Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

My point ni kuwa tukio la 67 kwa watu wachache unalisubject vipi kwa misfortune inayotokea karibia a century later. Ipite miaka mingapi ili tusimlaumi Nyrere kwa umasikini wetu wa Sasa?
Nyerere Atalaumiwa milele na vizazi vyote. Haina cha miaka mingapi
 
Nyerere alitakiwa kutajirisha familia yake, kikamikifu na kuiachia madaraka.

Binadamu hawakumhitaji awapiganie
Yes.
Alivyo na roho mbaya aliibania ht familia yake, kawaacha malofa tu
 
Vipi kuhusu muungano wa serikali mbili??
 
Itakuwa umeelewa kwani umeleta mapya
 

Wanaotuvuruga ni jeshi na polisi ya Tanganyika ndio Huja kusaidia wizi wa kura na wakati mwengine kuuwa watu , kuiba, kunajisi , na kujeruhi watu
 
Itakuwa umeelewa kwani umeleta mapya
nilichoelewa ni kuhusu wewe kuwa "mlevi wa imani" yako, na nimekufahamisha kwa kuwa nimeelewa hali yako, sasa tutakwenda kilevilevi hivyo hivyo hadi tutakakofikia.
Hakuna tena kupotezeana muda na kuelezana mambo ambayo walevi hawawezi kuyaelewa.
Hilo sasa ndilo nililobaki nalo katika mjadala na wewe. Na mimi navaa joho la kilevi.
 
Wanaotuvuruga ni jeshi na polisi ya Tanganyika ndio Hija kusaidia wizi wa kura na wakati mwengine kuuwa watu , kuiba, kunajisi , na kujeruhi watu
Hawa polisi wanawavuruga kwa kumsaidia Samia?
 
Kwani wewe ulitegemea dunia itakuwa na upungufu wa mizoga kama wewe wakati wowote?
Labda hujui, Nyerere ndiye mzoga that's why huwezi kujibizana nae bali waweza kunijibu mie
 
Vipi kuhusu muungano wa serikali mbili??
Suala la muunga ni lakimkakati ili nchi TANGANYIKA KUWA IMARA ZAIDI [STABLE] KUTOKANA NA ITIKADI ILIYOKUWA NAYO[KUTOFUNGAMANA] PAMOMA NA POTENTIAL KUBWA ILIOKUWA NAYO.



AMINI NAKWAMBIA TANGANYIKA IKITENGANA NA VISIWANI ITAKUWA DHAIFU NA HATARINI(vulnerability wise) katika siasa za kikanda na ujasusi kiujumla...



Tukiachama tu na visiwani punde si punde Ex wetu anapata bwana mpya kwa jicho la kijasusi na mtizamo wa ki-geopolitics utaona huyo bwana ni nani hata akiwa sie yeye moja kwa moja basi atawatumia wajomba wetu vipenzi [Habib] kama proxy.



Kwasasa wabeba maono kwa asilimia kubwa wamefyekwa wote... Wamebakia wahuni wanaong'ata huku wanapuliza[wamejipenyeza kwenye system wame-distabilize the originals na sasa wanaji-replicate exponentially... Haya ni mawazo binafsi na hayana ushahidi.
 

Huyo bwana kaolewa au kaoa kwani wote ni mabwana . Hiyo ndoa ni ya mashoga imelaaniwa na ndio maana hakwishi maafa ya kuuwana. Solution ni kuuvunja tu kila mtu akakaa na ujirani mwema. Unasema eti ni kwa ajili ya usalama kwani kabla kuungana Huo usalama haukuwepo ?
 
Ni timing kali ilifanyika, soon baada ya Uhuru hawakutaka kupoteza muda mbinu kali[ujasusi]zilitumika.

Kiufupi hawakutaka kusubiri changamoto na gharama kubwa huko mbeleleni[walidhibiti chanzo/mzizi wa tatizo kabla tatizo lenyewe halijatokea.]

Visiwani kijiografia ni eneo lililokaa kimkaka hasa ukizingatia potential iliyopo huku bara sadec East Africa na DRC.

Huwezi kuona umuhimu wa muungano kama utakua unaitizama dunia kama ilivyo (kikawaida).

Inatakiwa uwe na upeo/ufahamu wa siasa za kikanda katika jicho la kijasusi [game theory].
 

Hizo ni dhana zako , Waingereza walishasema toka 1952 kabla uhuru wa Zanzibar na Tanganyika kuwa hawatoiwachia Zanzibar iwe huru kwa ajili ya kulinda maslahi Yao . Na Nyerere pia alishasema kabla uhuru kuwa angalikuwa na uwezo angalivivurumisha huko baharini mbali hivyo visiwa. Chuki zote kwa ajili ya uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…