Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Mkataba bado hauja sainiwa ila wanao na itakuwa siri ndo maana nasema bora mtu upiganie maisha yako na ya watoto wako
Unadhani sisi ni wapumbavu wenzio
 
Mawe tu? Nakushangaa! Siyo mabomu?
Ule mkataba hata robots wameukataa bibi, wacha kujidhalilisha.
 
Bibi tueleze ukomo wa mkataba, halafu mbona unachanganyikiwa sasa, hiyo TEHAMA yenu si ndio itachukua ajira za wabongo, sasa itakuwaje na mlishatuambia waarabu watakuja na ajira maelfu!.
 
Sijui kwa nini madamu spika na usomi wake kwa sasa namuona kama kiazi. Yaani potato na I can't help it .nikimuona akili inachora potato
Spika hana ubavu wa kuikatalia serikali ikiamua, Wala tusiongopeane. Atafurushwa haraka sana, rejea ya ndugai
 
Bibi tueleze ukomo wa mkataba, halafu mbona unachanganyikiwa sasa, hiyo TEHAMA yenu si ndio itachukua ajira za wabongo, sasa itakuwaje na mlishatuambia waarabu watakuja na ajira maelfu!.
Kasomole kifungu cha 5 kifungu kidogo cha 4.

Uje kutueleza umekuta nini hapo.

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Waarabu washashusha fanicha za ofisini kwao wewe ndiyo unaamka?
 
AI ni future. Haya wapiga debe wa huu uhuni wa Samia na waarabu wake waje wabishane tena hapa. Tunaomba kwa heshima na taadhima wahusika wote kwenye huu uuzwaji wa nchi wajiuzulu nafasi zao na washtakiwe kwa kuhujumu uchumi. Hata kama watarekebisha bado sisi raia hatuna imani nao.
 
Kasomole kifungu cha 5 kifungu kidogo cha 4.

Uje kutueleza umekuta nini hapo.

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Waarabu washashusha fanicha za ofisini kwao wewe ndiyo unaamka?
Karamu mmeifakamia bila kunawaa mikono bibi, sasa matumbo ya kuhara yameanza kuwasokota, vumilieni hayo maumivu na shangazi yako.
 
Karamu mmeifakamia bila kunawaa mikono bibi, sasa matumbo ya kuhara yameanza kuwasokota, vumilieni hayo maumivu na shangazi yako.
Ndiyo kwanza nipo njiani nawahi Emirates ya saa nane inakuja na wageni Waarabu wa Dubai.
 
Maza kaja kuuza mali za bara hana uchungu nazo
 
Hii safi sana kama ni milele. Maana wengine hapa tushaanza kupokea posa za wajukuu kutoka Waarabu wa Dubai.

Umetuondolea utata mkubwa sana.

Ni milele eeh?
 
Safi sana.Mama kamatia hapo hapo hadi vipele viache kuwawasha hawa wendawazimu wa marehemu Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…