Hebu taja faida moja ya mwenge.Huwezi endelea bila kujua kwanza ulikotoka.
Wenzetu wanapreserve history sisi tupo busy kuikana asili yetu.
Hebu taja faida moja ya mwenge.Huwezi endelea bila kujua kwanza ulikotoka.
Wenzetu wanapreserve history sisi tupo busy kuikana asili yetu.
Kwa maoni yangu, mwenge hauna shida.Kwa hiyo tusiuzime mwenge kwa kuwa ni wa Nyerere?
Ardhi yako ni ipi?Na hakuna aliyebisha
Ila Tanzania haimilikiwi na Nyerere, eti tusifanye vitu ambavyo hakufanya. Ardhi yetu tutajenga tunachotaka
But hakufanya hivyo, kwa hiyo Tanzania haimilikiwi na yeye. SimpleArdhi yako ni ipi?
TZ siyo mali ya Nyerere kwasababu hata yeye hakutaka iwe yake.
Angeweza kuifanya iwe yake, na hakuna kitu ungefanya.
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone ageTo be honest nchi hii Ina sheria nyingi na nzuri mno,
Ila naona kama viongozi wetu wanaacha tu busara itumike.
Kama tukipata kiongozi akaamua kuzitumia tutafika mbali mno.
Ila lazima watu jasho la damu liwatoke.
Magu alikaza kidogo tu, pale Dar kuna watu walikimbia.
Kama kweli watanzania tunataka maendeleo tukubali kutoa kafara mambo rahisi rahisi.
Haya ndio matokeo ya kuchagua masheikh ubwabwa na kuwakabidhi akili zenu zoteUvamizi wa Zanzibar na udini
Punguza kukaa vijiwe vya gahawa.Mbona wanakimbilia huku Afrika kuja kuuza mahindi ya kuchoma na madafu barabarani
Amka UTAJINYEA.Akili hizi za CCM kuamini Nyerere alikua ndio kila kitu hadi kusema zidumu fikra za mwenyekiti ndio unalidumaza taifa badala ya kwenda mbele linarudi nyuma.
Amka kutoka usingizini fikra zake zilishakufa na sio kila alichokianzisha bado kipo au kilikua sawa .
Mwaka 1999 wakati analazwa St Thomas pale London ili kumuona ilihitaji mtu asafiri kwenda London ila mwaka huu 2026 kama angekuwepo wanafamilia katika kumjulia hali wangeweza kumpigia moja kwa moja kutoka Mwitongo wakamuona kwa kutumia video call akiwa London japo kwa kipindi hicho isingewezekana.
Hivyo dunia inasonga mbele hairudi nyuma muungano uchwara hauna tija kwa wakati huu ndio maana bongo mpya zinaukataa na sababu halisi zipo.
Nyerere alianzisha mwenge unaofuja mabilioni ya pesa ila leo hii ukimuuliza kijana faida moja ya mwenge ni ipi hutoipata.
Kwahiyo na wewe huijui?Wao ndio uhubiri hayo mambo.
mpimbwe aliniuliza swali kuhusu msingi wa utawala bora ni upi au ukoje. Ndio nikamwambia akawaulize CHADEMA
Ktk Africa sijaona rais aliye hai au aliyekufa ambaye alikuwa na Nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo wenzake wakati yeye akibakia vilevile akiridhika na vichache alivyonavyo.
Yeyite anayemponda Nyerere au atakayekuja kumponda Nyerere kwa makosa mengi ambayo ni irrelevant ni mvivu wa kufikiri au ni opportunist ambaye anaamini akifanya hivyo itamsaidia kwa mazingira yake ya kipato kama baadhi ya watu ktk huu uzi
Taja sera 2 mbovu za NyerereHakuna mtu anae mponda Nyerere, ila tunapinga Baadhi ya Sera zake.
Ukiwa Raisi, unaweza patia Sera za Afya, ukakosea za Elimu, ukapatia Ujenzi ukakosea madini..
Mambo ndo yako hivo.
Yes hili ndo huwa tunaliongea kila siku kuwa kuna mambo kila binadamu anakosea. Yanatakiwa yabainishwe kwa uwazi. Kwa mfano rais Nyerere alikuwa wa kwanza kukubali makosa yake akawaomba waTz tusonge mbele tena akiwa hai. The same to mwinyi moka akajiuzulu, Mkapa the same. Sina shida na mtu kukosea Nina shida na watu kusema Nyerere amekosea bila kutaja makosa yake. Hapa kuna watu wengine wanamchukia Nyerere just kwa akili ya mapinduzi. Lakini hawamkosoi kwa ajiki ya mchango wa uhuru Namibia, S A , Mozambique, Angola na Africa kwa ujumla Sasa unawaza hapa Znz kuna nini?Hakuna mtu anae mponda Nyerere, ila tunapinga Baadhi ya Sera zake.
Ukiwa Raisi, unaweza patia Sera za Afya, ukakosea za Elimu, ukapatia Ujenzi ukakosea madini..
Mambo ndo yako hivo.
Nakubali na hii imetika na roho na Nia nzuri yake ya kutoa rasil8mali za Tanganyika kwa ajili ya kuipatia uhuru Zanzibar, Angola, Namibia, Zimbabwe na kwengineko.Nyerere ndiye chanzo hasa cha umaskini wa waTz
Unamhusisha Nyerere na jambo la kipuuzi sana kama ulivyo mwenyewe.Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Hapana.Nakubali na hii imetika na roho na Nia nzuri yake ya kutoa rasil8mali za Tanganyika kwa ajili ya kuipatia uhuru Zanzibar, Angola, Namibia, Zimbabwe na kwengineko.
Inatakiwa ukiweka hoja uweke na sababu inakuwa imekaa vizuri zaidi
Kichaa yeyote anao uwezo wa kuponda maisha ya mtu yeyote na kuyafafsiri kuwa mabaya kwa sababu ya hali yake ya kupungukiwa akili; ndicho mnachokifanya hapa.Maisha ya mtu kuna mazuri na mabaya. Madhaifu na ubora.
Watu kuponda mabaya au udhaifu wa mtu sio uvivu wa kufikiri au opportunist
Ni kama wewe unayeona mazuri au uhora wa mtu wakuambie huna akili
Humjui huyo!Daaaa naona sasa akili nimeanza kurudi pahala pale,nakupongeza kwa hili
Nakubali ndiyo maana nimeweka sababu ambazo one can argue sababu za umasikini wa Tz. Ktk maandishi na mijadala mingi nimeona watu wakijumuisha hizo sababu. Hata hivyo nimeweka hapo ili akubakibau akatae atoe sababu zake. Hoja yangu ipo ktk kila tunamvyo mlaumu Nyerere tuweke sababu ili hiyo sababu ijadiliwe.Hapana.
Kama nilikuelewa katika mchango wako hapo juu, sioni popote pa kukubali kuwa "Nyerere ndiye chanzo cha umaskini wa Tanzania".
Mtu anayetoa maneno ya aina hiyo ni wazi kabisa nia yake na msukumo wake ni tofauti kabisa na kinachoweza kujadiliwa kama "makosa ya kibinaadam", au yanayotokana na mabadiliko ya muda.
Nyerere hawezi hata siku moja kuwa ndiyo sababu ya Tanzania leo kuwa maskini.