Hao wengine huwajui, au mpaka nikutajie wote?hii mada ya ali kibao unaipenda sana, let him rest in peace! whatever happend ishatokea and usipende kurusha tuhuma kama huna ushahidi itakucost sku, si unaona jinsi kuandika taarifa zisizo na ushahidi zimeifikisha wap jamii forum? jifunze kua mtu wa ushahidi other wise utapitia matatizo mengi sana
alafu kingine achana na siasa za huruma, gaza kila sku wanatia huruma wakidhan dunia inapenda siasa za huruma badala ya kua kama iran
Fala na mbwa mshenzi wewe, CHADEMA wamefungiwa kwa sababu gani? Tumia kichwa chako kufikiri siyo makalio yako pumbavu wewe. Kila chama kinahitaji uhuru wa kufanya mambo yao, mbona huyo mama yenu mgombea fake anazunguka zunguka na kuvunja sheria, hiyo tume ya wahuni na msajili mhuni hawamzuii? Anaogopa CHADEMA kupita kiasi hadi anajinyea nyea. Anawafunga mikono anaoshindana nao ili ashinde......Hatumtaki, nyie endeleeni kusomba watu kwenye malori muwajaze uwanjani....Wapumbavu ninyiCHADEMA wanapenda sana kiki,walifungiwa na wanajua ila wameamua kukusanyika kwani wanajua wataongelewa na kupata kiki.
UPUMBAVU
Waonevu na wezi wa fedha zetu, siyo IGP tu, yupo mkuu na huyu DGTISSHii ndio sabubu Samia amemfanya IGP kuwa billionaire.
kama nlivokwambia siasa zako za huruma hazisaidii chochote, mtu ashaondoka let him rest in peace and siasa za haki hakunaga, siasa za gaza mnadhan ztawasaidia, we fanya mambo muhimu ya maisha yako mengine achana nayoHao wengine huwajui, au mpaka nikutajie wote?
Na hapo hapo unaendelea kuzungumzia "siasa za huruma", sasa niseme kuwa wewe ni mmoja wa hao wanaoua waTanzania kwa vile huruma zinakunyima unacho kitafuta?
unateseka ukiwa wap ndugu mwanaharakatiNilisema nitaanza kukujibu kitofauti, lakini ngoja nivute subira kidogo na wewe, kwa sababu naona kumbe sehemu kubwa inayo kusumbua ni ujinga tu.
Kwa hiyo mnapoona takataka kama hizi, roho zenu zinassuzika kabisa na kutulia?
Vigezo vyake ni nini; uwingi wa wanachama? Watu ambao wengi wao ndio hao ulio waelezea kwenye bandiko lako hapo juu?
Hawa wanachama ambao ni nyenzo tu ya nyinyi wenye sifa ulizo zielezea hapo juu ili kuwatumia kufanya uchafu?
Tena taarifa yenyewe kumbe ni kutoka Wikipedia, ndiyo inakupa matumaini ya kujigamba hapa?
Kwani unataka tuendelee kujadili nini hapa. Huoni kuwa nimekwisha kupa taarifa yote muhimu kukuwezesha kujua kuwa wewe ni JAMBAZI, tena muuaji wa waTanzania. Sasa unataka niongeze kitu gani hapo. Hao watu, milioni 13 ndani ya hicho kinachoitwa chama, wote wapo kama wewe?kama nlivokwambia siasa zako za huruma hazisaidii chochote, mtu ashaondoka let him rest in peace and siasa za haki hakunaga, siasa za gaza mnadhan ztawasaidia, we fanya mambo muhimu ya maisha yako mengine achana nayo
Nani kati yetu anateseka? Mimi siteseki, kwa sababu najua nchi yetu tutaikomboa kutoka kwa maharamia unao wafanyia kazi hapa.unateseka ukiwa wap ndugu mwanaharakati
yawezekana hujapata menu, ebu pata menu kwanzaa alafu urudiNani kati yetu anateseka? Mimi siteseki, kwa sababu najua nchi yetu tutaikomboa kutoka kwa maharamia unao wafanyia kazi hapa.
Wewe unateseka kwa kujuwa maisha yako hayana matumaini yoyote; hasa kwa jinsi ulivyo jipambanua kufanya kazi chafu kabisa kama unavyo jieleza mwenyewe.
nenda dodoma hospital utakuta nshafanya malipo uanze matibabu, kama sio depression basi piga kazi upate helaKwani unataka tuendelee kujadili nini hapa. Huoni kuwa nimekwisha kupa taarifa yote muhimu kukuwezesha kujua kuwa wewe ni JAMBAZI, tena muuaji wa waTanzania. Sasa unataka niongeze kitu gani hapo. Hao watu, milioni 13 ndani ya hicho kinachoitwa chama, wote wapo kama wewe?
Hawa maskini hawaelewi kuwa chama chao kilisha chukuliwa na majambazi, ambao wewe ni mfanya kazi tu, wa kutoa roho za waTanzania.
Leo hujapewa 'assignment' ya kutafuta wa kuwatoa roho?yawezekana hujapata menu, ebu pata menu kwanzaa alafu urudi
Hiyo kazi ya kuua waTanzania imeanza kukuathiri mwenyewe; bado hutambui?nenda dodoma hospital utakuta nshafanya malipo uanze matibabu, kama sio depression basi piga kazi upate hela