KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Wana serengeti tunahtaji uwanja wa ndege kuliko jana..Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Hayo mawazo yako mfu tutolee hapa
Nyerere alifanya sehemu yake, acha na wengne wafanye!
Ebu tuambie madhara ya uwanja wa ndege ndani ya serengeti!