whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Hakuna uchawi, hakuna mikosi
Hakuna gundu wala hakuna shetani.
Hakuna gundu wala hakuna shetani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoamini uchawi na kutokuwa na uchawi ni vitu viwili hivyo tofauti.Wajinga watapigwa sana na mimi nasema wapigwe tu maana hakuna namna.
Kuna nini sasa? kwa mfano mtu ambaye anaona mambo yake hayaendi au yamekuwa magumu kuliko kawaida tofauti na zamani hadi akifikiri kuwa ninuksi, je wewe unaweza kutuambia ni kitu gani hasa na kwamba si nuksi au mikosi kama watu wanavyofikiri?Hakuna uchawi, hakuna mikosi
Hakuna gundu wala hakuna shetani.
Kutoamini uchawi na kutokuwa na uchawi ni vitu viwili hivyo tofauti.
Ndio maana nakwambia kuwa wewe hauamini uchawi ila kutokuamini kwako uchawi haina maana ya kwamba ndio kweli kuwa hakuna uchawi, wewe hapo bila ya shaka hujawi hata kupata tukio lenye kuhusishwa na uchawi au hata kushuhudia tu tukio lenye kuhusishwa na uchawi na hiyo hufanya kuwa rahisi tu kwako wewe kusema hakuna uchawi kwa sababu hauamini uchawi.Uchawi ni story za kusadikika zinazoaminiwa na wajinga.
NB: Ujinga sio tusi.
You're right, hayajamkuta au hajashuhudia badoNdio maana nakwambia kuwa wewe hauamini uchawi ila kutokuamini kwako uchawi haina maana ya kwamba ndio kuwa hakuna uchawi, wewe nikikuuliza bila ya shaka hujawi kupata tukio lenye kukuhusu lenye kuhusishwa na uchawi au hata kushuhudia tu tukio lenye kuhusishwa na uchawi na hiyo hufanya kuwa rahisi tu wewe kusema hakuna uchawi kwa sababu hauamini uchawi.
Yani kwa kifupi upo mbali na hayo matukio yenye kuhusishwa na uchawi hivyo huna ambalo unaweza kuchambua hapa kwamba ni vp hayo matukio yenye kuhusishwa na uchawi kwamba si uchawi bali ni nini, matokeo yake unaishia kusema tu kuamini uchawi ni ujinga kitu ambacho hata mwenye kukubali kuwa uchawi upo anaweza kusema kuwa kuamini uchawi ni ujinga.
ThanksPole mkuu
Thank you mkuu Pascal Mayalla, we missed you na just to let you know nilikuchokoza tu makusudi kuona kama kweli upo. Thanks for the heads up na Mungu akulinde as ever🙏Mkuu mbongo_halisi, mimi sio mchawi wala maisha hayajanishinda bali napitia changamoto za kawaida za maisha, ups and downs kwenye life ni vitu vya kawaida. Mimi humu jf ni Mwalimu wa masomo mawili kuhusu maisha.
1. Powers, yaani wewe una nguvu za Kimungu ndani yako zinazokuwezesha kufanya kila kitu, kushinda kila vita na kupata kila mafanikio kwa kuitegemea nguvu ya Mungu iliyomo ndani yako.
Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
Wanabodi, Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers". "Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu...www.jamiiforums.com
"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!
Wanabodi, Huu ni muendelezo makala zangu kuhusu "works of powers", nguvu za kutenda miujiza, "psychic powers!", leo nitajikita zaidi katika nguvu za uponaji "faith healing!". Nitakuwa na maeneo yafuatayo. Utangulizi: Naomba kuweka UTANGULIZI huu kuwa imani ya kweli has got nothing to do na dini...www.jamiiforums.com
2. Karma ni mapito anayopitia sasa ni matokeo ya matendo yako au ya wazazi wako, hivyo mafanikio, majanga, mikosi, nuksi zinaweza kuwa ni 1. Malipo, 2. Manusura 3. Majaribu.
