Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

Duuu sasa tutafute hela au tutafute macho? 😭😭😭😭
Kwakuwa kila siku huwa mnasema tutafute pesa mimi nilijua ndio suluhu kumbe bado kuna mtihani aiseee
 
Kama amerithi kwa mimi Baba yake mtumishi inakaaje hapo.
 
Kama amerithi kwa mimi Baba yake mtumishi inakaaje hapo.

Hata kama amerith trust me muundo wa macho hua yanabadirika kadri anavyodeverop tabia fulani, akianza kua mkali kufokafoka sana macho yake yatanza kukaa kuringana na tabia yake iyo na akiwa mpole nyenyekevu pia macho yake tayakaa kinyenyekevu.
 
Duuu sasa tutafute hela au tutafute macho? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwakuwa kila siku huwa mnasema tutafute pesa mimi nilijua ndio suluhu kumbe bado kuna mtihani aiseee

Pesa ni kwajili yake macho ni kwajili yako. Nitakuonesha macho yawadada wasio tanguliza pesa kwenye mahusiano.
 
Hv Bado Kuna watu wapo serious na haya mambo ya mahusiano
 
Mimi ni kama mchawi tuu na wengi wanasemaga na mashetani.. mimi na angaliaga wanawake macho yalivyo kaa na ninajua kabisa tabia yake.


Japo kuna staili flani ya macho mwanamke anakua nayo ile ukikutanisha tuu macho kuna hali flani inatokea kwako huyo kimbia direct atakuja kuwa single mother/ malaysia / chuma ulete.

Macho ya mwanamke yanasadifu tabia yake ile mbaya
 

Kheri yako wewe mkuu umegundua ilo pia, wengi hawajui iyo siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…