China walifanya hivyo hivyo sasa hivi wako wapi?1.alikuwa mbinafsi kwenye mamlaka ndio sababu ya kujitengenezea katiba ya kumfanya awe mungu mtu mdani ya nchi
2.kubinafsisha mali za taifa kuwa za chama na huku akijua fika zilipatikana kutokana na jasho la wananchi wote bila kujali itikadi za vyama
3.hii ya ziada , hakupenda kupingwa na kupokea challenge ndio maana aliwaweka kizuizini walio pinga sera zake za ujamaa na wengine aliwaua eg.karume
Yapo mengi sana
Ukitaka upewe ila hayo ni kwa uchache tu.
Ujamaa ndio mfumo bora wa uchumi wa mataifa yote yanayofanya kazi kwaajilinya watu.
Wakati nchi inaanza, tukianza na communism, though tu-kadeviate kwenda kwenye socialism. Na kwajuwa ndiontukikuwa tunaanza, hakukuwa na shida kuwa na TRIAL and ERROR.
Nyerere atabaki kuwaMARKING SCHEME kwasababu alijenga RELI ambayo ina manufaa kwa kila mtu.
Nchi zote zina MISINGI yake. Nyerere aliweka MSINGI.
Unapotaka kujenga msingi tofauti, hakikisha una kichwa na Maadili kuliko Nyerere, na hicho kichwa kwasasa hakipo.
Mbona wanakimbilia huku Afrika kuja kuuza mahindi ya kuchoma na madafu barabaraniChina walifanya hivyo hivyo sasa hivi wako wapi?
Tunao mitaani karibu miaka 10 wanabangaiza hata bodaboda wanashindwaBaada ya miaka 5 huyo mchina utamkuta na kiwanda cha kusaga nafaka.
Sisi waafrika hatuna uvumilivu ni wazee wa shortcut ambayo kwenye maisha haipo.
Kwakua West wanaanza kutunanga Inapaswa tuanze mdogo mdogo kufufua viwanda vya ndani.Vipi lile bwawa tufukie?
Kwenye migodi n.k tufukuze wawekezaji wote mpaka tutakapoweza kuchimba wenyewe?
Kama baba yako hakujenga misingi imara ya familia, na wewe utaiga hivyohivyo?
Watu wenye akili siku zote tunarejea mantiki, hekima na busara zilizotolewa na watu walioishi zamani. Kwa mfano, ili kuielewa demokrasia na athari zake tunarejea maandishi ya kina Plato, Socrates n.k. Vivyo, katika masualaDunia haiongozwi na waliokufa. Hilo liweke kichwani.
Hayo mawazo sijui ya Nyerere, sijui Yesu, sijui Muhamad mara nyingi hutumiwa na watu wajanja kuwadhibiti watu wengi hasa waliotabaka la chini.
Wewe unafikiri watawala wanapofanya maamuzi yao wanakumbuka hata kulikuwa na Nyerere?
Nyerere utamsikia wakiwa majukwaani tuu.
Ukishakufa umekufa mkuu. Waliohai wanauhuru wa kuamua watumie mawazo yako au mawazo yao au mawazo yoyote.
Haya china ipo huko, tanzania iko wapi? Unadhani tanzania inahitaji siasa za kuuana ili mchi isonge mbele? TanzNia inahitaji viongozi makini wasio wabinafsi wenye maono na mipango kwa maslahi ya taifa na sio mipango ya kuziboresha familia zao kama ilivyo sasa, kikwete anapambana mwanae awe raisi na kama si mwanae basi timu yake ili amlindie ushenzi wake , samia anapambana kuweka wazanzibar wamlindie ushenzi wake, huku bado kina nchimbi ,kina makonda , kinamwigulu hao wote wanapambania uongozi wa nchi sio kwa maslahi ya nchi na wananchi wake ila ni kwa maslahi mapana ya kwao na jamaa zao, nchi ikija kupata kiongozi mwenye uzalendo wa dhati kabisa utaona itakavyo songaChina walifanya hivyo hivyo sasa hivi wako wapi?
Na Magufuli wake ametuachia laana ya watu kutekwa kwa tamaa zake za kutaka kuabudiwaNyerere ndio kaharibu nchi, hakupenda mawazo pinzani, alizani yeye pekee ndio mwerevu, siku za mwishoni nchi ilimshinda
Wakufufua viwanda nani? Na kwa usimamizi upi? kama wezi wa mali za uma wanalindwa kwa mtutu wa bunduki, shirika la ndege linatushinda, reli inatushinda ,bandari imetushinda hadi tumegawa kwa wajomba, unadhan kuna wa kuweza kuinua huo uchumi na viwanda? Atoke wapi? nchi hii bila kuweka misingi thabiti ya kuwajibishana kikatiba kuanzia kumuwajibisha Rais kisha watu wake wa chini nchi haitatoka hapa kabisa na itazidi kuzama, kila kiongozi akiingia ananyanyua mabega mana katiba inamlinda hivyo hata watu wake wa karibu wakiharibu wanajifichia kwake yaani kushughulika na wabadhirifu ni hadi rais aamue asipo amua yeye kwa kuwa ni watu wake basi hakuna mamlaka ya kumuwajibisha sasa nchi unataraji itasinga vipi kwa propaganda za kula siku, nchi kila mwaka ipo kwenye vita ya kupigania madaraka hayo maendeleo yatoke wapi.Kwakua West wanaanza kutunanga Inapaswa tuanze mdogo mdogo kufufua viwanda vya ndani.
Bidhaa chache na muhimu ndio tuagize.
Tukifanya hivyo currency yetu itakuwa na nguvu.
Nchi inayojimudu kwa bidhaa za ndani inakuwa ngumu kuipelekesha.
1.alikuwa mbinafsi kwenye mamlaka ndio sababu ya kujitengenezea katiba ya kumfanya awe mungu mtu mdani ya nchi
Hakuna mali za taifa zolizobinafsishwa kuwa za chama.2.kubinafsisha mali za taifa kuwa za chama na huku akijua fika zilipatikana kutokana na jasho la wananchi wote bila kujali itikadi za vyama
3.hii ya ziada , hakupenda kupingwa na kupokea challenge ndio maana aliwaweka kizuizini walio pinga sera zake za ujamaa na wengine aliwaua eg.karume
Mengi yapi?Yapo mengi sana
Ukitaka upewe ila hayo ni kwa uchache tu.
Stori za kwenye gahawa za Mzee Said, sikikizeni huko Msikiti wa Mtoro.
Hata Lissu analeta stori Za mkahawani?Stori za kwenye gahawa za Mzee Said, sikikizeni huko Msikiti wa Mtoro.
Tulioshuhudia mazishi yake kwa sinema za vijijini tumekupataNyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Huwa anatokea na kuwaeleza mapya ya kufanya.?Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Lissu siyo Muumini wa Muungano.Hata Lissu analeta stori Za mkahawani?
Angeheshimu kura asingefuta UPINZANI baada ya Uhuru..Tumefika hapa kwasababu tunadhani tuna akili sana kuzidi Nyerere.
Alifuta Machief, sisi tuko busy na siasa na Machief.
Aliheshimu kura, sisi tunataka shortcut za kuengua watu.