PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.

Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum, kikosi kilichopo kaziniili kuua CHADEMA.

Jamaa kamwambia Mrema wasiruhusu maswali bali waitwe kwenye vyombo watajibu maswali huko. Hii ni sababu gani? Ili iwe rahisi kufanya habari zao zisikike nchi nzima, waeneze chuki dhidi ya CHADEMA.

Wao kufanya mikutano na kujitoa robo robo mnafikiri ni bahati mbaya? Hapana. Wanataka waendelee kubaki kwenye vichwa vya habari, taarifa zao zisambae nchi nzima, utafikiri ni watu wenye akili kumbe vichwa maji. Yaani mipango ya CCM haijawahi kuwa na akili, wamewapata vichwa maji basi imezidi kuwa kituko:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Watanzania wamesema hawadanganyiki basa, wamechoka kufanywa wajinga. Tumeshaona panapovuja, sasa tusubiri ni vipi CHADEMA itakaza na kusonga mbele zaidi.

Nimemuona kigaila jana hapo millennium towers jamaa hana amani kabisa kama mwizi tu.
 
Yaani wewe ndo unaharisha kabisa huko maliwatoni. Hao wa ulaya ndo ushahidi mwingine kuwa mna ajenda ya Siri ambayo kamwe haiwezi kupenya nchi hii..
Kama unashindwa kuelewa picha basi elewa maandishi. Mkibinywa kidogo tu mko tayari kuwakana hata watoto wenu wapendwa!
 

Attachments

  • IMG-20250510-WA0004.jpg
    IMG-20250510-WA0004.jpg
    63.5 KB · Views: 11
Baada ya uongozi wa chagadema kuhitimishwa wamegeuka wapinzani wa chama Cha upinzani... Binafsi Chadema ya Sasa ndio itakuwa Bora zaidi kuliko ya Mbowe na wahuni wengine wa G55
 
Back
Top Bottom