LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Yeah. But sometimes our experiences get us limitedNazungumza kwa asilimia kubwa na uzoefu wangu juu ya watu ,
Yeah. But sometimes our experiences get us limitedNazungumza kwa asilimia kubwa na uzoefu wangu juu ya watu ,
Nimekisoma nimekimaliza , zingatia yakuwa muandishi wa kile kitabu ni binadamu kama mimi na wewe yeye sio malaika na maneno yake sio sheriaHow to win friends and influence people by Dalle Carnegie
Use your experience as a guide in your daily life so as to not repeat the past mistakesYeah. But sometimes our experiences get us limited
NI kweli bila ya shaka !!!Uko sahihi, huwezi kua nice kwa kila mmoja, either uwe unawanafikia wengine au ni mjinga usie na misingi( principles).
In most cases it is trueNot always true
Nakubaliana na wewe mkuuNimekisoma nimekimaliza , zingatia yakuwa muandishi wa kile kitabu ni binadamu kama mimi na wewe yeye sio malaika na maneno yake sio sheria
True. Ila sio kwenye kila kitu. Just go open minded. Sio kwakua jana fimbo ya Musa ilipasua bahari, basi na leo ukafikiri itakuasaidia kuvuka Yordan, kumbe hapa ni sanduku la agano ndio linakuvusha (just mfano).Use your experience as a guide in your daily life so as to not repeat the past mistakes
Naunga mkono HojaAhahahah...
Umeamua tu kuwa negative.
ujue si kila kitu should be perceived as either Black or White .
There is Gray sometimes.
Not always should u choose the side.
Uwezo wa ku meangle na every person yaweza kuwa ni dalili ya Mental strength.
Wewe unaweza muona mtu adui na usiongee nae kwakua tu uwezo huo wa ku ignore your ego ni mdogo lakin kuna wengine wanaweza bila shidaaa.
Naweza pata pdf ya hiki kitabu ??How to win friends and influence people by Dalle Carnegie
Swadaktaaaaaa!!!!!Nope! Sio kweli
Kuna watu wana emotional Quotient ya hali ya juu sana yaan anaweza kuwa hakubaliani na mitazamo ama mwenendo wako wa maisha ila still akawa anaongea na wewe vizuri tu.
Ukiweza kudhibiti hisia zako na ukiwa na uelewa mkubwa wa mambo utatambua kwamba kila mtu analo la kukufunza!!
Why making enemies while you can be friends or rather say keep your friends close and your enemies closer..
Mara nyingi unao waterm kama marafiki hao ndo huishia kuwa adui zako.. for an intelligent man angalia faida yako.. hisia zao hazikuhusu!
Hii Kanuni ndo inafanya Marekani kuwa taifa lenye nguvu tangu miaka ya 1940 huko mpaka leo
Naweza pata pdf ya hiki kitabu ??
It is Dale and not Dalle, am sorryNakubaliana na wewe mkuu
Upo sahihi
Never argue, condemn always agree with them Dalle Carnegie chapter one
Upo sahihi kabisa kiongozi big up utafika mbaliIt is Dale and not Dalle, am sorry
vitabu vya Carnegie vipo pdf, uwe na bidii ya kuvitafutaNaweza pata pdf ya hiki kitabu ??
Hayo mambo ya keep your friends close and your enemies closer. Ndo unafiki wenyewe! Na wengi hufanya for a purpose na si bure!Nope! Sio kweli
Kuna watu wana emotional Quotient ya hali ya juu sana yaan anaweza kuwa hakubaliani na mitazamo ama mwenendo wako wa maisha ila still akawa anaongea na wewe vizuri tu.
Ukiweza kudhibiti hisia zako na ukiwa na uelewa mkubwa wa mambo utatambua kwamba kila mtu analo la kukufunza!!
Why making enemies while you can be friends or rather say keep your friends close and your enemies closer..
Mara nyingi unao waterm kama marafiki hao ndo huishia kuwa adui zako.. for an intelligent man angalia faida yako.. hisia zao hazikuhusu!
Hii Kanuni ndo inafanya Marekani kuwa taifa lenye nguvu tangu miaka ya 1940 huko mpaka leo
Ni kitabu kizuri ukiwa USA kwa huku kwetu manufaa yake ukutane na watu walio kama weweUpo sahihi kabisa kiongozi big up utafika mbali
Hii mbinu ya hicho kitabu umejisikiaje lakini?