Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

Sawa Boss
 
Mmm kwenye ndoto za kukimbizwa hapo naota sana halafu hio moja tu inajirudia mara kibao mpaka nimeizoea nikiota najua inaenda kuishia wapi, na kukimbizwa na nyoka pia naota sana. Kumbe nipo hatarini.
 
Mmm kwenye ndoto za kukimbizwa hapo naota sana halafu hio moja tu inajirudia mara kibao mpaka nimeizoea nikiota najua inaenda kuishia wapi, na kukimbizwa na nyoka pia naota sana. Kumbe nipo hatarini.
ndio hapo sasa tatzo lako liliko, kawafuate wahudumu wa imani yako wakufanyie visomo/maombi, ukiona huoti tena juwa kuwa umeshinda ama umeshindwa kwa kufungwa macho usione maono/ndoto zaid....jichunguze maisha yako watu wako wa karbu, maadui zako na marafiki zako, puuza wale wanafiki wote, punguza mabifu yasiyo ya maana, acha kushabikia ndugu ama watu wa karbu, na hakikisha una solve mgogoro wako wowote na mtu yeyote, iwe madeni ama nini hakikisha umesolve, yakiendelea kukutesa rudi hapa tujue unasaidikaje
 
dah asante mkuu kuna mtumishi niliwahi mfuata akaniombea na kuniosha miguu akaniambia sababu ni mzaliwa wa kwanza ndo mana nina mapambano makubwa.

Migogoro sidhani mimi ni mtu flani mkimya sana sina interaction kubwa na watu sio mtu wa story pia ni mimi na ndani na hata unikosee nakusamehe napita kushoto kwahiyo migogoro hapana labda hayo mengine but asante acha nijaribu hayo.
 
Ulishawahi kwenda kwa mganga?!!
Kuna stori flan niliwahi kuiskia kwa jamaa ambae zaman alikua ni mganga badae akaacha.
Anasema ilikua mtu akifika kwake kwa Mara ya kwanza anacho kifanya ni kuangalia nyota ya huyo mtu na kama ipo vizuri anaiteka na kama ipo vibaya basi anaangalia nyota ya mtoto wako kama iko vzur anaiteka
Akiichukua atakuja kumpa mtu mwngne ambae anatoa kafara kubwa zaid yako lakin inakua kwenye miliki yake akiamua kuichafua anaichafua muda huo wewe alieteka nyota yako anakusafisha geresha ili baada ya muda uwe unarud rud kwake kutibia ila matatizo hayatakuisha itakua yanapoa tu badae yanarudi.

Kwenda kwa mganga ni jambo baya sana kila mtu ana nyakati zake za furaha na nyakati za matatizo, ikiwa unapitia nyakat za matatzo Muombe Mungu tu utavuka na utaingia nyakat za furaha ila ukijichanganya kwenda kwa mganga unaenda kuharibikiwa kabisa ndo maana ukienda kwa mganga Mara moja utajikuta unarudi mara kwa mara .
 
True! Ujatoa suluhisho
 
Ndg pole sana M/Mungu atakusaidia,hiyo khari nami naipitia sana nilipata ushauri wa kutumia chumvi kutoka kwa Mshana Jr kuna unafuu nauona
 

Kama alishawahi kwenda Kwa mganga unamsaidiaje
 
Uchawi upo unakumbuka Yule dogo aliyekua anashindana na msanii namba moja mpaka Leo hajulikani alipo.
 
All in all mtafute sana Mungu na uwekeze kwake ambapo nondo na mchwa hawafiki, haya mengine ni kujilisha upepo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…