Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.
Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo

. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum, kikosi kilichopo kaziniili kuua CHADEMA.
Jamaa kamwambia Mrema wasiruhusu maswali bali waitwe kwenye vyombo watajibu maswali huko. Hii ni sababu gani? Ili iwe rahisi kufanya habari zao zisikike nchi nzima, waeneze chuki dhidi ya CHADEMA.
Wao kufanya mikutano na kujitoa robo robo mnafikiri ni bahati mbaya? Hapana. Wanataka waendelee kubaki kwenye vichwa vya habari, taarifa zao zisambae nchi nzima, utafikiri ni watu wenye akili kumbe vichwa maji. Yaani mipango ya CCM haijawahi kuwa na akili, wamewapata vichwa maji basi imezidi kuwa kituko

Watanzania wamesema hawadanganyiki basa, wamechoka kufanywa wajinga. Tumeshaona panapovuja, sasa tusubiri ni vipi CHADEMA itakaza na kusonga mbele zaidi.
Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.
Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo

. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum, kikosi kilichopo kaziniili kuua CHADEMA.Jamaa kamwambia Mrema wasiruhusu maswali bali waitwe kwenye vyombo watajibu maswali huko. Hii ni sababu gani? Ili iwe rahisi kufanya habari zao zisikike nchi nzima, waeneze chuki dhidi ya CHADEMA.