Makubaliano yalisainiwa na serikali mbili.Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano ili hiyo hati iwe halali ni mpaka mabunge yote yakubsli. Zanzibar Hakuna kikao kilichokaa kuzungumzia hiyo hati , wala hamna säini ya kukubali. Nilikuwekea clip hapo jussa ameongea yote na kutoka ushahidi . Labda hujapata wakati wa kuisikiliza
Makubaliano yalisainiwa na serikali mbili.
Yamepitishwa na Bunge la JMT.
Bunge lililokaa ni la JMT sio Tanganyika pekee.
Hebu toa ushahidi; sio kujisemea hovyo hovyo tu.😎Aliivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu
Soma kitabuHebu toa ushahidi, sio kujisemea hovyo hovyo tu.😎
Nimekuambia toa ushahidi hapa wewe unaniambia eti soma kitabu. Huo muda sina😎
Tafuta Muda . Wewe ndiye mhitaji wa ushahidi. Usiwe Kama MafweleNimekuambia toa ushahidi hapa wewe unaniambia eti soma kitabu. Huo muda sina😎
Naelewa nachoandika hapa.Soma majibu ya wachangiaji
Uhalali wa Bunge la Katiba Bila Hati halisi ya Muungano
Wajibu wa Vijana kwa Taifa ni Kuleta Tija kwa Taifa na Kuwezesha Vijana wengine wasio na fursa kulinganisha na fursa tulizo nazo. Wajibu wangu nikiwa Kijana ni kuhakikisha Taifa hili linaendelea kukua kiuchumi, kijamii na kisiasa bila kuathiriwa na historia mbaya yoyote lakini ikibebwa na historia yote nzuri.
Tanzania ni Jamhuri ya Muungano uliotokana na maungano ya nchi mbili Tanganyika (Tanzania Bara) na Zanzibar tarehe 26/04/1964. Mchakato wa muungano huu ulihusisha shughuli nyingi na matukio mengi kabla, ndani ya...
- Paul Makonda
- Replies: 16
- Forum: Jukwaa la Siasa
Umeelewa nini hapo?Naelewa nachoandika hapa.
Kama hutaki kunielewa acha.
Mafwele ndio nani huyo?😎...Usiwe Kama Mafwele
Hapo ndo mnaharibu kuingiza uongo na udini kwenye jambo lisilo la kidini. Em leta ushahidi wa Mapadri na waumini wao kung'ang'ania muungano! Mkakati wa machawa ni "divide and rule" kama hivi ili kudumisha muungano batili.lakini sisi ukiongea kuuvunja unakuwa Adui na Mapadri wanatuambia muungano ulifanywa na Mungu na wanawaambia waumini wao waulinde kwa gharama yoyote.. Na CCM ndio usiseme wao wanakwambia ndio wataulinda kwa nguvu zote
Utakuwa si M TanganyikaMafwele ndio nani huyo?😎
Soma vizuri nilichoandika bila jaziba halafu nitakuwekea nini Askofu wa kikatoliki aliwaambia wafuasi wake kuhusu MuunganoHapo ndo mnaharibu kuingiza uongo na udini kwenye jambo lisilo la kidini. Em leta ushahidi wa Mapadri na waumini wao kung'ang'ania muungano! Mkakati wa machawa ni "divide and rule" kama hivi ili kudumisha muungano batili.
Muungano ni mchongo wa ccm na mafisadi wake. Watanganyika waliukataa kitambo, refer G55, sema walizimwa kwa shuruti na maccm
Askofu gani?Soma vizuri nilichoandika bila jaziba halafu nitakuwekea nini Askofu wa kikatoliki aliwaambia wafuasi wake kuhusu Muungano
Unamuwekea maneno ya uongo Nyerere mdomoni mwake.Aliwaasa Muache mtakayoona ni mabaya na mchukue mazuri myaendeleze.Hakuweka kikomo kwamba msitumie akili zenu kuanzisha mapya na mazuri kwa nchi.Usipotoshe!Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Ndio maana nasema wengi mnaompinga Nyerere mna akili finyu vibaya sana.Kwa hiyo turudi kwenye siasa za ujamaa?
Kupangisha mtu kwenye nyumba yako ni unyonyaji!😀
Nyerere is overrated.
Azimio lilikuwa 1967. Je umasikini wa wa ki nchi uko subjected ktk azimio ?Sababu alikuwa na roho mbaya sana.
Alinyang'anya mali za matajiri kwa kisingizio cha Azimio la Arusha.
Alinyang'anya majumba na viwanda vya watu.
Alituingiza kwenye vita na Idd Amini.
Hizi ni baadhi tu ya sababu za Nyerere kututia kwenye lindi la umasikini.