Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Haswaa, Mke wamtu kuliwa usiku kucha, NI mpaka mumewe awe kasafiri .


Au Mke kujipa safari za kwenda kwao kusalimia .



Jana nmepigiwa na Mwanangu. analia kwenye simu .

Oya nn?? Ananiambia Shemeji yake ( Dada wa mke ) amemtumia meseji kumwambia Mdogo wake ( mke wa Jamaa) kua ni Malaya kupita kiasi.

Yaan meseji ilikua hivi.... "Shem wangu, wee ni Mwema sana kwa Mdogo wangu, na kwetu, heshima yako kwetu ni kubwa...............

, ila nmejikuta naumia sana na tabia ya Mdogo wangu, Mkeo kila anapokuaga anakuja kwa wazazi Wetu, huwa hafiki,.........

anatupanga tu, kazi yake ni wanaume wanaume , nmemshauri sana ,habadiliki nimeamua kukuweka wazi tabia yake .




Daahh Jamaa analia kama mtoto,, Wazaz mke, wameamua kukomaa, kua Binti yao huwa anafika, ila wamegombana na Dada MTU, kwamba Dada MTU kaamua kutunga uongo.


Dada MTU kukomaa pale pale kua Mdogo wake ni Mbwaaa.




Jamaaan ajui afanyaje.!!.
Hapo kwenye "hajui afanyaje" ndio kwenye uzwazwa. Hayo machozi ni heri angemlilia Yesu kama akina Maria Magdalena. Ingawa Yesu nae alikuwa mbishi hataki kuliliwa-liliwa hovyo.
 
Mkuu wapo, kuna jamaa enzi hizo 2015 alikuwa na gf wake anapenda club ila jamaa si mtu wa club. Anachofanya anawapeleja club mpenzi wake na shost zake ye anabaki kwenye gari hadi anasinzia wanakula bata wakichoka wanatoka wanarudi home.
Sasa amemuoa like 3 or 4 years ago. Shughuli anayopata huko kwa ndoa ni tete. Maana mwanamke ana mtoto lakini kutoka usku haachi na hivi jamaa mtu wa kusafiri sana mara arudi akute hayupo arudi asubuhi na mashosti yani ni shida.
Aliyataka. Aendelee kukaza roho tu.
 
Hahahahah nimeamua kuwaasa vijana tu maana janga limekuwa kubwa sana. Huu uhuni wa birthday kugeuzwa sherehe ya michango mpaka kukodisha kumbi ni balaa

Kila nyumba ina katiba yake Extrovert

Mimi naamini mwanaume akiweka sheria za mji wake kwenye katiba, basi sheria na taratibu zitafuatwa na wala hakuna atakaeweza kwenda sijui kwa mashosti au birthday nje ya utaratibu

Ndio maana kwenye katiba za wengine huwemualika mke kwenye birthday bila mume wake au mume bilz mke wake. Na ikatokea ni kitchen party basi mume atampeleka mke na kumsubiria sehemu au kumfuata baada ya shughuli. Na yote haya hufanyika bila shurti na kwa upendo na ndoa iheshimiwe na watu wote
 
Exactly, we ndio umeielewa dhima ya hii topic kabisa ila watu wamekuwa swayed na muda wa mke kurudi!😅

Hakikisha mkeo hana mashosti shosti wake uwe wewe mkuu! Thats how you protect the queen.
Vipi wife alirudi salama kutoka dodoma, maana mbususu zimeliwa sana weekend iliyopita hapa mjini.
 
Hahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri!

We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki. Suzy kamuacha mkeo na Alfred huku Suzy naye Kaenda kwa Kelvin amekuwa picked Mlimani kapelekwa kwenye apartment Masaki huko.

Hawa mashosti wakirudi saa 11 home full kulegea yani we umelala unajua wife katoka birthday kwa rafiki yao Millen kumbe katoka kuuza utu Lion Hotel! Unapewa unapiga unalala bila kujua A,B wala C!

Kuweni makini sana na wake zenu wenye mashosti. Theres alot going between huo ushosti! Ni muungano flani wa kufichiana maovu.

Kama hii imekutokea basi lawama nazielekeza kwako kwa kuwa wewe ni mmoja wa wapumbavu!

Hivi wewe mwanaume mzima inakuwaje una ruhusi mke wako kurudi saa 11 alfajiri na unamfungulia mlango?

Mwanaume kwanza utakiwi kutoa toa ruhusa kwa mkeo kudhurura dhurura kila sehemu kwa kisingizio cha kusocialize....

Wewe ndio wa kulaumiwa ungekuwa mwanaume imara kamwe awezi kuwa na mwanamke anayerudi alfajiri kama huyo!

Hapa shida ni wewe sio huyo mwanamke!
 
Hua napata hasira sana kuona mwanaume anakua nyumbu kiasi hiki. Au wewe mwanaume ndio unakua umeolewa??

Kwakweli mimi nimetamani angekuwa karibu ningemchapa viboko
 
Back
Top Bottom