Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

Wacha weee, hivi Lema ana maisha gani ya kisiasa kwa sasa? Nini lengo la hayo maisha ya kisiasa? Joyce Mukya yupo CDM, Naye ana maisha gani ya kisiasa zaidi ya kubakwa na Mbowe ili apewe ubunge? Hivi yule pimbi na mwanaharakati hewa wa Mlowo Mbeya ana maisha gani ya kisiasa? Lengo la hayo maisha ya kisiasa ni nini? Pumbavu wahead kabisa wewe.
Credibility yao iko juu sana huwez fananisha na nassari,
Ninani anayeangaika au kumsikiliza nassari au mtatiro
 
Ionee huruma familia yako achana na mtu anayelamba hela kibao kwenye cheo chake achilia mbali alizolamba akiwa mbunge. Cha muhimu Nasari kashajikomboa kwenye umaskini kupitia kipaji chake. Pia jamaa ni msomi hawezi kosa kazi hata kama akipigwa chini u-DC. Angepoteza tu muda wake CHADEMA kutumikia walamba asali.
Una maono madogo sana kama nzi mwenye kuwaza msimu wa vidonda
 
Ionee huruma familia yako achana na mtu anayelamba hela kibao kwenye cheo chake achilia mbali alizolamba akiwa mbunge. Cha muhimu Nasari kashajikomboa kwenye umaskini kupitia kipaji chake. Pia jamaa ni msomi hawezi kosa kazi hata kama akipigwa chini u-DC. Angepoteza tu muda wake CHADEMA kutumikia walamba asali.
uDC, uRC, uDED, vinapofusha akili. Vyeo vya kuteuliwa havikupi uhuru wa kufikiri. Unafanya kazi kama tarishi.

Ndiyo maana, maDC na maRC wengi wenye akili, huwa wanaamua kugombea ubunge. Ukiacha hawa wabunge waliopachikwa kama hawa wa safari hii, wabunge wana uhuru wa kufikiri. Hakuna adhabu mbaya kwa mwenye akili kunyimwa uhuru wa kufikiri.
 
Unamaono madago kama nzi unawaza msimu wa maembe tu.Nassar kwa brain aliyotuonesha akiwa chadema n'a umri wake alichukua uncalculated risk .haya maelezo yako ungenambia kwa kesi ya marehemu Mrema ningeelewa sana .alipiga lala salama .Mimi kuna group la wasap nko nae yaan huwa kapoteza mvuto kabisa .ukimtaja jina meru wazee wanatema mate chini (laana) .
Nyie maono yenu ni ya matusi? Hao wazee wanaotema mate chini ni wahuni waliozeeka.
 
Umeongea mambo mazito, vijana tujifunze kupitia hili.
 
Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania.

Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na hali iliyopo ndani ya chama tawala.

Nassari ameshindwa kuonyesha uwezo kama mkuu wa wilaya pote akiwa Mara na hata leo Monduli. Amekaa kimya sana, wananchi wamemkataa, amekosa mfariji kwa sababu ndani ya CCM hapewi platform ya kuonyesha utendaji na mtaani amepoteza marafiki wote aliokuwa nao.

Naamini amebaki na familia yake pekee; ndani ya CCM anaonekana kama mtu aliyekuja kuchukua nafasi zao za utawala. Mhe. Rais amejitahidi kumpa nafasi leo huko Arusha ameishia kusali hana mvuto tena.

Naamini bado anazo akili ila atazitumia wapi? Umri unakwenda kama ambavyo umri wa vijana wengi unakwenda; vipaji walivyopewa na Mungu wanashindwa kuvitumia kwa sababu wametekwa na watawala.

Tunahitaji brain za Nassari wa Chadema ili tuendelee kuliko tunavyohitaji brain za Nassari DC

Vijana amkeni mtapoteza nguvu nyingi kutumikia siasa kuliko kujitumikia. Bora kuishi maskini mwenye furaha kuliko tajiri wa mashaka.
Njaa zake ndiyo zinamtufuna
 
Just imagine unakuwa mbunge unalipwa mamilioni.

Unaukimbia ubunge unaenda US Unasingizia unauguza.

Unarudi bongo unahamia CCM. Unapewa ukuu wa wilaya. Unapotea kisiasa. Huna dira tena. Hoja zako moto moto zinageuka mapambio.
Shida ni tamaa
 
Ionee huruma familia yako achana na mtu anayelamba hela kibao kwenye cheo chake achilia mbali alizolamba akiwa mbunge. Cha muhimu Nasari kashajikomboa kwenye umaskini kupitia kipaji chake. Pia jamaa ni msomi hawezi kosa kazi hata kama akipigwa chini u-DC. Angepoteza tu muda wake CHADEMA kutumikia walamba asali.
Kwahiyo ukiwa msomi una uhakika wa kupata kazi? Hawa wasomi walioko mtaani shida ni nini kama ukiwa msomi utapata kazi? Angekuwa anajiamini kwenye elimu yake asingejilegeza kwa dhalimu.
 
Hahaaa, eti wazee wasio wazazi wako watakulaani!!!!#$%^. Hii mpya. Dogo sio mwenzako sasa na hata angekuwa huko chadema asingefanya lolote la maana kama ambavyo lissu hana la maana analofanya sasa. Dogo kala maisha na sasa watoto wake wana uhakika wa kula na kusoma sehemu yoyote huku duniani. Bora jamaa alivyoacha uanaharakati njaa wa CDM
Watu tuna watoto wanasoma hadi nje na hatujipendekezi kwa mtu yoyote. Kama ili watoto wakelo wasome kokote duniani ni lazima ujipendekeze bora watoto wangu wasisome kabisa. Na ujinga wako unaamini kufanya kitu ndani ya nchi hii ni lazima uwe kiongozi, basi utakuwa hujui maana ya kufanya kitu.
 
Kwahiyo ukiwa msomi una uhakika wa kupata kazi? Hawa wasomi walioko mtaani shida ni nini kama ukiwa msomi utapata kazi? Angekuwa anajiamini kwenye elimu yake asingejilegeza kwa dhalimu.
Hahaha tayari umeshakosa mwelekeo kwenye hili suala. Connections alizo nazo Nassari hakuna kenge yeyote wa Ufipa anazo.
 
Hahaha tayari umeshakosa mwelekeo kwenye hili suala. Connections alizo nazo Nassari hakuna kenge yeyote wa Ufipa anazo.
Yeye alikuwa anasubiri ajikombe ndio apate connections, sisi tunazo bila kujikomba kwa mtu. Na hata kwenye kampeni zake tumemchangia sana.
 
Yeye alikuwa anasubiri ajikombe ndio apate connections, sisi tunazo bila kujikomba kwa mtu. Na hata kwenye kampeni zake tumemchangia sana.
Nassari ni heavyweight kisiasa. Hastahili kuendelea kuwa kwenye chama dhaifu kisiasa kama CHADEMA. Kama akitoka CCM bora aende ACT.
 
Nassari ni heavyweight kisiasa. Hastahili kuendelea kuwa kwenye chama dhaifu kisiasa kama CHADEMA. Kama akitoka CCM bora aende ACT.
Heavyweight kisha anakimbilia kwenye chama kinachotegemea vyombo vya dola! Aende ACT hakuna mwenye tatizo na hilo kabisa.
 
Back
Top Bottom