Utoto raha sana.Ogopa kuanzisha mausiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati
Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
Ogopa kuanzisha mausiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati
Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
Madogo ni waoga mpaka wanaamua kupendana na kubutuana wenyewe kwa wenyewe ,kwa sababu wameshawaogopa wanawakeHuko mbeleni tutakuja kuwa na wanaume dhaifu sana na waoga kwa hizi kampeni za kipuuzi zinazoendelea mtandaoni. Kwa mfano;
1. Usioe mwaname mwenye miaka 30+
2. Usioe single mother
3. Usile wanga
4. Kula mara moja kwa siku
5. Usipeleke mtoto advance
Hii nikweli kabisa mwana jamvi.Ogopa kuanzisha mausiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati
Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
Hii thread umewaandikia watoto wa umri gani?Ogopa kuanzisha mausiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati
Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
ππ€£πWe kuna jambo limekukuta sio siri, una ufala mwingi sana
Huu ni ushauri wa kuwapatia wanafunzi huko mashuleni; Ila ukija kwenye maisha halisi huku mtaani mambo ni tofauti kabisa.. mfano: kama nina miaka 40 ni date wa umri gani?
Kwanza wanawake wa kuanzia miaka 30 hivi wengi ndio wapo tayari kuolewa na kutulia
Hao watoto wengine wana muda mwingi wa majaribio (try and error)
Binafsi nawaelewa sana wa umri huo ....
Seran nakuona upo mstari wa mbele kuwatetea single moms na wanyonge wengineπWe kuna jambo limekukuta sio siri, una ufala mwingi sana
Eti jamani πSi mjiumbie tu hao mnaowataka π
Well said, huyo atakuwa hajui anachokizungumza! Hao anaowataka wako kwenye era ya mashindano ya zawadi za valentines,kope na mawigi! Hawajui biashara wala wanachotaka kwenye maisha yao! Mostly wanasubiri tu kupewa na wanaamini katika kupewa! Wewe unakuja hapa kuanzisha nyuzi kutukana mwanamke wa miaka30, kuna vijana hawajielewi fr!Huu ni ushauri wa kuwapatia wanafunzi huko mashuleni; Ila ukija kwenye maisha halisi huku mtaani mambo ni tofauti kabisa.. mfano: kama nina miaka 40 ni date wa umri gani?
Kwanza wanawake wa kuanzia miaka 30 hivi wengi ndio wapo tayari kuolewa na kutulia
Hao watoto wengine wana muda mwingi wa majaribio (try and error)
Binafsi nawaelewa sana wa umri huo ....
Hebu kunywa maji kwanza halafu uendelee maana umewaka π₯Kila mtu atetee kundi lake! Mi ndio nimechagua hili nitawatetea kwa namna yoyote ile ujinga ni mwingi sana!
Mkuu, ukiona wanaume wawili watatu wanaongelea Jambo moja ujue hawafanyi.Kila mtu atetee kundi lake! Mi ndio nimechagua hili nitawatetea kwa namna yoyote ile ujinga ni mwingi sana!
Bikra na wasio na watoto mnaweza kuhandle? Ila city boys bwana!πKama wanawake wanawawekea vigezo vijana kwamba muwe na hela na nyie wakazieni hivo hivo wekeni standards kama bikra, tabia njema & asiwe single mother.
Oa single mama kama na wewe ni single dad, that's it.Huko mbeleni tutakuja kuwa na wanaume dhaifu sana na waoga kwa hizi kampeni za kipuuzi zinazoendelea mtandaoni. Kwa mfano;
1. Usioe mwaname mwenye miaka 30+
2. Usioe single mother
3. Usile wanga
4. Kula mara moja kwa siku
5. Usipeleke mtoto advance
Dahhπ π π€π½Mie siwezi kukuelewa, sababu ndio vitu vyangu..
Naomba nitoke kwenye kikao hiki.
Mtanipiga mpaka mniue ila 30+ siachi tena akiwa 35, mpaka 45+ huku ndio mwake mwake zaidi