Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.

Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.

Tufikiri mara mbili.

Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.

Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.

Kitatulamba.
Kabla hatujapiga enu tuwekee hasara unazoziona na faida ambazo wanaotaka wanasema ,kisha tutoana zipi zimezizidi zenzake.
 
Wewe itakuwa ni mmoja wa wanaokula kwa urefu wa kamba yako
Hivi haya maneno ya "kula kwa urefu wa kamba" aliyasema nani vile, unakumbuka?
Inawezekana pia ukasema yalisemwa na Nyerere!
Maana akili zenu na huyo anayejulikana kusema hivyo zinafanana sana.
 
Kwa hiyo ushuhuda wako wewe usiokuwa na dosari ni huo wa Jumbe ana hizo video?
hao ndio wameshikilia akili yako usiweze kufikiri mwenyewe?
Nifikiri na ni mmoja wa victim wa siasa zake . Tukivaa viatu vya mapira ya gari. Tukila mahindi ya kula farasi ya kutoka Marekani. Kaka yetu katoka ubaharia Airport alikuwa na dola elfu 3 wakazichukuwa na yeye kumweka ndani na kesi kumfungulia. Hata sukari na chumvi vilikuwa kipusa.Ni mengi ya ujinga wa Nyerere nitajaza page
 
Kwetu Mara,

Ila kama uwanja unajengwa Mbugani mimi siafiki.

Lakini pia kuchukua pesa za wastaafu kujengea uwanja siafiki.
1. Tupo kwenye ushndani wa kiuchumi na wazee wa nyayo tu hapo jirani, wao wamejenga maasai imara, je mtalii atachagua kutua na ndege kubwa kutoka kia hadi serengeti zaidi ya km 300 kuja senapa au atue ndani ya maasai imara?

2. Mifuko ya jamii kugharamikia syo shida
-unakijua chuo kikuu cha udom? Kimejengwa na hyo mifuko, hakuna ufadhili kutoka nje, hakuna ubaya kama watazitumia na kuzirudisha on time.
 
serikali tatu. Nk Babu yenu Laanatullahi Nyerere alikuwa cobra na mdini anayechukia uislamu hatari hasa Zanzibar akiichukia hatari , sijui ilimkosea nini
Ajenda yenu yote juu ya Nyerere inaanzia na kuishgia hapo ulipopataja, pa "uislam". Hakuna zaidi ya hapo.

Ingewasaidia katika hoja zenu kukazia hapohapo pa uislam, ili watu wajadili udini wa Nyerere kama kweli ulikuwepo.
 
Hivi haya maneno ya "kula kwa urefu wa kamba" aliyasema nani vile, unakumbuka?
Inawezekana pia ukasema yalisemwa na Nyerere!
Maana akili zenu na huyo anayejulikana kusema hivyo zinafanana sana.
Hao waliosema hayo ni wanafunzi wa Nyerere na wanaendeleza siasa zake Kama alivyokuwa akifanya kwa mawaziri wake wezi akina Mgonja na wengineo kuwatoa huku na kuwapeleka kule wakale kwa urefu wa kamba zao
 
Ajenda yenu yote juu ya Nyerere inaanzia na kuishgia hapo ulipopataja, pa "uislam". Hakuna zaidi ya hapo.

Ingewasaidia katika hoja zenu kukazia hapohapo pa uislam, ili watu wajadili udini wa Nyerere kama kweli ulikuwepo.
Si ndio akawasaidia Wakatoliki wenzake kule Biafra na Obote kule Uganda
 
sio tusifanye alitoa ushauri kwamba maliasili kama madini yasichimbwe mpaka watanzania wasome baada ya hapo watachimba wenyewe
 
1. Tupo kwenye ushndani wa kiuchumi na wazee wa nyayo tu hapo jirani, wao wamejenga maasai imara, je mtalii atachagua kutua na ndege kubwa kutoka kia hadi serengeti zaidi ya km 300 kuja senapa au atue ndani ya maasai imara?
Kenya hawana uweso.wa kuje ga uwa ja wa ndege kwasasa.

Hata barabara ya kutoka Nairobi kwenda Masaai Mara bado ni tope.

Lakini pia kwasababu za uhifadhi, Madege kuruka mbugani kunahatarisha uhifadhi.

Lakini pia Uwanja wa nxege wa Mwanza ukomkaribu sana na Serengeti.

Ni suala la kupiga Njia nne, hiyo barabara ya Musoma Road.
2. Mifuko ya jamii kugharamikia syo shida
-unakijua chuo kikuu cha udom? Kimejengwa na hyo mifuko, hakuna ufadhili kutoka nje, hakuna ubaya kama watazitumia na kuzirudisha on time.
Ndio maana wastaafu wanateseka sana na KIKOKOTOO moaka leo.

Maana serikalinikichujua pesa za waty hairudishi, na badala yake inatunga shwtia moya na kubadili kikokotoo.

