Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Dunia haiongozwi na waliokufa. Hilo liweke kichwani.

Hayo mawazo sijui ya Nyerere, sijui Yesu, sijui Muhamad mara nyingi hutumiwa na watu wajanja kuwadhibiti watu wengi hasa waliotabaka la chini.

Wewe unafikiri watawala wanapofanya maamuzi yao wanakumbuka hata kulikuwa na Nyerere?
Nyerere utamsikia wakiwa majukwaani tuu.

Ukishakufa umekufa mkuu. Waliohai wanauhuru wa kuamua watumie mawazo yako au mawazo yao au mawazo yoyote.
Yesu yu hai
 
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.

Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.

Tufikiri mara mbili.

Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.

Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.

Kitatulamba.
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
 
Ordinary people wanadhani Nyerere alikua ni kiongozi wa kawaida... Na wanadhani ile HEKIMA aliokuwanayo ni akili tu/ujanja ujanja tu.

Kiufupi sana Nyerere alikua na uwezo wa kiulimwengu/kiroho...

Alikuwa na utashi wa kinabii kama walivyo mitume wengine...

Alikua anaona mambo (maono, uvuvio, ufunio nk) na si kwamba alikuwa na vyanzo vya taarifa ambavyo wengine walikua hawana...

Kuna watu wanajidanganya kwamba Mw.JK. Nyerere alikua ana TeleVision pekeyake nchi nzima hivyo alikua anatizama matukio kisha anawasimulia kua ameona moja mbili tatu...

Ukweli ni kwamba alikua anaona mambo/maono kweli na sio kutumia TV.

SASA KAMA KUNA UTARATIBU AU MTAZAMO WAKE ALIUWEKA HASA KATIKA KUONGOZA NA KUENDESHA NCHI HATUNA BUDI KUUTILIA MAANANI KINYUME NA HAPO TUMEKWISHA...

KWANINI? KWASABABU NI MUONGOZO KUTOKA KATIKA ULIMWENGU WENYEWE/CHANZO/ SOURCE.
Hayo ni mawazo yako,angekuwa kweli anaroho wa kinabii katiba ya 1977 angeweza kuibadilisha kabla Tanzania haijaingia katika majangq makubwa,maana Tanzania inaenda kutumbukia katika civil war kisa katiba yake ya mwaka 1977,kama kweli angekuwa nabii angeweza kuliepusha hili lisitokee
 
Huwezi endelea bila kujua kwanza ulikotoka.

Wenzetu wanapreserve history sisi tupo busy kuikana asili yetu.
Tatizo history imekuwa his story. CCM wanataka tuamini vile watakavyo wao .
 
Hayo ni mawazo yako,angekuwa kweli anaroho wa kinabii katiba ya 1977 angeweza kuibadilisha kabla Tanzania haijaingia katika majangq makubwa,maana Tanzania inaenda kutumbukia katika civil war kisa katiba yake ya mwaka 1977,kama kweli angekuwa nabii angeweza kuliepusha hili lisitokee
To be honest nchi hii Ina sheria nyingi na nzuri mno,

Ila naona kama viongozi wetu wanaacha tu busara itumike.

Kama tukipata kiongozi akaamua kuzitumia tutafika mbali mno.

Ila lazima watu jasho la damu liwatoke.

Magu alikaza kidogo tu, pale Dar kuna watu walikimbia.

Kama kweli watanzania tunataka maendeleo tukubali kutoa kafara mambo rahisi rahisi.
 
Wao ndio mara kwa mara ni vinara wa kupigania utawala na mfumo bora.
Wengine sijawasikia wakiwa mbele

wako vizuri kuwa tu wapinzani becoz ni rahisi ku-point out mashimo ya wapigaji ila wao mbona hawaonekani kuwa na ubunifu wa maendeleo zaidi ya kuja kuchukua tu kodi na mikopo na misaada..

tunajua hao watu wanaiba sawa, sasa watupe mpnago wetu sisi kama wananchi watakuja na kitu gani, kwasababu kwa kodi na mikopo/misaada tutaishia hapa hapa..

kwasababu kulalamika tu bila kutupa njia mbadala ni kutaka huruma,, kwasababu wanajua watu wana hasira na wao wanataka kufaidika na hiyo hasira..
 
Dunia haiongozwi na waliokufa. Hilo liweke kichwani.

Hayo mawazo sijui ya Nyerere, sijui Yesu, sijui Muhamad mara nyingi hutumiwa na watu wajanja kuwadhibiti watu wengi hasa waliotabaka la chini.

Wewe unafikiri watawala wanapofanya maamuzi yao wanakumbuka hata kulikuwa na Nyerere?
Nyerere utamsikia wakiwa majukwaani tuu.

Ukishakufa umekufa mkuu. Waliohai wanauhuru wa kuamua watumie mawazo yako au mawazo yao au mawazo yoyote.
Tunaishi na kujipata kwa maono ya wafu.! Ndio ilivyo

Kama nyerere asingesema "sitaki uchoko wa ukabila TZ"

Hata mimi nisingekomenti hapa.!

Mimi Baba ni Mzaramo ila mama ni Mmakuwa.! 😎

Nipo na naishi vile ninavyojipata.!
 
