OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Kitabu kina mazuri na mapungufu yake. Hicho kitabu wanakitumia watu wote hasa hasa wafanya biashara wanasiasa watu wa usaili n.kNi kitabu kizuri ukiwa USA kwa huku kwetu manufaa yake ukutane na watu walio kama wewe
Hayo mambo ya keep your friends close and your enemies closer. Ndo unafiki wenyewe! Na wengi hufanya for a purpose na si bure!
ππππHuyo shetani kuna Time anasogoa na Mungu na wanapanga jinsi ya kukutesa itakua sisi binadamu πΉπΉ
Una wazimu wewe ishi maisha yako
Sasa kama ofisini kiongozi asipoongea na kila mtu kazi zitafanyikaje?Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu
Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui wasiopatana yeye pande zote yupo .
Watu wa aina hiyo wabaya sana atabeba ya huku atapeleka kule na ya kule atayaleta huku vice versa
Mimi ni mmoja wa hao watu...nadhani umekutana na mtu wa aina tofauti tu.Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu
Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui wasiopatana yeye pande zote yupo .
Watu wa aina hiyo wabaya sana atabeba ya huku atapeleka kule na ya kule atayaleta huku vice versa
Ofcoooozzzz!