Sana tena, mtu nishalenga dili zangu la kuwapangisha nyumba DP World kwa Dirham.kuna kitu kimekusibu huu uandishi sio wako
mrudishie bibi simu yakeSana tena, mtu nishalenga dili zangu la kuwapangisha nyumba DP World kwa Dirham.
Nishaanza na kuwanoa wajukuu Kiarabuchao, Mungu akiwajaalia wanaweza kupata wachumba wa Dubai huko, halafu wajinga wajinga wanataka kuleta kauzibe.
Mie nazikimbiza fursa kwa ajili ya wajukuu, simu gani tena?mrudishie bibi simu yake
Na YosefuNa Maria...
Mi niko bandari hapo ya mgongoni kwako.maziwa za mgongon
Mgongoni kwangu nawasubiri Waarabu wa Dubai.Mi niko bandari hapo ya mgongoni kwako.
Itapendeza
Nilikuwa nakuona mtu wa maana sasa vp utaamini akili bandia wakati akili zetu original tunazo.
Mbona hizo ni senti tu,mama nibebe🥲Mgongoni kwangu nawasubiri Waarabu wa Dubai.
Huna Dirham wewe.
Nipishe huko, mambo kwa Dirham siku hizi, cheza na Mwarabu wewe?
Sio CCM wote mkuuCCM tunawambia mkataba niwakitapeli niwabishi
Kipande tu?Ndugu huko kwenye akili bandia mbona mbali, kifupi kipande cha Ardhi ya Tanganyika tushamuuzia mwarabu milele. Hata Rais wetu akitaka kukitumia kipande hiki kwa matumizi mengine kwa sasa Hataweza, kajifunga mikono - mamlaka yake hayataweza na akichukua kwa nguvu tunakwenda kusuruhiswa S.A - Mahakama za kimataifa za kibiashara. (Yale yale ambayo JIWE akiyakataa kabisa na kuyatungia sheria tayari washayapindua)
Kifupi Mwarabu ashatufanya kitu mbaya.
Hayo majamaa ni majinga sana.Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Bandari sio za mama Samiamia,akaangalie bunge live kama anashida kuangalia live sio bandari achana nazo kabisa.Hivi TPA TEHAMA ya DP World inaendaje huko?
Nasikia hiyo mama Samia hata akiwa Dubai anaiona bandari kutokea kwenye simu tu, na data zote za Makontena.
Tena watu wa TEHAMA hapa wananambi itakuwa na uwezo wa kuona mpaka mfanyakazi mmoja mmoja yupo wapi na anafanya nini.
Dah, sasa Waarabu hawa huo si utumwa wanaudisha Tanganyika? Mambo ya kuchunguliana haya mpaka chooni?
Hatukatai hilo, bali vipengele vyenye mashaka ndio hoja, hoja hizo ndio zijibiweNyie ongeeni uharo, kinyesi, makamasi, mlikatazwa?
DP World maongezi yao ni kuchapa kazi tu.
Huna hoja una kashfa .mada imeletwa nzuri unaleta kashfa na dharau ndio maana huwezi kusikiizwa .mama kanyaga twende nchi imejaa wapuuzi wengi hii.Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Hakuna mkataba duniani uliokosa vipengele vya kujibiwa.Hatukatai hilo, bali vipengele vyenye mashaka ndio hoja, hoja hizo ndio zijibiwe
Vipengele tunavyotaka hoja zijibiwe ni vile vya kuiuza Tanganyika bila UKOMOHakuna mkataba duniani uliokosa vipengele vya kujibiwa.
Ujinga tu kupotezeana wakati. Wayu tuna mabinti hapantunangoja waume wa Dubai nyie.mmekalia vipengele vipengele. Kaondoeni vipingiri vya miwa mvimalize ndiyo mtaweza kumaliza vipengele vya mikataba.
Sheria ziliwekwa kuvunjwa.
Unafikiri sheria kama hazivunjwi wanasheria wakale wapi?