Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

Hakuna uchawi, hakuna mikosi
Hakuna gundu wala hakuna shetani.
 
Hakuna uchawi, hakuna mikosi
Hakuna gundu wala hakuna shetani.
Kuna nini sasa? kwa mfano mtu ambaye anaona mambo yake hayaendi au yamekuwa magumu kuliko kawaida tofauti na zamani hadi akifikiri kuwa ninuksi, je wewe unaweza kutuambia ni kitu gani hasa na kwamba si nuksi au mikosi kama watu wanavyofikiri?
 
Uchawi ni story za kusadikika zinazoaminiwa na wajinga.

NB: Ujinga sio tusi.
Ndio maana nakwambia kuwa wewe hauamini uchawi ila kutokuamini kwako uchawi haina maana ya kwamba ndio kweli kuwa hakuna uchawi, wewe hapo bila ya shaka hujawi hata kupata tukio lenye kuhusishwa na uchawi au hata kushuhudia tu tukio lenye kuhusishwa na uchawi na hiyo hufanya kuwa rahisi tu kwako wewe kusema hakuna uchawi kwa sababu hauamini uchawi.

Yani kwa kifupi upo mbali na hayo matukio yenye kuhusishwa na uchawi hivyo huna ambalo unaweza kuchambua hapa kwamba ni vp hayo matukio yenye kuhusishwa na uchawi kwamba si uchawi na ukaeleza ni nini, matokeo yake unaishia kusema tu kuamini uchawi ni ujinga kitu ambacho hata mwenye kukubali kuwa uchawi upo anaweza kusema kuwa kuamini uchawi ni ujinga.
 
You're right, hayajamkuta au hajashuhudia bado
 
Wana JF toka nilete huu uzi nimepata majibu yafuatayo yenye kuweza kusaidia
1:Almighty (God)= Mwenyezi Mungu
2:Chumvi

Lakini Mungu ndo kila kitu lakin ametupa vitu vya kutusaidiza huku tukshirikisha sasa ndo niltaka wadau wafunguk juu ya hivo vitu
1: kwa wakristo wanatumia mafuta na maji ya baraka
2:waislam hutumia ubani pia udi kama kisaidiz pia hata mafuta
yapo yalosomewa dua, sasa je tuwekane wazi kuhusu hivo vitu, ahsanteni
 
Thank you mkuu Pascal Mayalla, we missed you na just to let you know nilikuchokoza tu makusudi kuona kama kweli upo. Thanks for the heads up na Mungu akulinde as ever🙏
 
Mkuu kumbe chumvi inarahisisha kupata madem wakali kitaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] em jazia maelezo kidogo
Nimesema chumvi ni nzuri kwa kula mademu wabichi kwani inaleta ladha, haisaidii kupata mademu.
 
Thank you mkuu Pascal Mayalla, we missed you na just to let you know nilikuchokoza tu makusudi kuona kama kweli upo. Thanks for the heads up na Mungu akulinde as ever🙏
Amen. Kiukweli ninapita kwenye majaribu sana, kama ni mtu wa imani haba, unajikuta unakwenda mwenyewe kwa Lusiferi. Lakini Mungu ni mwema, kila majaribu ya shetani anayo yaruhusu, anakupa na njia ya kutokea, kamwe hawezi kukuacha ukaangamia jumla.
P
 
....Una hela? Ukiwa na Hela ya kueleweka Nuksi zote Kwisha, Mkuu!
 
Mkuu wewe ni Dini gani ? kuna njia nataka kukupa ya kukusaidia ?
 
Taja tarehe yako ya kuzaliwa pamoja na jina lako la kuzaliwa yaani hapa namaanisha jina uliopewa na wazazi wako pindi unazaliwa,hakikisha haukosie hata herufi moja kuliandika ukifanya hivyo utajua we ni nani na nini unatakiwa ufanye ili ulimwengu ukupendeze
 
25/12/1991 jina Emanuel.
 
Amen. Kiukweli ninapita kwenye majaribu sana, kama ni mtu wa imani haba, unajikuta unakwenda mwenyewe kwa Lusiferi. Lakini Mungu ni mwema, kila majaribu ya shetani anayo yaruhusu, anakupa na njia ya kutokea, kamwe hawezi kukuacha ukaangamia jumla.
P
Sina maajab ya kukuombea uyashinde hayo majaribu ila nina imani just as you do kuwa utayashinda tu Kaka. Trust the process na Mungu awe nawe daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…