Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

Chumvi inatumikaje jmn
 
6
 
7
 
4
Hii thread yako ya Kinyesi nimeipenda
Ngoja nianze kuifuatilia mwanzo mwisho
 
Chumvi kiboko yao nilikua naskia tu,kipindi nipo mwaka wa tatu chuoni nilikosa ada nikaandika mtiani nitafanya special ...nikarudi home kwa ajili ya research nikitegemea nitapata ada nimalizie mitihani yangu September,doh! mambo yalizidi kuwa magumu lakini Kuna mradi wa barabara umepita nasisi tunatakiwa kulipwa,basi nikiwa najiandaa kurudisha report ya research chuoni siku moja nikanunua chumvi nikaimwaga nyumba yote nyingine nikaichoma nakumbuka nilitumia pasi ya mkaa,basi nikiwa chuoni siku ya Saba tangu nitoke nyumbani Mzee akanipigia simu mama jiandae na mtihani mwanangu jina letu limetoka tutapata pesa wakati wowote....nilifurahi Sana.
 
Asante kwa mrejesho[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kijana acha kuamini mambo ya ushirikina, fanya kazi kisayansi utafanikiwa. Halafu wanaoamini MUNGU wanapata uwezo wa kuwa juu ya nyota, nyota haziwaathiri, imani ya kuamini nyota haiko kwao wala uchawi hauna nguvu kwa wanaomuamini MUNGU hupata maarifa ya kisayansi kutatua changamoto zao
 
kijana acha kuamini mambo ya ushirikina, fanya kazi kisayansi utafanikiwa. Halafu wanaoamini MUNGU wanapata uwezo wa kuwa juu ya nyota, nyota haziwaathiri, imani ya kuamini nyota haiko kwao wala uchawi hauna nguvu kwa wanaomuamini MUNGU hupata maarifa ya kisayansi kutatua changamoto zao
Science is simply a process of aligning oneself to the laws of nature.
 
Muamini Mungu wa mbinguni kwa imani yako inatosha, haya maisha usipokua makini shetani atautumia muda wako wote mpaka unaondoka hapa katika uso wa dunia, Unapoomba na kusali usiombe kama ulivyozoea kuomba maana hapo hakuna jipya ndio maana shetani anauwezo wa kuyafanya hayo yote kwa safari yako ya maisha, Hakikisha unapoomba unaiombea mifupa yako damu na roho yako, hivi vitu ndiyo shetani nguvu za giza huviwinda, wakifanikiwa kuvinasa hapa ndio utajikuta unakua mlevi kupindukia, kupenda ngono kupitiliza, huku kote unatumia hela zako na mwisho kabisa unabaki mikono mitupu, SIMAMA IMARA JILINDE, NENO LAKE BWANA NI IMARA.
 
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya kuadhimisha misa ya marehemu wote(all souls day, 2 November), padri aliyesalisha siku hiyo alitupatia neno.

Wakati fulani akiwa paroko parokia moja aliwahi kufuatwa na kijana ambaye alikuwa anajiona ana mikosi na nuksi zote.
Kijana huyo alimwambia baba padri kuwa alikuwa akifanya kila jambo halifanikiwi. Hata alikuwa akipata kazi baada ya muda mfupi tu atafukuzwa au ataacha tu yeye mwenyewe kwa uzembe wake.

Basi baba padri katika kumuhoji akagundua kuwa kijana yule katika malezi yake alilewa na mama yake mzazi pekee lakini alikuwa ameshatangulia mbele ya haki.

Basi baba padri akamshauri kijana akaombe misa kwa ajili ya marehemu mama yake mzazi na pia afunge na kusali novena ya siku 9.

Basi yule kijana alikuja kumtafuta baba padri miaka ya baadae na kutoa shukrani zake. Kwa ufupi ni kuwa apokea baraka zake.

Upo sahihi ndugu shukrani
 
Muamini Mungu wa mbinguni kwa imani yako inatosha, haya maisha usipokua makini shetani atautumia muda wako wote mpaka unaondoka hapa katika uso wa dunia, Unapoomba na kusali usiombe kama ulivyozoea kuomba maana hapo hakuna jipya ndio maana shetani anauwezo wa kuyafanya hayo yote kwa safari yako ya maisha, Hakikisha unapoomba unaiombea mifupa yako damu na roho yako, hivi vitu ndiyo shetani nguvu za giza huviwinda, wakifanikiwa kuvinasa hapa ndio utajikuta unakua mlevi kupindukia, kupenda ngono kupitiliza, huku kote unatumia hela zako na mwisho kabisa unabaki mikono mitupu, SIMAMA IMARA JILINDE, NENO LAKE BWANA NI IMARA.
Mkuu nifanye maombi ya aina gani nifafanulie au ndo nifunge na kuomba
 
Mkuu matumizi ya chumvi ni sahihi na nakubaliana nawe kwa 100%,
Lakini nimetumia sana kuogea lakin bado, nadhan kuna namna zaid ya kuitumia kuliko navoitumia, I mean to make ordinary to be extra ordinary, hapo je nichome au nifanye iwe ni extra ordinary
 
Back
Top Bottom