PThe Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...www.jamiiforums.com
Nimesema chumvi ni nzuri kwa kula mademu wabichi kwani inaleta ladha, haisaidii kupata mademu.Mkuu kumbe chumvi inarahisisha kupata madem wakali kitaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] em jazia maelezo kidogo
Amen. Kiukweli ninapita kwenye majaribu sana, kama ni mtu wa imani haba, unajikuta unakwenda mwenyewe kwa Lusiferi. Lakini Mungu ni mwema, kila majaribu ya shetani anayo yaruhusu, anakupa na njia ya kutokea, kamwe hawezi kukuacha ukaangamia jumla.Thank you mkuu Pascal Mayalla, we missed you na just to let you know nilikuchokoza tu makusudi kuona kama kweli upo. Thanks for the heads up na Mungu akulinde as ever🙏
....Una hela? Ukiwa na Hela ya kueleweka Nuksi zote Kwisha, Mkuu!Habari za muda huu wana JF! Leo nazungumzia jinsi navyopitia mapito,
Kwanza nianze kwa kusema mimi mr future naamini uchawi upo kwa 100%
Ilianza kama utani kila jambo jema lilianguka katika mzunguko wa maisha yangu, nilipoona mambo hayaendi niliamua kutumia chumvi ambapo nilijifunza matumizi yake humu humu kipitia threads za Mshana Jr , ilikuwa 2019 nilipata ahueni kidogo, lakini hivi sasa nahisi mambo magumi mikosi imeniandana, lakini nikawa nachukulia poa, lakin nikajikuta Nimeachika kwenye mahusiano yote, nikashangaa nikitembea nakutana na vichaa wanaanza kunipigia kelele bila woga dah, nikaanza kufatilia dailil nikagundua ni nuksi tu.
Siku hizi kila nalopanga linaanza vema likifikia kwenye touch line, linafel roho inakuwa inasonona kila mwanamke naye mfata anachomoa nikasema labda vigezo ila nizidi kuona mazigaz hata salamu sikumbukwi na ndugu hata marafiki, nikaanza kutumia kuna formula za madawa ya kutoa nuksi lakin hola
Moja ya formula alitoa bwana rakims lakin nikafatilia maelezo yake huwa hayako vzuri so nashindwa kuelewa vizuri, miez kadhaa ilopita nikatumia mafuta fulani ya kuondoa nuksi si haba yalinisaidia kdgo lakin nilpoacha tu gundu ikarudi,
Lengo la kuandika thread hii ni kutaka msaada najua wapo wengi humu kama mimi
Anayejua formula ya kuchanganya madawa ya kisheria au mafuta yaliyo somewa kusomo karibu tusaidiane
NB: Hata simu nimeazima nispojib comment mtanisamehe,
Wafatao nimefatilia thread zao wana jua haya mambo
cc:
Mshana Jr
Rakims
MZIZI MKAVU
Pasco mayalla
Karibu
Taja tarehe yako ya kuzaliwa pamoja na jina lako la kuzaliwa yaani hapa namaanisha jina uliopewa na wazazi wako pindi unazaliwa,hakikisha haukosie hata herufi moja kuliandika ukifanya hivyo utajua we ni nani na nini unatakiwa ufanye ili ulimwengu ukupendezedah asante mkuu kuna mtumishi niliwahi mfuata akaniombea na kuniosha miguu akaniambia sababu ni mzaliwa wa kwanza ndo mana nina mapambano makubwa.
Migogoro sidhani mimi ni mtu flani mkimya sana sina interaction kubwa na watu sio mtu wa story pia ni mimi na ndani na hata unikosee nakusamehe napita kushoto kwahiyo migogoro hapana labda hayo mengine but asante acha nijaribu hayo.
25/12/1991 jina Emanuel.Taja tarehe yako ya kuzaliwa pamoja na jina lako la kuzaliwa yaani hapa namaanisha jina uliopewa na wazazi wako pindi unazaliwa,hakikisha haukosie hata herufi moja kuliandika ukifanya hivyo utajua we ni nani na nini unatakiwa ufanye ili ulimwengu ukupendeze
....Una hela? Ukiwa na Hela ya kueleweka Nuksi zote Kwisha, Mkuu!
Mkuu wewe ni Dini gani ? kuna njia nataka kukupa ya kukusaidia ?
Mkuu Mshana Jr nikisaga mkaa nikachanganya na chumvi ya mawe na kuweka chini ya godoro, kitaalamu ina msaada wowote? Inaweza ikawa kinga dhidi ya uchawi?Nipo hapa nitarejea usiku
Sina maajab ya kukuombea uyashinde hayo majaribu ila nina imani just as you do kuwa utayashinda tu Kaka. Trust the process na Mungu awe nawe daima.Amen. Kiukweli ninapita kwenye majaribu sana, kama ni mtu wa imani haba, unajikuta unakwenda mwenyewe kwa Lusiferi. Lakini Mungu ni mwema, kila majaribu ya shetani anayo yaruhusu, anakupa na njia ya kutokea, kamwe hawezi kukuacha ukaangamia jumla.
P