Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake.

Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke.
Mfano mwanamke:-
1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama uzamivu).
2. Anayemiliki duka, gari, nyumba n.k.
3. Meneja, mkurugenzi, DC, mbunge, RC, waziri, rais, n.k.
4. Miss wilaya, miss mkoa, miss Tanzania, n.k.
Hawa wote wanaogopwa (hawasogelewi hovyo) na wanaume wachovu na hohehahe

Iwapo hadhi yake ni ya chini, maana yake kila mwanaume anaweza kuifikia na kumtongoza.

Na kwasabb naye hajiamini, hawezi kuchomoa maombi ya mabaharia. Kwahiyo utakuta watu wanajipigia tu hovyo, kuanzia shamba boy, bodaboda, jirani, muuza genge, rafiki mpk bosi wako.
Ndio maana koo za simba gtunaoana na wa koo za simba wenzetu tu. Tunajuana tabia na maadili yetu. Hatuchezi mbali, kama ni wa koo ya simba tutakulana tu labda uwe hutaki, Koo za simba hatulazimishia kujamiiana, na kwetu hakuna kufanya mapenzi ni kujamiiana tu, mapenzi tunafanya na wake zetu tu.
 
Kumbe hujui lolote. Namfaham mama mmoja Mme wake sasa ni balozi moja ya nchi hapa Africa. Mke yupo Mjini humu na analiwa na fundi gereji tena kwenye gari (LC300).
Kwa kifupi mambo ya kuchapiwa hayana formula inatokea kwa yoyote.
 
Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake.

Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke.
Mfano mwanamke:-
1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama uzamivu).
2. Anayemiliki duka, gari, nyumba n.k.
3. Meneja, mkurugenzi, DC, mbunge, RC, waziri, rais, n.k.
4. Miss wilaya, miss mkoa, miss Tanzania, n.k.
Hawa wote wanaogopwa (hawasogelewi hovyo) na wanaume wachovu na hohehahe

Iwapo hadhi yake ni ya chini, maana yake kila mwanaume anaweza kuifikia na kumtongoza.

Na kwasabb naye hajiamini, hawezi kuchomoa maombi ya mabaharia. Kwahiyo utakuta watu wanajipigia tu hovyo, kuanzia shamba boy, bodaboda, jirani, muuza genge, rafiki mpk bosi wako.
Nasubiri mtu atakayekuja na uthibitisho kiwa mishangazi ni mimama isiyo na pesa
 
Yes. Wapo, but they are very very few.
Mhu! Ni wengi. Kwani ndoa zinazovunjika kwa sababu ya mchepyko ni chache? Na je huwa unaona hao wa mchepyko ni wenye hadhi kuliko mume/mke wa ndoa?
 
Back
Top Bottom