Wastaafu walikuwa wanachukua 50%, leo wanachukua 40% kwasababu pesa zao ziliporwa.

Hiyo ni DHULMA kuiba pesa za watu waliotunza kwa miaka 30.
 
Sijui ni kwa nini, leo ni mwaka 2026 Tangu Jesus Yesu kristu aje humu duniani live bila chenga chenga ( kwa mujibu wa biblia), inakuwaje hadi sasa bado watu tuna mawazo ya ki- Zinjanthropus old Stone Age , maji maji ? Kwa Kujenga uwanja huu, ni kwa nini wengi wetu hatuna mawazo chanya? Hata vikiwa sita hapo hapo Serengeti , kuna Shida gani ? Mbona London vipo zaidi ya Sita mji mmoja hakuna Shida , sisi kimoja tu , kelele nyingi. Taabu sana. Nyie Zinjanthropus nendeni munakostahili.
 
Nifikiri na ni mmoja wa victim wa siasa zake . Tukivaa viatu vya mapira ya gari. Tukila mahindi ya kula farasi ya kutoka Marekani. Kaka yetu katoka ubaharia Airport alikuwa na dola elfu 3 wakazichukuwa na yeye kumweka ndani na kesi kumfungulia. Hata sukari na chumvi vilikuwa kipusa.Ni mengi ya ujinga wa Nyerere nitajaza page
Ni vvema sasa unapojibainisha hivi, inakuwa ni rahisi kujuwa lalama zako zinatokea wapi.

Wanaokula unga wa mahindi kwa mfano siyo farasi; hili pekee linakuonyesha ulivyo wa kiwango cha chini sana.
Hivyo viatu vya mpira ukivivaa vinakuathiri vipi, hata ukiamua kuvivaa leo, kuna kosa lolote?

"Sukari na chumvi" vilitengenezwa na Nyerere; hujui kwa nini palikuwepo na hali hiyo wakati huo? Ulitaka tu viwepo, vidondoke hata wakati hali ya uchumi wa kidunia ni ngumu?

Huyo ndugu yako na dola zake elfu tatu; taratibu zilizokuwepo za kifedha wakati huo hutuelezi chochote juu yake; lakini unataka tujuwe tu kwamba dola zake elfu tatu zilichukuliwa; na wala huelezi mazingira yake yalikuwaje?

Kwa hiyo sasa inajulikana, wewe kinachokupa msukumo ni kuathirika kwako kwa moja kwa moja na sababu za kidini, na siyo mengi aliyoyafanya Nyerere kwa taifa hili kwa manufaa ya waTanzania wengi na taifa lao.
 
Lakini pia kwasababu za uhifadhi, Madege kuruka mbugani kunahatarisha uhifadhi.

Lakini pia Uwanja wa nxege wa Mwanza ukomkaribu sana na Serengeti.

Ni suala la kupiga Njia nne, hiyo barabara ya Musoma Road.
Maana ya utalii ni kwa wageni kuja nchini na kutumia pesa miongoni mwa jamii wanapotembelea.
Uwanja wa ndege mbugani, maana yake ni kwamba wageni watakuja moja kwa moja mbugani, na kuona wanyama na kuondoka.
Hoteli na usafiri ndani ya mbuga, mara nyingi ni hao hao wawekezaji wa nje, pesa karibu yote inaishia huko huko walikotokea watalii.

Hoteli na usafiri toka mjini (Mwanza), na watalii kuingia mitaani na kufanya manunuzi, hiyo ndiyo biashara kubwa kwa faida ya waTanzania.
 
Si ndio akawasaidia Wakatoliki wenzake kule Biafra na Obote kule Uganda
Kwa hiyo unajibainisha wazi wewe ajenda kuu juu ya Nyerere ni huo ukatoliki wake. Acha kujificha katika hoja zisizohusiana na hiyo.
 
Ni vvema sasa unapojibainisha hivi, inakuwa ni rahisi kujuwa lalama zako zinatokea wapi.

Wanaokula unga wa mahindi kwa mfano siyo farasi; hili pekee linakuonyesha ulivyo wa kiwango cha chini sana.
Hivyo viatu vya mpira ukivivaa vinakuathiri vipi, hata ukiamua kuvivaa leo, kuna kosa lolote?

"Sukari na chumvi" vilitengenezwa na Nyerere; hujui kwa nini palikuwepo na hali hiyo wakati huo? Ulitaka tu viwepo, vidondoke hata wakati hali ya uchumi wa kidunia ni ngumu?

Huyo ndugu yako na dola zake elfu tatu; taratibu zilizokuwepo za kifedha wakati huo hutuelezi chochote juu yake; lakini unataka tujuwe tu kwamba dola zake elfu tatu zilichukuliwa; na wala huelezi mazingira yake yalikuwaje?