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.

Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.

Tufikiri mara mbili.

Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.

Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.

Kitatulamba.
Who told you Nyerere was infallible? Yeye mwenyewe angekushangaa sana kwa kauli yako hii ya kitindiga!
 
TZ iliundwa na Nyerere.

Wewe ukikuwa chini ya CHIEF wako na ardhi yote alimiliki CHIEF wako.

Wakoloni hawakuunda nchi hii.

Fikeni hata hapo Kenya muone, Waasisi wa nchi walichofanya kama hamjaona Nyerere alikuwa malaika.
Na hakuna aliyebisha
Ila Tanzania haimilikiwi na Nyerere, eti tusifanye vitu ambavyo hakufanya. Ardhi yetu tutajenga tunachotaka
 
Tunaishi na kujipata kwa maono ya wafu.! Ndio ilivyo

Kama nyerere asingesema "sitaki uchoko wa ukabila TZ"

Hata mimi nisingekomenti hapa.!

Mimi Baba ni Mzaramo ila mama ni Mmakuwa.! 😎

Nipo na naishi vile ninavyojipata.!

Unafikiri lilikuwa wazo lake pekeake?

Kama pangekuwa na ukabila au wasingekuwepo wapinga ukabila unafikiri Nyerere angekuwa mwenyekiti wa TANU au angekaribishwa TAA kisha TANU?

Yapo mambo waliokufa waliyaanzisha. Tunayatumia sio kwa sababu ya waliokufa nope! Ni kwa sababu yanatija na kutufaidisha. Yakitokea mengine tunayaacha.
 
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.

Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.

Tufikiri mara mbili.

Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.

Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.

Kitatulamba.
Who is Nyerere!
Kwa hiyo hata hili liMuungano tusiliguse kwa kumwogopa Nyerere?
 
Tumefika hapa kwasababu tunadhani tuna akili sana kuzidi Nyerere.

Alifuta Machief, sisi tuko busy na siasa na Machief.

Aliheshimu kura, sisi tunataka shortcut za kuengua watu.
Kwa hiyo tusiuzime mwenge kwa kuwa ni wa Nyerere?
 
Ktk Africa sijaona rais aliye hai au aliyekufa ambaye alikuwa na Nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo wenzake wakati yeye akibakia vilevile akiridhika na vichache alivyonavyo.
Yeyite anayemponda Nyerere au atakayekuja kumponda Nyerere kwa makosa mengi ambayo ni irrelevant ni mvivu wa kufikiri au ni opportunist ambaye anaamini akifanya hivyo itamsaidia kwa mazingira yake ya kipato kama baadhi ya watu ktk huu uzi
Nyerere ndiye chanzo hasa cha umaskini wa waTz
 
Unafikiri lilikuwa wazo lake pekeake?

Kama pangekuwa na ukabila au wasingekuwepo wapinga ukabila unafikiri Nyerere angekuwa mwenyekiti wa TANU au angekaribishwa TAA kisha TANU?

Yapo mambo waliokufa waliyaanzisha. Tunayatumia sio kwa sababu ya waliokufa nope! Ni kwa sababu yanatija na kutufaidisha. Yakitokea mengine tunayaacha.
Sawa mbali na maneuver yoyote yale

Kujipata ndio ufunguo

Alikuta watu wana maono kama yake shida mazigawa ya kiimani yaliwazonga.!

Akaghairi akatafuta umoja hata kwa visivyostahiki

Umasikini ukaharibu nira yao.!

Mkwawa hakuwa na hadhi hiyo ila kuruhusu mambo yaende ikawa jinsi ilivyo
 
Ordinary people wanadhani Nyerere alikua ni kiongozi wa kawaida... Na wanadhani ile HEKIMA aliokuwanayo ni akili tu/ujanja ujanja tu.

Kiufupi sana Nyerere alikua na uwezo wa kiulimwengu/kiroho...

Alikuwa na utashi wa kinabii kama walivyo mitume wengine...

Alikua anaona mambo (maono, uvuvio, ufunio nk) na si kwamba alikuwa na vyanzo vya taarifa ambavyo wengine walikua hawana...

Kuna watu wanajidanganya kwamba Mw.JK. Nyerere alikua ana TeleVision pekeyake nchi nzima hivyo alikua anatizama matukio kisha anawasimulia kua ameona moja mbili tatu...

Ukweli ni kwamba alikua anaona mambo/maono kweli na sio kutumia TV.

SASA KAMA KUNA UTARATIBU AU MTAZAMO WAKE ALIUWEKA HASA KATIKA KUONGOZA NA KUENDESHA NCHI HATUNA BUDI KUUTILIA MAANANI KINYUME NA HAPO TUMEKWISHA...

KWANINI? KWASABABU NI MUONGOZO KUTOKA KATIKA ULIMWENGU WENYEWE/CHANZO/ SOURCE.
Kama angekuwa na akili angemaliza umasikini wa nchi.
Ikumbukwe Nyerere alishindwa kuifanya Tanzania ijitegemee kwa chakula.
Ni Nyerere huyu aliondoka akiwaacha watz wanatembea uchi, hakuna nguo.
Nyerere lilikuwa na bado ni janga la taifa hili
 
Back
Top Bottom