Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Unadhani sisi ni wapumbavu wenzioMkataba bado hauja sainiwa ila wanao na itakuwa siri ndo maana nasema bora mtu upiganie maisha yako na ya watoto wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani sisi ni wapumbavu wenzioMkataba bado hauja sainiwa ila wanao na itakuwa siri ndo maana nasema bora mtu upiganie maisha yako na ya watoto wako
Mawe tu? Nakushangaa! Siyo mabomu?
Ule mkataba hata robots wameukataa bibi, wacha kujidhalilisha.Sijuwi kuutumia.
Mbona hujaweka kifungu 5:4 cha mkataba wa Ushirikiano na Maendeleo?
Jana nimeona picha ya makontena yameandikwa DP World bandari ya Dar. Eti wameshahamia waliponunuwa? Maana makontena yanaonesha ya fanicha.
Hawa Waarabu hata fanicha wanatowa kwao? Kweli wanafanya maboresho makubwa sana, yaliyowashinda kina Karamagi kwa miaka 22.
Bibi tueleze ukomo wa mkataba, halafu mbona unachanganyikiwa sasa, hiyo TEHAMA yenu si ndio itachukua ajira za wabongo, sasa itakuwaje na mlishatuambia waarabu watakuja na ajira maelfu!.Hivi TPA TEHAMA ya DP World inaendaje huko?
Nasikia hiyo mama Samia hata akiwa Dubai anaiona bandari kutokea kwenye simu tu, na data zote za Makontena.
Tena watu wa TEHAMA hapa wananambi itakuwa na uwezo wa kuona mpaka mfanyakazi mmoja mmoja yupo wapi na anafanya nini.
Dah, sasa Waarabu hawa huo si utumwa wanaudisha Tanganyika? Mambo ya kuchunguliana haya mpaka chooni?
Wacha waukatae tu. Robot la kwanza AI lilipewa uraia wa Saudi Arabia.Ule mkataba hata robots wameukataa bibi, wacha kujidhalilisha.
Hili swali hadi Leo bado najiuliza, kwa nini muislamu huwa anahisi mwarabu ni ndugu yake?Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Spika hana ubavu wa kuikatalia serikali ikiamua, Wala tusiongopeane. Atafurushwa haraka sana, rejea ya ndugaiSijui kwa nini madamu spika na usomi wake kwa sasa namuona kama kiazi. Yaani potato na I can't help it .nikimuona akili inachora potato
Kweli hamjasoma? Worriers ndiyo nini?Uvivu ht kusoma.
Nna uhakiki hakuna jipya.
Endeleeni tu vithread vyenu keyboard worriers
Kasomole kifungu cha 5 kifungu kidogo cha 4.Bibi tueleze ukomo wa mkataba, halafu mbona unachanganyikiwa sasa, hiyo TEHAMA yenu si ndio itachukua ajira za wabongo, sasa itakuwaje na mlishatuambia waarabu watakuja na ajira maelfu!.
AI ni future. Haya wapiga debe wa huu uhuni wa Samia na waarabu wake waje wabishane tena hapa. Tunaomba kwa heshima na taadhima wahusika wote kwenye huu uuzwaji wa nchi wajiuzulu nafasi zao na washtakiwe kwa kuhujumu uchumi. Hata kama watarekebisha bado sisi raia hatuna imani nao.Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu usiwe na muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu sana heri ulivyokuwa na hali ya kawaida kuzidi pesa ulizopata.
Karamu mmeifakamia bila kunawaa mikono bibi, sasa matumbo ya kuhara yameanza kuwasokota, vumilieni hayo maumivu na shangazi yako.Kasomole kifungu cha 5 kifungu kidogo cha 4.
Uje kutueleza umekuta nini hapo.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Waarabu washashusha fanicha za ofisini kwao wewe ndiyo unaamka?
Ndiyo kwanza nipo njiani nawahi Emirates ya saa nane inakuja na wageni Waarabu wa Dubai.Karamu mmeifakamia bila kunawaa mikono bibi, sasa matumbo ya kuhara yameanza kuwasokota, vumilieni hayo maumivu na shangazi yako.
kivipi?Tobaaaaah wee,
Tumekwishaaaaa!!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Maza kaja kuuza mali za bara hana uchungu nazoKwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu usiwe na muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu sana heri ulivyokuwa na hali ya kawaida kuzidi pesa ulizopata.
Ki hivyo hivyokivipi?
Hii safi sana kama ni milele. Maana wengine hapa tushaanza kupokea posa za wajukuu kutoka Waarabu wa Dubai.Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu usiwe na muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu sana heri ulivyokuwa na hali ya kawaida kuzidi pesa ulizopata.
Aliye shika hatamu nani?Sio CCM wote mkuu
Safi sana.Mama kamatia hapo hapo hadi vipele viache kuwawasha hawa wendawazimu wa marehemu Tanganyika.Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),