impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,846
- 7,907
Huyu atatekwa ccm wanataka machawa
Huyu atatekwa ccm wanataka machawa
Huyu hana maisha marefu ya kisiasa ndani ya CCM ya Samia na genge lake.
Hivi bado hajetekwa tu huyu?
Ukisema ni kama naona kama unakosea sanaCCM ni kama laana tu, inatafuna walio na wasiohusika...
Hizi hapamimi hupenda kusoma article kama hizi leteni na zingine niendelee kujisomea
Ngoja nikwambie jambo.Kumbe huko CCM wapo wenye akili,nilijua yote mapooza tu yanayounga mkono hata mambo ya kipumbavu.
Huyu hana maisha marefu ya kisiasa ndani ya CCM ya Samia na genge lake.
Huyu si "mwenzao".
Polisi ni mali ya Serikali sio CCM. Kama huelewi hilo, Sina namna ya kukusaidia.Kwani hao Police wanaingia tu mzigoni pasipo mkuu wa mhimili ambaye ni ccm kusema kitu?
Kwani hakuna hoja kupambana na hoja za wanachadema mpaka police waingizwe mzigoni kuzima hoja za chadema kwa nguvu
watu wamechoka na uovu unaofanyika, wapo tayari kufa ili haki itendeke. Je wapo tayari kuwaua wote wanaongea ukweli na wanao dai hakiNgoja nikwambie jambo.
Ukimwona mtu (mwana CCM) anachukua msimamo kama huo waziwazi kama huyo alivyo fanya sasa hivi; mtazame mara mbili mbili mtu huyo na jiulize sana ujasiri huo kautoa wapi wa kuwa na msimamo wa namna hiyo, tena kwa kuutangaza waziwazi kabisa.
Huyu mtu anategemea nini kimtokee kwenye CCM kama hii tuliyo nayo sasa hivi?
Huyu mtu mimi simjui, sijui historia yake kisiasa ipoje; sasa najiuliza maswali mengi juu yake!
Lakini niseme pia wazi hapa: ningesikia maneno kama hayo yakitamkwa na mtu kama Kabuuti Kalamagamba, auyule Kasimu Mjaaliwa na wengi wengine, wa aina yao (akina Lukubi), hapo ningefarijika sana na roho yangu ingetulia sana kuhusu taifa letu hili.
Huyu Bwana mdogo ni kama kajilipua tu mwenyewe, na hatasikika tena ndani ya chama.
Nani ambaye CCM haija mjerui wiki iliyopita nilikutana na kundi kubwa sana la Vijana wa CCM maeneo ya Bahari sehemu ya Aghakani hospital wakiwa na ngoma na muziki sijui walikuwa na sherehe gani ilikuwa jumamosi pembeni hivi kulikuws na vijana wanne nao wamevaa nnguo za CCM lakini walikuwa wanaongea mambo ya Akili sana.Nilisikia mmoja akisema unajua kundi lote hili hapa nilavibaka tu hakuna mtoto wa mbunge wala waziri au kiongozzi mkubwa chama ,sisi kama zuzu tu tunaruka ruka barabani,hatuna hajira hatuna chochote zaidi ya viboomu tunavyopiga piga ajira zikija wanawapa watoto wao hivi tutatumika mpaka lini.Mweenzake akamjibu sasa ndugu unataka tufanye nini.Mwenzie akamjibu tukikutana na hawa watu wanaotukusanya matawini tuwape salamu zetu wazifikishe huko sisi tunataka ajira siyo huu upuuzi.Kesho na keshokutwa wanakuja mitaani wanatupiga risasi wanatuita panya Road hawajui kuwa sisi sisi ndiyo tulikuwa mbele tunawapigia debe.Nikajua kabisa huyu wala siyo mwanacham Wa CCM ila tu anajaribu tu kutafuta frusa kipindi hiki cha uchaguzi.CCM + CDM + ACT + TLP = Watanzania.
Tatizo CCM inatumika na walioishika nchi mateka, watu hawa ndio huwatumia wana CCM bila ya wenyewe kujijua.
Kwa sasa CCM ni adui namba moja wa jamhuri, ni nani hawa walioiteka CCM na kuiteka Dola?
Watanzania wote bila kujali vyama niwakati wakusimama na kudai haki maana haki ndio msingi wa amani na maendeleo, haki inayodaiwa sio tu ya kuchagua na kuchaguliwa bali haki Kila mahala, kwenye ajira, huduma za kijamii nk.
Unamfahamu mwana CCM mwingine yeyote wa aina ya huyu mkuu 'imho'? Yuko wapi huyo, mbona hatuwasikii? Mimi nadhani kama ni kweli, basi huyu ni wa kipekee sana ndani ya chama hicho.Sio WanaCCM wote wanafurahia matendo ya huyu Mama na Mapolisi wake kupiga Wananchi wanaokwenda kusikiliza kesi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu.
Ninao huku kitaa wengi tu ambao hawaridhishwi kabisa na jinsi huyu Mama anavyoendesha mambo ya nchi.Unamfahamu mwana CCM mwingine yeyote wa aina ya huyu mkuu 'imho'? Yuko wapi huyo, mbona hatuwasikii? Mimi nadhani kama ni kweli, basi huyu ni wa kipekee sana ndani ya chama hicho.
Tumtazame kwa matumaini kuwa atakuwa mfano wa kuigwa na hao unaowasema kuwa wapo huko CCM, na wao wajitokeze, tusikie sauti zao.
Kwani wanasubiri hadi hali iwe mbaya kiasi gani?
Tuwaulize maswali ya namna hiyo hao walioko ndani ya CCM na wanayo sauti nzito zaidi, lakini wameamua kutoitumia sauti hiyo.watu wamechoka na uovu unaofanyika, wapo tayari kufa ili haki itendeke. Je wapo tayari kuwaua wote wanaongea ukweli na wanao dai haki
Waulize watu hao kwa nini wanakuwa sehemu ya kuzuia HAKI kwa kunyamaza kwao huko. Hiyo minong'ono ya pembeni haitamsaidia yeyote kupata HAKINinao huku kitaa wengi tu ambao hawaridhishwi kabisa na jinsi huyu Mama anavyoendesha mambo ya nchi.
Huwa nawauliza sana lakini wanadai wanaogopa kupoteza ajira zao.Waulize watu hao kwa nini wanakuwa sehemu ya kuzuia HAKI kwa kunyamaza kwao huko. Hiyo minong'ono ya pembeni haitamsaidia yeyote kupata HAKI