PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
12B zinahitaji kutolewa matumizi naona ndizo zinawatesa 55Genge
 
Wakuu,

Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.

Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum, kikosi kilichopo kaziniili kuua CHADEMA.

Jamaa kamwambia Mrema wasiruhusu maswali bali waitwe kwenye vyombo watajibu maswali huko. Hii ni sababu gani? Ili iwe rahisi kufanya habari zao zisikike nchi nzima, waeneze chuki dhidi ya CHADEMA.

Wao kufanya mikutano na kujitoa robo robo mnafikiri ni bahati mbaya? Hapana. Wanataka waendelee kubaki kwenye vichwa vya habari, taarifa zao zisambae nchi nzima, utafikiri ni watu wenye akili kumbe vichwa maji. Yaani mipango ya CCM haijawahi kuwa na akili, wamewapata vichwa maji basi imezidi kuwa kituko:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Watanzania wamesema hawadanganyiki basa, wamechoka kufanywa wajinga. Tumeshaona panapovuja, sasa tusubiri ni vipi CHADEMA itakaza na kusonga mbele zaidi.

Kama kila anayetoka Chadema kanunuliwa, basi Chadema ina wanachama na viongozi dhaifu kuliko vyama vingine! Maana kila aliye Chadema ana bei yake. Ukiona mtu bado yuko Chadema maana yake bado watu hawajafika bei. Na bahati nzuri, kila anayefika bei ni wao Chadema ndio wanatutaarifu kuwa flani kafika bei. Tumebaki sisi! Ahahahahaha!!
 
Kwakweli CCM siilaumu tena, vyama vya upinzani Tanzania ni kudanganyana tu
 
Hivi watu wazima na akili zao huwa mnapata muda wa kudoma comments zenu na kujitafakari au zinawatoka tu kama yawatokayo kule maliwato na kuflash? Maana hata ukiulizwa baada ya kuflash kuwa ilikuwa rangi gani kwani ulivimbiwa kisamvu utajibu sijui sikuangalia.
Chadema haifi kizembe hata kama mmoja wa waliojenga misingi yake leo anatamani Ife.
Uongozi ulioingia miezi kama miwili iliyopita leo takataka zote chafu zinasimama kuomba ziachie ngazi. Vyombo vikubwa duniani katika maamuzi kama EU parliament au US Seneti viko imara kutoa maazimio. Serikali chakavu inayoendeshwa hovyo inawapiga hata watu wasio silaha kuhudhuria mahakamani mnadhani shida iko wapi?
Kifo cha punda hicho lazima atupe mateke hovyo ikiwemo kutoa haja hovyo, ndio ccm hiyo.
Sasa kila mahali viongozi "mazoea" wa Chadema wanajiuzulu, ndio wakati wa sasa vijana wetu tokea 2015 walioonja machungu ya ufala wa "regime" hii kuchukua nafasi kuendesha chama ngazi kuanzia za chini na sisi wazee kuwasaidia ushauri.
Nina uhakika NO REFORMS NO ELECTION itafanikiwa na uchaguzi Chadema itashiriki na mtaiona na kutambua Chadema ni chaguo la Mungu. Komazeni shingo, lakini EU na US wakikaza Zimbabwe itahamia hapa na kina mabakamabaka watawaondoa na mtasema bora hata CDM wangechukua hao!
 
Wakuu,

Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.

Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum, kikosi kilichopo kaziniili kuua CHADEMA.

Jamaa kamwambia Mrema wasiruhusu maswali bali waitwe kwenye vyombo watajibu maswali huko. Hii ni sababu gani? Ili iwe rahisi kufanya habari zao zisikike nchi nzima, waeneze chuki dhidi ya CHADEMA.

Wao kufanya mikutano na kujitoa robo robo mnafikiri ni bahati mbaya? Hapana. Wanataka waendelee kubaki kwenye vichwa vya habari, taarifa zao zisambae nchi nzima, utafikiri ni watu wenye akili kumbe vichwa maji. Yaani mipango ya CCM haijawahi kuwa na akili, wamewapata vichwa maji basi imezidi kuwa kituko:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Watanzania wamesema hawadanganyiki basa, wamechoka kufanywa wajinga. Tumeshaona panapovuja, sasa tusubiri ni vipi CHADEMA itakaza na kusonga mbele zaidi.

Nasemaje, nyumbu mtaanzisha Kila aina ya nyuzi ya kizushi mwaka huu. Mungu hawaachi salama kamwe wabaguzi wa kidini, kikanda na kijinsi
 
Wakuu,

Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.

Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum, kikosi kilichopo kaziniili kuua CHADEMA.

Jamaa kamwambia Mrema wasiruhusu maswali bali waitwe kwenye vyombo watajibu maswali huko. Hii ni sababu gani? Ili iwe rahisi kufanya habari zao zisikike nchi nzima, waeneze chuki dhidi ya CHADEMA.

