Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Kama baby dady kafa?
 
Hapo kidogo Kuna unafuu
Kwa hiyo shida sio mwanamke kua tayari ana mtoto, shida ni wivu wenu unawasumbua kama baby dady yupo hai ila mnasahau kama mtu anapenda kupasha viporo hata wasio na watoto bado wanaweza kupasha viporo kwa maex wao
 
Baby daddy anaunganishwa kupitia mtoto uhakika wa kula punje upo kabisa tofauti na hawa hawana watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…