Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Kweli kumekucha , piga mswaki nawa na uso uwahi kazinikumekucha
Not always trueUko sahihi, huwezi kua nice kwa kila mmoja, either uwe unawanafikia wengine au ni mjinga usie na misingi( principles).
Sure me nakubaliana na wewe...kuna watu hawapendi usnitch hawapendi kabisa kumsema mtu asiyekuwepo kwenye kikao...kazi yetu Sisi ni vibe Tu na ndo maana tunachangamkiana Sana hasa na watu wa bar wanywaji wenzetu kwa sababu we don't care about tomorrow..today is enoughAhahahah...
Umeamua tu kuwa negative.
ujue si kila kitu should be perceived as either Black or White .
There is Gray sometimes.
Not always should u choose the side.
Uwezo wa ku meangle na every person yaweza kuwa ni dalili ya Mental strength.
Wewe unaweza muona mtu adui na usiongee nae kwakua tu uwezo huo wa ku ignore your ego ni mdogo lakin kuna wengine wanaweza bila shidaaa.
Braza me niwe mkweli asilimia 90 ya circle yangu NI wanywaji kwa sababu najua anytime inatunogea kuchangamkiana..hizo habari za unafki anazijua mtoa mada azitolee ufafanuzi...watu kusengenyana NI tabia ya kawaida tu kwa binadamu wote aidha mkimya au mchangamfuNot always true
Wewe ishi vile unaona inakupa amani.Braza me niwe mkweli asilimia 90 ya circle yangu NI wanywaji kwa sababu najua anytime inatunogea kuchangamkiana..hizo habari za unafki anazijua mtoa mada azitolee ufafanuzi...watu kusengenyana NI tabia ya kawaida tu kwa binadamu wote aidha mkimya au mchangamfu
Nazungumza kwa asilimia kubwa na uzoefu wangu juu ya watu ,Ahahahah...
Umeamua tu kuwa negative.
ujue si kila kitu should be perceived as either Black or White .
There is Gray sometimes.
Not always should u choose the side.
Uwezo wa ku meangle na every person yaweza kuwa ni dalili ya Mental strength.
Wewe unaweza muona mtu adui na usiongee nae kwakua tu uwezo huo wa ku ignore your ego ni mdogo lakin kuna wengine wanaweza bila shidaaa.
Nazungumza kwa asilimia kubwa na uzoefu wangu juu ya watu ,Ahahahah...
Umeamua tu kuwa negative.
ujue si kila kitu should be perceived as either Black or White .
There is Gray sometimes.
Not always should u choose the side.
Uwezo wa ku meangle na every person yaweza kuwa ni dalili ya Mental strength.
Wewe unaweza muona mtu adui na usiongee nae kwakua tu uwezo huo wa ku ignore your ego ni mdogo lakin kuna wengine wanaweza bila shidaaa.
Kabisa huo ndo ukweliUko sahihi, huwezi kua nice kwa kila mmoja, either uwe unawanafikia wengine au ni mjinga usie na misingi( principles).
Hatari sio kidogoHatari sana
Kumpenda sio kumpa ukaribu , kumpenda ni kutokumtendea ubayaHata Mungu huongea na Shetani
Kuna muda mtu anataka vitu viwe peaceful
Umeambiwa mpende adui yako
Mie tenaaa?! Haya nimekanyaga wapii pasipo faa,Wewe
Wewe ndie sababu