Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Hilo ni kweli kabisa mkuu.[emoji4]

Nyongeza ya Hilo,
Sema na wee unazingua mkuu,

Mkeo anarudije saa 11 alfajiri aisee, iyo birthday gani inafanyika usiku kucha?[emoji4]
 
Hamna mwanaume atavumilia
 
Huyo ndio kim nana
 
Huyo mwanaume atakuwa chawa au hana nguvu za kiume
Kwa kuwa umesema "mwanaume atavumilia" nadhani pia mwanaume anastahili heshima pia. Na mwanaume anatakiwa kumuongoza mwanamke na siyo kumvumilia. Vilevile Mwanamke kurudi saa 11 ni ishara ya heshima kutokuwepo na kutokujua nafasi yake kama mke ndani ya ndoa. Ni hayo tu mkuu.
 
Hahaha hizi somjo tuu...lakini kama una suspect huyu jamaa kala mbususu huko nje lazima utataka uone kama anakojoa vitone🤣🤣🤣🤣
Hapo sasa ndio songombingo inaanza
Hata ikiwa vitone mbona vinasikika tu,, haihitaji kuchomoa......
 
Nyoo...hizi somjo tuu....inavyowaumaga kujua kuwa jamaa kaenda kufuja hela kwa mbususu nyingine mnakuwa wakali. Kinacho waumaga nyie sio kwamba jamaa kala mbususu ila kwamba huyo mrimbwende mwengine kahudumiwa na kupewa mihela
Unatumia nguvu hata hujui kanuni yangu ktk mahusiano ilivyo,, isitoshe hii mada haihusiani hapa kafungue uzi wadau wachangie,, siku njema
 
Unatumia nguvu hata hujui kanuni yangu ktk mahusiano ilivyo,, isitoshe hii mada haihusiani hapa kafungue uzi wadau wachangie,, siku njema
Kanuni ni moja tuu ina apply kwa mwanamke kwenye mahusiano, mwanaue kuwa na mihela basi mengine yote yatavumilika
 
kuwa na mashosti wala sio kuliwa.

kwanza mwanamke mwenye akili hataki hata mashosti zake wajue mambo yake.

yaani huyo ndio analiwa...analiwa na analiwa tena bila hofu ya mashosti kuchomeana.......
 
Duuhh Watu mnauzungu aiseeee, huyo ni Wife ? Au demu tu?

Yaan Wife, akuache wewe au wewe na watoto kisa BETHIDEI ? Na arudi 11??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwanza mke wa mtu haliwi usiku kucha.

unless hampo mkoa mmoja!!!!!!!

huyu atakuwa ni gelofrendi tu ambaye hana mamlaka nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…