Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

Chumvi kiboko yao nilikua naskia tu,kipindi nipo mwaka wa tatu chuoni nilikosa ada nikaandika mtiani nitafanya special ...nikarudi home kwa ajili ya research nikitegemea nitapata ada nimalizie mitihani yangu September,doh! mambo yalizidi kuwa magumu lakini Kuna mradi wa barabara umepita nasisi tunatakiwa kulipwa,basi nikiwa najiandaa kurudisha report ya research chuoni siku moja nikanunua chumvi nikaimwaga nyumba yote nyingine nikaichoma nakumbuka nilitumia pasi ya mkaa,basi nikiwa chuoni siku ya Saba tangu nitoke nyumbani Mzee akanipigia simu mama jiandae na mtihani mwanangu jina letu limetoka tutapata pesa wakati wowote....nilifurahi Sana.
Ukaimwaga nje au ndani
 
Mkuu matumizi ya chumvi ni sahihi na nakubaliana nawe kwa 100%,
Lakini nimetumia sana kuogea lakin bado, nadhan kuna namna zaid ya kuitumia kuliko navoitumia, I mean to make ordinary to be extra ordinary, hapo je nichome au nifanye iwe ni extra ordinary
Kwa matumizi ya kawaida usiache tafadhali .. Kuchoma kama unataka kuharibu.. Ifanye tu sehemu yako
 
Tafuta kitabu cha jabali, Munga Tehenan. Jinsi ya kupata pesa bahati na mafanikio.

Hutajuta.
 
nikwel hayo yapo, na omba yasikukute ukiwa hujawai kupamban na changamoto za kimaisha ama hujakomaab ktk kupambana na hayo mambo.
..unafika wakati ndugu wanakusahau,
..marafik wanakuwa hawaelewek(hawakuelew)
..mahusiano kuyumba, kila unaempata hamdumu, na mkidumu basi migogoro kila kukicha
..maisha kuyumba, ugumu kuongozeka, kazin kukosa mvuto ama kuchukiwa bila sabbu
..watoto& baazi ya wanyama kukuogopa bila sabbu
...kuota ndoto za aina moja ama zinazojirudia rudia mfano , kuota ndoto za kurudi shule, kukimbizwa, kupanda vilima/miinuko, kupambana na nyoka ama wanyama

haya ni baazi ya mambo yanaweza kuonesha maisha yako hayapo vzr spiritual, na sabbu zake zipo nying
[emoji117]kulogwa
[emoji117]kudhurumu mali za watu, ambapo vilio vyao na vinyongo vyao hukuletea nuksi
[emoji117]ushawai kwenda kwa mganga na ukapewa dawa ya mvuto, na huenda dawa iyo ikawa outdated(kuisha nguvu)
[emoji117]kufanya uzinifu na wanawake tofaut tofaut hasa wenye vifungo
[emoji117]mahal unapoishi(nje ya eneo la kipawa chako&mvuto wako), jina unalotumia(urithi wa mtu), watu unaoshirikiana nao(wana vifungo&wana husda&hamuendan kiutafutaji), mahala unapolala(kuna vifungo vya kishirikina), kaz unayoifanya(nje ya kipawa chako)
sasa ili kujua unajitibuje jarbu kusolve haya mambo niliyoandika, achana na waganga aisee watakupotezea muda wako, japo wapo wanaosaidia kwel ama kukupoteza kweli kweli, dawa ya matatizo yako ni kuchunguza asili ya tatizo lako kwanza, acha kubeti maisha yako kwa kutumia kila dawa kisa umesikia inaponya, tafuta dawa ya tatizo lako[emoji117] chunguza muenendo na matukio ya ndoto uotazo na znazokunyima usingiz(kujirudia) then fanya maamuzi

Waoow mkuu upo sahih dah ahsante sana , kuhusu chanzo cha tatizo bado sjajua ila mim sio mzinifu, sijawahi iba mali yoyote ya mtu zaidi kupola demu wa mtu sio mke, pia naota ndoto za kuwa narud shule mara kwa mara, pia naota ndoto za mapambano na watu au kufukuzwa mara kwa mara au ndoto za kuwa nipo vitan na mim ndo jesi linanitegemea
Sasa hapo sjuhi nin maana ya hz ndoto pia spatiwi dili yaan nasahaulika au unaskia kuna shughul mahal alafu mleta dili anapotea jumla ,
Nimejifunza kitu kwenye comment yako thanks mkuu,
Omb langu nifafanulie najuaje chanzo cha yote haya
 
Habari za muda huu wana jf!
Leo nazungumzia jinsi navyopitia mapito,

Kwanza nianze kwa kusema mimi mr future naamini uchawi upo kwa 100%

Ilianza kama utani kila jambo jema lilianguka katika mzunguko wa maisha yangu, nilipoona mambo hayaendi niliamua kutumia chumvi ambapo nilijifunza matumizi yake humu humu kipitia threads za Mshana Jr , ilikuwa 2019 nilipata ahueni kidogo, lakini hivi sasa nahisi mambo magumi mikosi imeniandana, lakini nikawa nachukulia poa, lakin nikajikuta Nimeachika kwenye mahusiano yote, nikashangaa nikitembea nakutana na vichaa wanaanza kunipigia kelele bila woga dah, nikaanza kufatilia dailil nikagundua ni nuksi tu.

Siku hizi kila nalopanga linaanza vema likifikia kwenye touch line, linafel roho inakuwa inasonona kila mwanamke naye mfata anachomoa nikasema labda vigezo ila nizidi kuona mazigaz hata salamu sikumbukwi na ndugu hata marafiki, nikaanza kutumia kuna formula za madawa ya kutoa nuksi lakin hola

Moja ya formula alitoa bwana rakims lakin nikafatilia maelezo yake huwa hayako vzuri so nashindwa kuelewa vizuri, miez kadhaa ilopita nikatumia mafuta fulani ya kuondoa nuksi si haba yalinisaidia kdgo lakin nilpoacha tu gundu ikarudi,

Lengo la kuandika thread hii ni kutaka msaada najua wapo wengi humu kama mimi

Anayejua formula ya kuchanganya madawa ya kisheria au mafuta yaliyo somewa kusomo karibu tusaidiane

NB: Hata simu nimeazima nispojib comment mtanisamehe,

Wafatao nimefatilia thread zao wana jua haya mambo
cc:
Mshana Jr
Rakims
MZIZI MKAVU
Pasco mayalla


Karibu
Weweeee, yaani Pascal Mayalla kawa mchawi siku hizi? Maisha yamemshinda nini?
 
Weweeee, yaani Pascal Mayalla kawa mchawi siku hizi? Maisha yamemshinda nini?
Mkuu mbongo_halisi, mimi sio mchawi wala maisha hayajanishinda bali napitia changamoto za kawaida za maisha, ups and downs kwenye life ni vitu vya kawaida. Mimi humu jf ni Mwalimu wa masomo mawili kuhusu maisha.
1. Powers, yaani wewe una nguvu za Kimungu ndani yako zinazokuwezesha kufanya kila kitu, kushinda kila vita na kupata kila mafanikio kwa kuitegemea nguvu ya Mungu iliyomo ndani yako.

2. Karma ni mapito anayopitia sasa ni matokeo ya matendo yako au ya wazazi wako, hivyo mafanikio, majanga, mikosi, nuksi zinaweza kuwa ni 1. Malipo, 2. Manusura 3. Majaribu.
P
 
Back
Top Bottom