Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

Canabian Rasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2022
Posts
775
Reaction score
1,745
Kama unahitaji amani kwenye mahusiano yako basi zingatia sana macho ya uyo mwanamke, ogopa wanawake wenye macho madogo yakujifinya, wastani yalivoshuka pembeni, makubwa ila hasiyo sexy.
No offens.

Madogo yakujifinya
Hawa wengi ni wembamba, wanatunza vitu moyoni hawajui kusamehe,visilani,wakiongea hadi mishipa ya mabegani inatoka.

wastani yaloshuka pembeni
Hawa hupenda utawala, wajuaji, wababe kweli kweli, ukitaka amani nae kua fala, wanaroho za kikatiri sana ukingia 18zao, hawa hua wanauwezo wakuua kabisa.

Makubwa yasio sexy
Hawa usiombe uwakute masokoni, usiponunua kwake mboga unaweza usiku usilale, wabinafsi haswa, wapenda magomvi ila nguvu hawana, wachonganishi saana.

Kama unabisha chunguza hapo ulipo.


 
Naombeni ufafanuzi inakuwaje mwanamke anakutizama Sana machoni yaani hadi kero ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…