Ili bidi waislam wagome kula nguruwe ili nguruwe awe mtamuIlibidi manara afungiwe ili kamwe apate usemaji🔥✍️ when nature applies balance
Leo nimekutana na msela alienichukulia mpenzi wangu wa utotoni, miaka mingi iliyopita..Pesa iliyodondoshwa ukiokota wewe inakua ridhiki yako
Huyo demu ulimuoa?? Mpe buku msela dunia tunapita na mademu ndo hawa hawaLeo nimekutana na msela alienichukulia mpenzi wangu wa utotoni, miaka mingi iliyopita..
Kalewa chakari, kwenye daladala niliyopanda, kanisalimia kwa bashasha, ananiomba buku..
Aah we, siwezi kukupa demu na nauli, mi sio fala..
Sijasahau!..