalo kuleta hapa ili upate mlo wako wa kila siku; huku ukihujumu nchi yako; kwa nini usiseme tu uje nikuwezeshe wewe pamoja na famili yako yote inayo kutegemea!
Ya nini uendelee kuhangaika huku ukiumiza roho yako juu ya usaliti wa taifa lako.
Kwa hiyo ndiyo sababu mnawaua waTanzania; kama Mzee Kibao, ili "msiwe maskini"?huezi kuta mtu ambae sio maskini ana mawazo kama yako, mawazo yako ya kisiasa yanalenga siasa za huruma ndo maaana nakuuliza umekula
kama ccm imekufa chadema itakua wapi sasa maana mpaka mwaka huu mKwa hiyo ndiyo sababu mnawaua waTanzania; kama Mzee Kibao, ili "msiwe maskini"?
Hiyo ndiyo CCM, ambayo umejivalisha gwanda lake kwenye hiyo 'Avatar; ndiyo inayo wapa msukumo wa kutokuwa na "siasa za huruma"!
Tukisema CCM ilikwisha kufa, mtu kama wewe hujui lolote; kwa sababu hujui CCM ilianzishwa kwa malengo gani.
'Actually' inanilazimu niwe mkweli hapa. Nilikuwa hata siku moja sijakuchukulia wewe kuwa kati ya watu wenye fikra kama ulizo onyesha waziwazi kwenye hayo maneno katika mstari huo mmoja.
Sasa bado huamini kuwa CCM ilisha kufa?
Sitakujibu tena katika mlengo huu nilio tumia hapa, maadam sasa najuwa unakosimamia.
hii mada ya ali kibao unaipenda sana, let him rest in peace! whatever happend ishatokea and usipende kurusha tuhuma kama huna ushahidi itakucost sku, si unaona jinsi kuandika taarifa zisizo na ushahidi zimeifikisha wap jamii forum? jifunze kua mtu wa ushahidi other wise utapitia matatizo mengi sanaKwa hiyo ndiyo sababu mnawaua waTanzania; kama Mzee Kibao, ili "msiwe maskini"?
Hiyo ndiyo CCM, ambayo umejivalisha gwanda lake kwenye hiyo 'Avatar; ndiyo inayo wapa msukumo wa kutokuwa na "siasa za huruma"!
Tukisema CCM ilikwisha kufa, mtu kama wewe hujui lolote; kwa sababu hujui CCM ilianzishwa kwa malengo gani.
'Actually' inanilazimu niwe mkweli hapa. Nilikuwa hata siku moja sijakuchukulia wewe kuwa kati ya watu wenye fikra kama ulizo onyesha waziwazi kwenye hayo maneno katika mstari huo mmoja.
Sasa bado huamini kuwa CCM ilisha kufa?
Sitakujibu tena katika mlengo huu nilio tumia hapa, maadam sasa najuwa unakosimamia.
Hakuna sababu ya kuwazuia, Huo ni uonevu. Namheshimu sana Lissu kukataa upuuzi huu, Mbowe anamlamba mama mguu, na ndiyo ametufikisha hapa.Hapo ndipo heshima huwa inakuja...
Nilisema nitaanza kukujibu kitofauti, lakini ngoja nivute subira kidogo na wewe, kwa sababu naona kumbe sehemu kubwa inayo kusumbua ni ujinga tu.kama ccm imekufa chadema itakua wapi sasa maana mpaka mwaka huu mView attachment 3469033wanzon ccm ndo chama kikubwa kuliko vyote afrika na duniani ni #10,
List of largest political parties - Wikipedia
en.wikipedia.org