Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake.
Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke.
Mfano mwanamke:-
1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama uzamivu).
2. Anayemiliki duka, gari, nyumba n.k.
3. Meneja, mkurugenzi, DC, mbunge, RC, waziri, rais, n.k.
4. Miss wilaya, miss mkoa, miss Tanzania, n.k.
Hawa wote wanaogopwa (hawasogelewi hovyo) na wanaume wachovu na hohehahe
Iwapo hadhi yake ni ya chini, maana yake kila mwanaume anaweza kuifikia na kumtongoza.
Na kwasabb naye hajiamini, hawezi kuchomoa maombi ya mabaharia. Kwahiyo utakuta watu wanajipigia tu hovyo, kuanzia shamba boy, bodaboda, jirani, muuza genge, rafiki mpk bosi wako.