Kwa hiyo sasa inajulikana, wewe kinachokupa msukumo ni kuathirika kwako kwa moja kwa moja na sababu za kidini, na siyo mengi aliyoyafanya Nyerere kwa taifa hili kwa manufaa ya waTanzania wengi na taifa lao.
Yaani unaandika ukiwa sijui wapi? Hata Mzee wako hakukuhadithia? Hali ya uchumi ngumu duniani wakati tukinunua sembe chapa Bibi kutoka Kenya kwa magendo? Bora kakojowe ukalale au nenda kasikilize mipasho ya babu yenu Wasira
 
Mkuu 'james', mimi naelewa ni wapi unaposimamia, na sina shaka juu ya hilo; lakini kukubaliana na hawa 'detractors' kwamba sababu ya Tanzania leo hii kuwa maskini ni Nyerere; hili hapa nadhani hata wewe mwenyewe huamini kuwa unakubaliana na hao watu.

Ni sababu zipi walizoweka katika maandishi yaliyokushawishi?

Mimi sitaki kukusuta, ila ninakustua tu ujuwe ni wapi unapoelekezwa na hawa punguani wa akili.

Wao wana ajenda tofauti kabisa juu ya Nyerere, wala siyo hayo ya sababu za unaskini wa Tanzania.

Imenibidi nirudi kwa sababu naona unababaishwa bila ya sababu yoyote.
Okay sawa nimekuelewa.
Kiufupi hawaniyumbishi. Msimamo wangu kuhusu Nyerere ni kuwa ktk hii Africa viongozi walio hai au wamekufa bado sijaona aliyekuwa na Nia ya dhati ya kuwanufaisha wananchi kama Nyerere despite his mistakes kama Nyerere. Huo ndo msimamo. Halafu Sasa akija kumlaumu ndiyo tunaanza kuzungumza makosa ya Nyerere kwa kujadili kwa facts. Hiyo ya kusema tatizo la umasiki lni la nchi hii ni nYerere alisema alilisubject kwa Nyerere nikamkubakia kwa maana ninkweli fedha zilitumika ktk uhuru wa Znz na kwengineko. Lakini sababu za msaada wa uhuru huko kwengineko haziwezi kuwa attribute oekee ya umasikini wetu kwa hiyo nilimsubiri alete sababu zake mathalani nyingine za kumlaumu Nyerere kuhusu umasikini wetu.
Hizi mada zinanikumbusha wachangiaji Nguli kama Mag3 na wengineo.
 
Summar
Kasome kitabu cha Marehemu Rais Aboud Jumbe, cha The Partner-ship: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Miaka 30 ya Dhoruba, humo utamjua Nyerere kuwa ni Cobra hatari sana
size hapa kama umekisoma kwa faida ya wengi.
Huyo ni Kumbe wewe unasemaje?
 
Kwa hiyo unajibainisha wazi wewe ajenda kuu juu ya Nyerere ni huo ukatoliki wake. Acha kujificha katika hoja zisizohusiana na hiyo.
Niambie hakuwasaidia wakatoliki kujitenga na Nigeria Kule Biafra kwa kuwapelekea silaha? Kama hujui ingia japo Google utaona
 
Unapojadiliana na watu wa aina hii ambao hawana 'objectivity' katika msimamo wao wa mawazo ni kupoteza muda hata uwaeleze vipi.
Wao nia yao ni moja tu, kuonyesha kuwa Nyerere alikuwa mbaya; hawajui lolote alilosimamia Nyerere katika taifa hili.

Sasa ukubali au usikubaliane nao katika jambo lolote; nia yao ni hiyo hiyo moja tu, ya kukuongoza wewe uone wanavyoona wao.

Wamekupa mifano ya hayo mabaya aliyofanya Nyerere? Wametumia vipimo gani vya kuyaona kuwa mabaya, na wao walitaka yafanyike yapi kwa wakati huo wa Nyerere.

Nyerere alifanya mambo akijuwa dhahiri kuwa ni mabaya kwa waTanzania?
Kuna sababu zipi afanye hivyo, wamekueleza? Alifanya hivyo kuwakomoa waTanzania wa leo?
Kwa faida zipi alizoziona yeye kwa kufanya hivyo!.
Umeeleza vyema.
 
Yaani unaandika ukiwa sijui wapi? Hata Mzee wako hakukuhadithia? Hali ya uchumi ngumu duniani wakati tukinunua sembe chapa Bibi kutoka Kenya kwa magendo? Bora kakojowe ukalale au nenda kasikilize mipasho ya babu yenu Wasira
Wewe ulikuwa unaishi pangoni kutojuwa kwamba Kenya walikula sana huo unga wa njano, wakati huo; na hata baadhi ya watu kufa kwa njaa kwenye maeneo kama Turkana na kwingineko?
 
Back
Top Bottom