Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Hapo kwenye "hajui afanyaje" ndio kwenye uzwazwa. Hayo machozi ni heri angemlilia Yesu kama akina Maria Magdalena. Ingawa Yesu nae alikuwa mbishi hataki kuliliwa-liliwa hovyo.
 
Aliyataka. Aendelee kukaza roho tu.
 
Hahahahah nimeamua kuwaasa vijana tu maana janga limekuwa kubwa sana. Huu uhuni wa birthday kugeuzwa sherehe ya michango mpaka kukodisha kumbi ni balaa

Kila nyumba ina katiba yake Extrovert

Mimi naamini mwanaume akiweka sheria za mji wake kwenye katiba, basi sheria na taratibu zitafuatwa na wala hakuna atakaeweza kwenda sijui kwa mashosti au birthday nje ya utaratibu

Ndio maana kwenye katiba za wengine huwemualika mke kwenye birthday bila mume wake au mume bilz mke wake. Na ikatokea ni kitchen party basi mume atampeleka mke na kumsubiria sehemu au kumfuata baada ya shughuli. Na yote haya hufanyika bila shurti na kwa upendo na ndoa iheshimiwe na watu wote
 
Exactly, we ndio umeielewa dhima ya hii topic kabisa ila watu wamekuwa swayed na muda wa mke kurudi!😅

Hakikisha mkeo hana mashosti shosti wake uwe wewe mkuu! Thats how you protect the queen.
Vipi wife alirudi salama kutoka dodoma, maana mbususu zimeliwa sana weekend iliyopita hapa mjini.
 

Kama hii imekutokea basi lawama nazielekeza kwako kwa kuwa wewe ni mmoja wa wapumbavu!

Hivi wewe mwanaume mzima inakuwaje una ruhusi mke wako kurudi saa 11 alfajiri na unamfungulia mlango?

Mwanaume kwanza utakiwi kutoa toa ruhusa kwa mkeo kudhurura dhurura kila sehemu kwa kisingizio cha kusocialize....

Wewe ndio wa kulaumiwa ungekuwa mwanaume imara kamwe awezi kuwa na mwanamke anayerudi alfajiri kama huyo!

Hapa shida ni wewe sio huyo mwanamke!
 
Hua napata hasira sana kuona mwanaume anakua nyumbu kiasi hiki. Au wewe mwanaume ndio unakua umeolewa??

Kwakweli mimi nimetamani angekuwa karibu ningemchapa viboko
 
Vipi wife alirudi salama kutoka dodoma, maana mbususu zimeliwa sana weekend iliyopita hapa mjini.
Hahahahahah salama kabisa yani😅 wahuni nilisema hamtoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…