baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Alafu Familia ya watu kama mia tano tu ndo wameteka CCM kwa ajili ya kurinda maslai yaoCCM + CDM + ACT + TLP = Watanzania.
Tatizo CCM inatumika na walioishika nchi mateka, watu hawa ndio huwatumia wana CCM bila ya wenyewe kujijua.
Kwa sasa CCM ni adui namba moja wa jamhuri, ni nani hawa walioiteka CCM na kuiteka Dola?
Watanzania wote bila kujali vyama niwakati wakusimama na kudai haki maana haki ndio msingi wa amani na maendeleo, haki inayodaiwa sio tu ya kuchagua na kuchaguliwa bali haki Kila mahala, kwenye ajira, huduma za kijamii nk.