Wao kufanya mikutano na kujitoa robo robo mnafikiri ni bahati mbaya? Hapana. Wanataka waendelee kubaki kwenye vichwa vya habari, taarifa zao zisambae nchi nzima, utafikiri ni watu wenye akili kumbe vichwa maji. Yaani mipango ya CCM haijawahi kuwa na akili, wamewapata vichwa maji basi imezidi kuwa kituko:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Watanzania wamesema hawadanganyiki basa, wamechoka kufanywa wajinga. Tumeshaona panapovuja, sasa tusubiri ni vipi CHADEMA itakaza na kusonga mbele zaidi.

😀😀😀
 
Yaani mwalimu naye kaamua kupoteza bahati hivi hivi? CCM haijawahi kuwa na akili hata siku moja!
 
Hivi watu wazima na akili zao huwa mnapata muda wa kudoma comments zenu na kujitafakari au zinawatoka tu kama yawatokayo kule maliwato na kuflash? Maana hata ukiulizwa baada ya kuflash kuwa ilikuwa rangi gani kwani ulivimbiwa kisamvu utajibu sijui sikuangalia.
Chadema haifi kizembe hata kama mmoja wa waliojenga misingi yake leo anatamani Ife.
Uongozi ulioingia miezi kama miwili iliyopita leo takataka zote chafu zinasimama kuomba ziachie ngazi. Vyombo vikubwa duniani katika maamuzi kama EU parliament au US Seneti viko imara kutoa maazimio. Serikali chakavu inayoendeshwa hovyo inawapiga hata watu wasio silaha kuhudhuria mahakamani mnadhani shida iko wapi?
Kifo cha punda hicho lazima atupe mateke hovyo ikiwemo kutoa haja hovyo, ndio ccm hiyo.
Sasa kila mahali viongozi "mazoea" wa Chadema wanajiuzulu, ndio wakati wa sasa vijana wetu tokea 2015 walioonja machungu ya ufala wa "regime" hii kuchukua nafasi kuendesha chama ngazi kuanzia za chini na sisi wazee kuwasaidia ushauri.
Nina uhakika NO REFORMS NO ELECTION itafanikiwa na uchaguzi Chadema itashiriki na mtaiona na kutambua Chadema ni chaguo la Mungu. Komazeni shingo, lakini EU na US wakikaza Zimbabwe itahamia hapa na kina mabakamabaka watawaondoa na mtasema bora hata CDM wangechukua hao!
Yaani wewe ndo unaharisha kabisa huko maliwatoni. Hao wa ulaya ndo ushahidi mwingine kuwa mna ajenda ya Siri ambayo kamwe haiwezi kupenya nchi hii..
 
Wakuu,

Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.

Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum, kikosi kilichopo kaziniili kuua CHADEMA.

Jamaa kamwambia Mrema wasiruhusu maswali bali waitwe kwenye vyombo watajibu maswali huko. Hii ni sababu gani? Ili iwe rahisi kufanya habari zao zisikike nchi nzima, waeneze chuki dhidi ya CHADEMA.

Wao kufanya mikutano na kujitoa robo robo mnafikiri ni bahati mbaya? Hapana. Wanataka waendelee kubaki kwenye vichwa vya habari, taarifa zao zisambae nchi nzima, utafikiri ni watu wenye akili kumbe vichwa maji. Yaani mipango ya CCM haijawahi kuwa na akili, wamewapata vichwa maji basi imezidi kuwa kituko:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Watanzania wamesema hawadanganyiki basa, wamechoka kufanywa wajinga. Tumeshaona panapovuja, sasa tusubiri ni vipi CHADEMA itakaza na kusonga mbele zaidi.

Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha kula,hata hao waliopo kwenye uongozi ni suala la muda tu.
Huwezi kuja na Sera za kukinukisha tukakuelewa!
Ninyi chadema kama nani?Wapuuzi fulani hamuwezi hata kuthibitisha uadilifu wenu zaidi ya ukichaa,chuki na hasira zenu mnazoiita eti ukweli!
 
Hawa WAHUNI hwafiki popote, believe me. Sana sana watapata vijicent vya kufanya mikutano then chaliii.
 
Wakuu,

Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.

Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum, kikosi kilichopo kaziniili kuua CHADEMA.

Jamaa kamwambia Mrema wasiruhusu maswali bali waitwe kwenye vyombo watajibu maswali huko. Hii ni sababu gani? Ili iwe rahisi kufanya habari zao zisikike nchi nzima, waeneze chuki dhidi ya CHADEMA.

Wao kufanya mikutano na kujitoa robo robo mnafikiri ni bahati mbaya? Hapana. Wanataka waendelee kubaki kwenye vichwa vya habari, taarifa zao zisambae nchi nzima, utafikiri ni watu wenye akili kumbe vichwa maji. Yaani mipango ya CCM haijawahi kuwa na akili, wamewapata vichwa maji basi imezidi kuwa kituko:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Watanzania wamesema hawadanganyiki basa, wamechoka kufanywa wajinga. Tumeshaona panapovuja, sasa tusubiri ni vipi CHADEMA itakaza na kusonga mbele zaidi.

Hiki Chama kina laana ya kufanya ajenda ya kifo cha Dkt Magufuli kama sherehe kwao na tulishawatabiria kitambo
 
Back
Top Bottom